Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Ndio. Utawezaje kushindana na mtu ambaye haumuwezi?
Let alone haumjui?

Yaani mwanadamu nii sawa na sisimizi kumchunguza mwanadamu. Kisa mnaishi kwenye ulimwengu mmoja...

Au mwanadamu na Bacteria..yes...bacteria anaishi kwenye ulimwengu wa mwanadamu, ndani ya mwili wa mwanadamu, lakini hayajui mengine ambayo mwanadamu anaishi nje ya mwili wake.

Mungu yupo kwenye ulimwengu huu lakini hatumuoni, kwa sababu yeye makazi yake ni ulimwengu wa milele...na huu ulimwengu tunaoishi ni sehemu tuu, ya muda mfupi kwenye ulimwengu wa milele.

Sasa utajuaje habari za Mungu kwenye ulimwengu huu?? Jibu ni hapana, hautajua chochote. Utakosoa hivi vyote vilivyoumbwa kwa hoja ndogondogo, ila hoja kubwa za uwepo wa Mungu zipo kiroho zaidi, na hauwezi elewa maana yake haujui chochote kwenye ulimwengu wa roho...ila ukishajua tuu, ndio utaelewa zaidi
Ulimwengu wa kiroho ni hoax

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu wako yupo!?
 
Biblia Sio kitabu cha Mungu Ndio maana kimeshindwa kuwaweka waumin wake pamoja na kimekuwa rahisi kuchakachulika

Mi kitabu kilichotungwa na watu kwa utashi wao na matakwa binafsi

Quran inabaki kuwa kitabu cha kipekee na cha muongozo kwa ulimwengu mzima ndo maana kimebaki kama kilivyo toka asili yake
Hakuna agano la zaman wala jipya

Na wakristo wengi wafuata quran bila wao kujua
Mfano swala la kuoa na mfumo mzima wa maisha wanaoishi kula,kuoga,kulala nk
Unatoa hoja dhaifu sana na hazina mashiko. Hata watu wasio waislamu wanaishi na kuoa na kadhalika. Hata mababu zetu waliishi na kuoa na kutambika miaka mingi kabla ya hata kuanza kwa uislamu...kabla ya hata Mohammad.

Mohammad ndio alioleta uislamu, na ndio aliyeandika mambo mengi mno..kwa pamoja..na kuirasimisha dini ya kiislamu.

Dini hii ilipingwa na wafanyabiashara wa mecca na maeneo mengine, imemlazimu kuunda jeshi na kupigania uislamu.

So, lazima ujue historia kidogo na sio kujisemea tuu kwa mihemko. Si busara.

Dini ya kikristo imeanzia kipindi cha Yesu pia...na ina historia yake.

Zipo dini zingine zimeishi miaka mingi mno kabla ya hizo mbili.

Mababu zetu na imani zao zimedumu kwa miaka mingi sana, kabla ya Yesu, Mtume, na imani zingine..lakini haujui ya kutosha kwa sababu hawajaandika sana na taarifa zake zipo kimasimulizi.

Kiila dini ina muundo wake wa kiimani, ukiufuatilia utaona misingi yake na namna inavyofanya kazi, na hata njia au milango yake ya kiroho.

So, uwe makini
 
Ulimwengu wa kiroho ni hoax

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu wako yupo!?
Who told you that? Hoax ndio nini??

Hili swali ni la kijinga mno..eti kuthibitisha Mungu yupo au hayupo![emoji23][emoji23]

Kama haujui habari za Mungu, na hauna mpango wa kujua, Mungu hana mpango na wewe.

Ila kama utataka kumjua Mungu, utamjua tuu, zipo njia kibaao, utajikuta tuu unaanza kufuatilia approach moja baada ya nyingine mpaka utamjua Mungu.

Sikulazimishi umjue Mungu kwa ubishani, hapana, maana hata Mungu mwenyewe hapendi dhihaka, wala kulitaja jina lake bure.

So, uwe makini, na mpole, maana neema ipo jirani yako, inakukaribia.
 
Sikulazimishi umjue Mungu kwa ubishami, hapana, maana hata Mungu mwenyewe hapendi dhihaka, wala kulitaja jina lake bure.

