Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

Kweli Mungu alituumba kwa mfano wake ndo maana hamlazimishi mwanadamu kufanya maamuzi ila,anampa tahadhari.kwa mfano alimtahadharisha adamu asile tundra la mtu wa katikati asije akafa.Kilichotekea baada ya kula ndiyo hayo uliyosema.Pamoja na kichotokea Hali hiyo Bado hataki binadamu apotee akamtuma Yesu kutupatatanisha hivyo bibilia Haina kasoro
 
Proof God created human. God of christian Yahweh
 
Kila kona ya hiki kitabu ukikisoma vizuri utagundua kuna matatizo mengi mno ya kimantiki sasa sijui inatokea vipi mtu mdadisi, mwenye kufikiria kwa kina anakaa na kukubali tu kila neno lilipo binafsi naona ni kitabu ambacho kina stori tu na hamna kitu cha maana ukiangazia Dunia tuliyonayo Leo:

Kuna maswali machache hapa ningepenga kuyaacha kwa wanaoamini hiki kitabu:

Tukirudi katika mwanzo: Kama Mungu alijua kwa 100% kabla hajamuumba mwanadamu wa kwanza (Adam) au kabla hajakumba wewe na mimi kwamba tutatenda dhambi na hatimaye kwenda motoni, je, mwanadamu ana uhuru wa kweli wa kuchagua?

Kama Mungu alijua matokeo hayo yote bila shaka yoyote na bado akaamua kutuumba katika mfumo huo huo, maana yake matokeo hayo yalitengenezwa na Yeye kabla hata hatujazaliwa. Inakuwaje tena atuadhibu kwa makosa aliyotengeneza Mfumo utakaoyasababisha kabla hatujawepo?

2. Kama kifo na saratani vilikuwepo mamilioni ya miaka kabla ya mwanadamu kuwepo, inakuwaje Biblia iseme kifo na mateso yote yalisababishwa na dhambi ya mwanadamu? Je, Maandiko yanasimamia uhalisia gani?
Imani Siyo Kitabu Maana Wakristo wa Kwanza Hawakuhitaji Wawe na Kitabu Ili Waamini

Kuamini Ni Kusikia Matendo Mema na Yatokayo kwa Mungu si Kitabu. Vitabu Vilikuwa Vingi sana Kabla hata Ya Hiki Unachokiona Sasa Hivi na Vingine vilikataliwa. Haihitaji Kitabu mtu Kuamini Ila Kusikia Na Kumkiri Yesu Basi
 
Tukirudi katika mwanzo: Kama Mungu alijua kwa 100% kabla hajamuumba mwanadamu wa kwanza (Adam) au kabla hajakumba wewe na mimi kwamba tutatenda dhambi na hatimaye kwenda motoni, je, mwanadamu ana uhuru wa kweli wa kuchagua?
Ni kweli kabisa Mungu anajua yote. Zaidi sana Mungu anauwezo wote.

Tunaposoma masimulizi ya biblia ambamo humo ndimo neno Mungu, yaani maana yake jina tunaloita "uwepo wa hali ya juu wenye akili" tunajifunza masuala ya maadili ambayo kimsingi ni "Kweli za kiakili."

Ukweli ni nini? Biblia nzima inazungumza hili.

Kwa sababu hiyo kujua kwa Mungu katika msingi huo huo wa ukweli hakuzuii uhuru wa binadamu. Ndio kusema hivi: katika msingi wa ukweli ni lazima mtu/binadamu awe huru licha kwamba Mungu aliyemuumba huyo mtu/binadamu, anajua yote na anauwezo wote.

Bila uhuru hakuna ukweli, hakuna kujua na hivyo hakuna ulimwengu, hakuna mageuzo yenye maendeleo.

Hitimisho la mwisho. Maendeleo ya binadamu duniani hayawezi kufafanuliwa nje ya uhuru wa kweli vivyo hivyo matatizo ya ulimwengu yana chanzo chake katika hilo.
 
Unaelewa maana ya contradiction mkuu?/ AI is giving you confidence to argue something you don't understand
 
Proof creation is real, na dhambi na kila kitu kimeanza kama mwanzo inavyo claim tukianza na Mwanzo 1 na 2 Kuna contradiction kibao zipo pale kwenye order of creation how can we use something that has contradiction as reference to finalize truth?
Hakuna contradiction yeyote wewe unasoma harakaharaka bila kutafakari ili uelewe. Biblia sio story. Ni kitabu cha kumdhihilisha Yesu. Ni sehemu gani ya kitabu cha mwanzo hujailewa nikueleweshe Mungu anamaanisha nini.