So, uwe makini, na mpole, maana neema ipo jirani yako, inakukaribia.
Basi nataka nimjue brahma the Hindu God
 
Mungu ni roho,alipomuumba mtu kwa mfano wake aliumba roho mwanadamu kabla hajaupata mwili alikuwa roho.mwili tuliupata pale Mungu alipotutaka tuje kuishi duniani.aliufanya mwili kwa mavumbi kisha akatuweka humo.
Mwanzo 3:7 7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
Mwanzo 2:7. Kwahiyo wewe halisi sio mwili wewe ni Roho inayoishi ndani ya mwili.mwanadamu yeyote anayejitambua ni lazima alitambue hili ya kwamba she/he is a spirit living in a physical body
Alifanya mwili kwa mavumbi?

Yaani mavumbi haya haya kabisa!?
 
Ndio. Utawezaje kushindana na mtu ambaye haumuwezi?
Let alone haumjui?

Yaani mwanadamu nii sawa na sisimizi kumchunguza mwanadamu. Kisa mnaishi kwenye ulimwengu mmoja...

Au mwanadamu na Bacteria..yes...bacteria anaishi kwenye ulimwengu wa mwanadamu, ndani ya mwili wa mwanadamu, lakini hayajui mengine ambayo mwanadamu anaishi nje ya mwili wake.

Mungu yupo kwenye ulimwengu huu lakini hatumuoni, kwa sababu yeye makazi yake ni ulimwengu wa milele...na huu ulimwengu tunaoishi ni sehemu tuu, ya muda mfupi kwenye ulimwengu wa milele.

Sasa utajuaje habari za Mungu kwenye ulimwengu huu?? Jibu ni hapana, hautajua chochote. Utakosoa hivi vyote vilivyoumbwa kwa hoja ndogondogo, ila hoja kubwa za uwepo wa Mungu zipo kiroho zaidi, na hauwezi elewa maana yake haujui chochote kwenye ulimwengu wa roho...ila ukishajua tuu, ndio utaelewa zaidi
Mimi sina shida na hayo, kwanza nngetamani sana awepo huyo Mungu kwa sifa zake anazosimuliwa na wapambe.

Lakini unanisaidiaje kujua kama kweli yupo na sio hadithi tu.

Maana wanatuambia kuwa ni muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kitu ambacho si kweli nikijaribu kurelate na maisha tunayoyaona duniani hapa.

Na nkijuacho mimi hakuna yeyote awezaye yote, hayupo. Narudia tena kusema hayupo.

Na hapo ndio mwanzo wa kujenga fikra tata na dhana hii.

Embu nithibitishie uwepo wake kabla ya kuamini.

Usinitake niamini kwanza halafu ndio nianze kumtafuta, hapana.. Naomba nithibitishie kwanza uwepo wake then ndo nianze kuamini.
 
Biblia Sio kitabu cha mungu Ndio maana kimeshindwa kuwaweka waumin wake pamoja na kimekuwa rahisi kuchakachulika

Mi kitabu kilichotungwa na watu kwa utashi wao na matakwa binafsi

Quran inabaki kuwa kitabu cha kipekee na cha muongozo kwa ulimwengu mzima ndo maana kimebaki kama kilivyo toka asili yake
Hakuna agano la zaman wala jipya

Na wakristo wengi wafuata quran bila wao kujua
Mfano swala la kuoa na mfumo mzima wa maisha wanaoishi kula,kuoga,kulala nk
Bila vita unadhan quran isingalinyumbuliwa!?

Hata kwenye uislam kuna Makundi yapo usijifanye kutokuyajua.
Kuna wasunni, washia na mengine madog madog. Madhehebu manne yanayokubaliwa kati ya Wasunni ni Washafi'i, Wahanbali, Wamaliki na Wahanafi.
Kwani hujui habari ya Ahmaddya!?

♦️ Hizi dini mbili zimeua watu mamilion katika kueneza imani hizo.
Uislamu unaotaka kuunasibu hapa ni hatari, na ukiwa na imani hiyo, akili yako inakuwa total corrupted.
Kuirecover ni ngumu coz hiyo psychology yake ni nzito kidogo.

Yesu hadi kuwa yesu, biblia kuwa popular kanisa Katholiki limefanya kazi kubwa na ya ajabu sana.

Huwa naskitika mtu anayeamini kuhusu yesu halafu analiponda kanisa katholic.
Kwangu mimi mtu wa design hii huwa namuita mpumbavu.

Kanisa katholic limeua, limechoma moto watu wakiwa hai waliojaribu kupinga ama kujifanya kuchezea biblia na mafundisho yake.
Tena wengine walikuwa wanafukuliwa ili wapate adhabu yao ya kuchomwa moto.

Imagine mtu amekufa miaka 30 imepita, halafu kanisa linagundua huyu alijaribu kuchezea mafundisho yake, mtu huyo anafukuliwa mifupa yake inachomwa moto halafu majivu yananyunyizwa kwenye mto.
Lengo ni mtu apotee kabisa kwenye uso wa dunia.

Nenda kawatafute akina John Hus, John Wycliffite.

Kanisa katholic lilipoishiwa nguvu, hapo ndo tukashuhudia madhehebu mengine ya Kiprotestanti mengi kama usabato (SDA) , moravian Lutheran n. K
Kanisa katoliki limeingia hadi vita vya msalaba kupambania mambo haya.
Kapitie vita vya msalaba. (Crusade) ukasome na habari za Jesuits, utapata habari za black pope wakiongozwa kwa mara ya kwanza na St Ignatius wa Loyola.

Ukipitia historia tu utajua kuwa Huyo Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo, wala hawezekani kuwepo.

Kwahyo Dunia ya sasa imekaa kwenye ustaarabu,
isingalikuwa mabavu huyo yesu unaemjua hadi hesabu za kalenda (AD) zinatumika leo ni nguvu ya kanisa na dola la papa miaka hiyo.

Kwahiyo hatuwezi kusema sana uislamu humu kwasababu ya heading ya Uzii tu.

Lakini usijinasibu sana, hiyo quran na uislamu ni maafa makubwa.
Uislamu unailinda imani yake kwa mabavu ndo maana watu hawawezi kuichezea sana nkilinganisha na ukristo. Maana ukristoni kumekuwa na kaukichaa na madili ya kupiga hela kirahisi.
Mbona hata saiz ni kwamba matendo yenu (Islamic) yanaonekana tu.
Wenzenu wamestaarabika na mambo ya mabavu kwenye imani lakini ninyi nawashangaa bado hamtaki kubadilika, na hambadiliki kwasababu central processor za vichwa vyenu vimecorrupt. Psychology ya muislamu ni tofauti na ya mkristo, pia ni tofauti na ya myahudi.

Juzi hapo Quran imechomwa lakini reaction yake inaonesha kabisa huyu Mola mlezi alieandikwa humo kwa sifa kede kede hayupo, wala hawezekani kuwepo.
 
Mimi sina shida na hayo, kwanza nngetamani sana awepo huyo Mungu kwa sifa zake anazosimuliwa na wapambe.

Lakini unanisaidiaje kujua kama kweli yupo na sio hadithi tu.

Maana wanatuambia kuwa ni muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kitu ambacho si kweli nikijaribu kurelate na maisha tunayoyaona duniani hapa.

Na nkijuacho mimi hakuna yeyote awezaye yote, hayupo. Narudia tena kusema hayupo.

Na hapo ndio mwanzo wa kujenga fikra tata na dhana hii.

Embu nithibitishie uwepo wake kabla ya kuamini.

Usinitake niamini kwanza halafu ndio nianze kumtafuta, hapana.. Naomba nithibitishie kwanza uwepo wake then ndo nianze kuamini.
Upendo wa Mungu upo kwenye ulimwengu wa roho, na si wa Mwili.

Na haya aliyaleta yesu mwenyewe.

Kabla ya yesu upendo wa Mungu ulikua unaonekana waziwazi kwenye flesh, mf. Visa vya waisraeli, yona kumezwa na samaki, danieli na mahubiri mengine.

Ila Jesus alivyokuja tuu akabadili mambo, na ndio maana amesema ufalme wake si wa ulimwengu huu..

So, hivi vyote unavyoviona ni ukuu wake tuu wa uumbaji, hadi sayar, hadi galaxies, etc lakini upendo wake na maadili na kadhalika vipo lwenye ulimwengu wa roho.

Sasa mwanadamu ana negative na positive forces ndani yake, kwa sababu ya mwili anaoutumia, ndio maana unakuta mwanadamu anakosea, anawaza maardifa na ujinga, na haya mambo ndio yanayoleta vita, vurugu, shuuhuda na kadhalika ambazo zingine hata Mungu mwenyewe hajaziidhinisha.

Ni sawa na kocha amfundishe mchezaji alafu amuache acheze uwanjani..mchezaji anaezA kukumbuka 100% alioelekezwa na kocha wake na kisha akadeliver 90% na kumi akaharibu, au mwingine akaharibu kabisaa na akafanya anavyotaka yeye.

Mwisho wa siku mechi inaisha dk. 90 (ndio muda wako wa kuishi duniani)...na matokeo yanabandikwa, ndio hukumu ya mwisho.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
I
Unasema kwamba hujui kama kuna vitabu vingine vyenye majibu ya maswali yako tofauti na biblia.

Sasa unasemaje kwamba biblia ndio kitabu pekee chenye majibu ya maswali mengi kumhusu binadamu?

Yani hujawahi soma vitabu vingine ila una hitimisha kwa kusema kitabu cha biblia ulicho soma ndicho chenye majibu ya kila kitu....Think twice!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Umeona ee, amefeli kdg. Asome na vitab vingin alaf afanye quotation biblia imesema nn ambach vitab vingin vimesen tofaut, kwa kuwek quotation mbali mbal za vitab mbal mbal, kiufip hajui hata kufanya research. Kwaio nashaur apuuzwe
 
Mimi sina shida na hayo, kwanza nngetamani sana awepo huyo Mungu kwa sifa zake anazosimuliwa na wapambe.

Lakini unanisaidiaje kujua kama kweli yupo na sio hadithi tu.

Maana wanatuambia kuwa ni muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kitu ambacho si kweli nikijaribu kurelate na maisha tunayoyaona duniani hapa.

Na nkijuacho mimi hakuna yeyote awezaye yote, hayupo. Narudia tena kusema hayupo.

Na hapo ndio mwanzo wa kujenga fikra tata na dhana hii.

Embu nithibitishie uwepo wake kabla ya kuamini.

Usinitake niamini kwanza halafu ndio nianze kumtafuta, hapana.. Naomba nithibitishie kwanza uwepo wake then ndo nianze kuamini.
Mtafute kwanza, ndio utamjua.

Hoja yako ni sawa na mwananchi anayejisemea kuwa, "Serikali ipo wapi? Mbona siioni? Ije hapa serikani niione kwa macho na namna inavyofanya kazi ndio nitaamini kama serikali ipo, la sivyo hakuna serikali na mimi ni mtu huru, najiongoza mwenyewe."

Ila ukiitafuta serikali, kwenye utendaji kazi wake, utaijua kama ipo, au laa.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
"Ibada ni linalokusanya kila analolipenda Allaah na kuliridhia, miongoni mwa maneno na vitendo, vilivyojificha na vilivyodhihiri.”

Tuendelee ...
Allah anapenda nini ?

Watu wanafanya ibada kwa miungu wengi tofauti tofauti na kila mungu wao anakua na sifa zake na vitu anavyopenda.
 
Who told you that? Hoax ndio nini??

Hili swali ni la kijinga mno..eti kuthibitisha Mungu yupo au hayupo![emoji23][emoji23]

Kama haujui habari za Mungu, na hauna mpango wa kujua, Mungu hana mpango na wewe.

Ila kama utataka kumjua Mungu, utamjua tuu, zipo njia kibaao, utajikuta tuu unaanza kufuatilia approach moja baada ya nyingine mpaka utamjua Mungu.

Sikulazimishi umjue Mungu kwa ubishani, hapana, maana hata Mungu mwenyewe hapendi dhihaka, wala kulitaja jina lake bure.

So, uwe makini, na mpole, maana neema ipo jirani yako, inakukaribia.
Hekima imekuwa ikikufuata kwa mwendo wa haraka.
Lakini bahati mbaya umekuwa na mwendo zaidi.

Kwahyo huwezi thibitisha uwepo wa Mungu?
 
Who told you that? Hoax ndio nini??

Hili swali ni la kijinga mno..eti kuthibitisha Mungu yupo au hayupo![emoji23][emoji23]

Kama haujui habari za Mungu, na hauna mpango wa kujua, Mungu hana mpango na wewe.

Ila kama utataka kumjua Mungu, utamjua tuu, zipo njia kibaao, utajikuta tuu unaanza kufuatilia approach moja baada ya nyingine mpaka utamjua Mungu.

Sikulazimishi umjue Mungu kwa ubishani, hapana, maana hata Mungu mwenyewe hapendi dhihaka, wala kulitaja jina lake bure.

So, uwe makini, na mpole, maana neema ipo jirani yako, inakukaribia.
Wewe unajuaje kuwa Mungu huyo hapendi dhihaka?
Unajuaje kuwa hataki jina lake litajwe bure?
 
Mtafute kwanza, ndio utamjua.

Hoja yako ni sawa na mwananchi anayejisemea kuwa, "Serikali ipo wapi? Mbona siioni? Ije hapa serikani niione kwa macho na namna inavyofanya kazi ndio nitaamini kama serikali ipo, la sivyo hakuna serikali na mimi ni mtu huru, najiongoza mwenyewe."

Ila ukiitafuta serikali, kwenye utendaji kazi wake, utaijua kama ipo, au laa.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Unawezaje kutafuta kisichopo?
 
L
Upendo wa Mungu upo kwenye ulimwengu wa roho, na si wa Mwili.

Na haya aliyaleta yesu mwenyewe.

Kabla ya yesu upendo wa Mungu ulikua unaonekana waziwazi kwenye flesh, mf. Visa vya waisraeli, yona kumezwa na samaki, danieli na mahubiri mengine.

Ila Jesus alivyokuja tuu akabadili mambo, na ndio maana amesema ufalme wake si wa ulimwengu huu..

So, hivi vyote unavyoviona ni ukuu wake tuu wa uumbaji, hadi sayar, hadi galaxies, etc lakini upendo wake na maadili na kadhalika vipo lwenye ulimwengu wa roho.

Sasa mwanadamu ana negative na positive forces ndani yake, kwa sababu ya mwili anaoutumia, ndio maana unakuta mwanadamu anakosea, anawaza maardifa na ujinga, na haya mambo ndio yanayoleta vita, vurugu, shuuhuda na kadhalika ambazo zingine hata Mungu mwenyewe hajaziidhinisha.

Ni sawa na kocha amfundishe mchezaji alafu amuache acheze uwanjani..mchezaji anaezA kukumbuka 100% alioelekezwa na kocha wake na kisha akadeliver 90% na kumi akaharibu, au mwingine akaharibu kabisaa na akafanya anavyotaka yeye.

Mwisho wa siku mechi inaisha dk. 90 (ndio muda wako wa kuishi duniani)...na matokeo yanabandikwa, ndio hukumu ya mwisho.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
This is a logical non sequitur

Unaelewa kuwa ulichokiandika hakimatch mazungumzo yangu uliyoquote.
Zaidi ni kwamba umehubiri tu
 
Bila vita unadhan quran isingalinyumbuliwa!?

Hata kwenye uislam kuna Makundi yapo usijifanye kutokuyajua.
Kuna wasunni, washia na mengine madog madog. Madhehebu manne yanayokubaliwa kati ya Wasunni ni Washafi'i, Wahanbali, Wamaliki na Wahanafi.
Kwani hujui habari ya Ahmaddya!?

♦️ Hizi dini mbili zimeua watu mamilion katika kueneza imani hizo.
Uislamu unaotaka kuunasibu hapa ni hatari, na ukiwa na imani hiyo, akili yako inakuwa total corrupted.
Kuirecover ni ngumu coz hiyo psychology yake ni nzito kidogo.

Yesu hadi kuwa yesu, biblia kuwa popular kanisa Katholiki limefanya kazi kubwa na ya ajabu sana.

Huwa naskitika mtu anayeamini kuhusu yesu halafu analiponda kanisa katholic.
Kwangu mimi mtu wa design hii huwa namuita mpumbavu.

Kanisa katholic limeua, limechoma moto watu wakiwa hai waliojaribu kupinga ama kujifanya kuchezea biblia na mafundisho yake.
Tena wengine walikuwa wanafukuliwa ili wapate adhabu yao ya kuchomwa moto.

Imagine mtu amekufa miaka 30 imepita, halafu kanisa linagundua huyu alijaribu kuchezea mafundisho yake, mtu huyo anafukuliwa mifupa yake inachomwa moto halafu majivu yananyunyizwa kwenye mto.
Lengo ni mtu apotee kabisa kwenye uso wa dunia.

Nenda kawatafute akina John Hus, John Wycliffite.

Kanisa katholic lilipoishiwa nguvu, hapo ndo tukashuhudia madhehebu mengine ya Kiprotestanti mengi kama usabato (SDA) , moravian Lutheran n. K
Kanisa katoliki limeingia hadi vita vya msalaba kupambania mambo haya.
Kapitie vita vya msalaba. (Crusade) ukasome na habari za Jesuits, utapata habari za black pope wakiongozwa kwa mara ya kwanza na St Ignatius wa Loyola.

Ukipitia historia tu utajua kuwa Huyo Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo, wala hawezekani kuwepo.

Kwahyo Dunia ya sasa imekaa kwenye ustaarabu,
isingalikuwa mabavu huyo yesu unaemjua hadi hesabu za kalenda (AD) zinatumika leo ni nguvu ya kanisa na dola la papa miaka hiyo.

Kwahiyo hatuwezi kusema sana uislamu humu kwasababu ya heading ya Uzii tu.

Lakini usijinasibu sana, hiyo quran na uislamu ni maafa makubwa.
Uislamu unailinda imani yake kwa mabavu ndo maana watu hawawezi kuichezea sana nkilinganisha na ukristo. Maana ukristoni kumekuwa na kaukichaa na madili ya kupiga hela kirahisi.
Mbona hata saiz ni kwamba matendo yenu (Islamic) yanaonekana tu.
Wenzenu wamestaarabika na mambo ya mabavu kwenye imani lakini ninyi nawashangaa bado hamtaki kubadilika, na hambadiliki kwasababu central processor za vichwa vyenu vimecorrupt. Psychology ya muislamu ni tofauti na ya mkristo, pia ni tofauti na ya myahudi.

Juzi hapo Quran imechomwa lakini reaction yake inaonesha kabisa huyu Mola mlezi alieandikwa humo kwa sifa kede kede hayupo, wala hawezekani kuwepo.

Njoo huku tupeane mawazo.

Kwa upande wangu siuchukii Ukatoliki hata kidogo, lakini kumbuka hii dunia sio ya kumwamini binadamu bila Kupima agenda anayopush iende mbele ni agenda ya Mungu kweli au ya miungu.

Biblia inatumia sana na False Prophet na matapeli wengine wengi.

Njia ya kuelekea uzimani ni nyembamba sana. njoo tuitafute.

Katika Biblia Imekatazwa Kujifanyia Sanamu ya Kuchonga au kitu chochote kilicho mfano wa kitu cha duniani na kukiabudu.

Nauliza si kwa ubaya, Sanamu ya Mary inakazi gani Makanisani ????
 
Mtafute kwanza, ndio utamjua.

Hoja yako ni sawa na mwananchi anayejisemea kuwa, "Serikali ipo wapi? Mbona siioni? Ije hapa serikani niione kwa macho na namna inavyofanya kazi ndio nitaamini kama serikali ipo, la sivyo hakuna serikali na mimi ni mtu huru, najiongoza mwenyewe."

Ila ukiitafuta serikali, kwenye utendaji kazi wake, utaijua kama ipo, au laa.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Great thinker.
watu wanajitoa ufahamu
 
Dude, ni kwa sababu inadili na mambo ya ulimwengu wa rohoni zaidi, na hata mambo mengine ya ulimwengu wa mbinguni, kwa Mungu mwenyewe.

Hivi vitu hauwezi kuviweka kwenye ulimwengu wa mwili wa magalaxies na stars na clusters, na bing bang, no. Hapana.

Sanasana utachanganyikiwa tuu nikikuambia hapahapa duniani kuna getaways za mbinguni na duniani..

Na Mungu mwenyewe na labda malaika ndio wanazifahamu na Mungu mwenyewe ndio fundi anazikontroo.

Wanadamu wanakaribia kujua getaways za ulimwengu wa mwili, za kwenda sayari, clusters, galaxies, etc huko sehemu zingine.

Ila maisha ya ulimwengu wa roho mzee, hayo tusijisumbue tuu.

We nadhani ni kawaida kumdhania mwanadamu mwenzio (Mfalme Zumaridi) chizi? Wakati anakuelezea kuhusu mwili wa mbinguni, maisha na nyumba za huko? Motoni na maisha yake na vazi lake?

Umemsikiliza vizuri au na wewe ni mmoja wa unayempinga mtanzania mwenzio tuu hoja bila kumsikiliza?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama Mungu mwenyewe na Malaika ndio wanazifahamu?

Wewe ni Mungu au Malaika?
 
Back
Top Bottom