NOTE: Usisome kama hadithi yenye mfululizo wa matukio hutaelewa chochote.
 
Wewe ndio unaamini and you claim it to be true give your proof no contradiction kwa kufocus kwenye vifungu nilivyotoa na mada husika. Use logic kuonesha.
 
Mkuu hapo inahitaji akili sana ngoja nikutoe tongotongo maana yake nini ikiwa hivyo. Hoja yako ni nzuri sana na ni miongoni mwa maswali ya kitabia (classical apologetics) ambayo wakosoaji wa Maandiko wamekuwa wakiyauliza kwa karne nyingi. Nikupongeze kwa kusoma kwa umakini kiasi hiki.

Tofauti hii ya maelezo unayo iona si kama ni "migongano ya uongo" (contradictions), bali ni "ushuhuda wa ziada" (complementary perspectives) unaothibitisha ukweli wa tukio lenyewe.

Kisheria na kiuchunguzi (forensics), mashahidi wanne wakitoa maelezo yanayofanana neno kwa neno, sentensi kwa sentensi, jambo hilo linatia shaka ya "kupikwa" au kumezeshwa maneno (collusion). Lakini wakitofautiana katika mitazamo ya macho yao huku wakisimamia tukio kuu lile lile (Kufufuka kwa Yesu na Kaburi kuwa Wazi), hiyo inathibitisha ushahidi wao ni wa kweli na wa kujitegemea.
Hebu tuchambue pointi zako kimantiki na kiteolojia:
------------------------------
## 1. Ni akina nani hasa walioenda kaburini? (Mtu mmoja au Kundi?)
Sheria ya kimantiki inasema: Kutaja mtu mmoja hakumaanishi unakataa uwepo wa wengine.

  • Yohana 20:1 anataja Mariamu Magdalena pekee kwa sababu lengo la Yohana lilikuwa kusimulia habari ya Mariamu na jinsi alivyokwenda mbio kumwambia Petro na Yohana. Hata hivyo, Yohana mwenyewe anatupa kidokezo kuwa Mariamu hakuwa peke yake! Katika Yohana 20:2, Mariamu anapofika kwa Petro anasema: "Wamemwondoa Bwana kaburini, wala hatujui walikomweka." Neno "Hatujui" (We don't know) ni nafsi ya wingi, ikithibitisha kuwa alikuwa na wanawake wenzake (ambao wametajwa na Mathayo, Marko, na Luka).
  • Hitimisho: Walikuwa kundi la wanawake (Mariamu Magdalena, Mariamu mama wa Yakobo, Salome, Yohana, na wengine). Kila mwandishi alichagua kuangazia wahusika wakuu kulingana na mlengo wa simulizi yake.

------------------------------
## 2. Walimkuta nani? (Nje au Ndani? Malaika mmoja au wawili?)
Mantiki hapa ni rahisi: Palipo na malaika wawili, daima pana malaika mmoja. Hakuna kifungu hata kimoja kinachosema "kulikuwa na malaika mmoja TU na sio wawili."

  • Nje na Ndani: Mathayo anaeleza kilichotokea mwanzo kabisa kabla wanawake hawajaingia ndani (Malaika alishuka, akavingirisha jiwe, akalikalia). Marko na Luka wanaeleza kile wanawake walichokiona walipoingia ndani ya kaburi baada ya jiwe kuwa limeshashingirishwa.
  • Malaika Mmoja au Wawili: Mathayo na Marko wanamtaja malaika mmoja (yule aliyekuwa anazungumza nao na kutoa ujumbe). Luka na Yohana wanataja malaika wawili (idadi kamili iliyokuwepo). Kwenye ripoti yoyote, ni kawaida kumtaja tu mtu aliyekuwa "msemaji mkuu" wa tukio hata kama alikuwa na mwenzake.
  • Mavazi (Kijana au Malaika): Katika utamaduni wa Kiyahudi na Maandiko, malaika walipotokea kwa wanadamu mara nyingi walionekana katika umbo la kibinadamu la kiume ("watu wawili", "kijana mmoja") lakini wenye nguo nyeupe za kung'aa zinazoashiria asili yao ya mbinguni.

------------------------------
## 3. Jiwe lilivingirishwa lini? Mbele ya macho yao au kabla?
Ukiisoma Mathayo 28:2-5 kwa makini katika lugha asilia ya Kiyunani (Greek), utagundua kuwa Mathayo hatumii mtiririko wa muda wa hapo kwa hapo (chronological flashback).
Aya ya 2 inaanza kwa kusema "Na tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la ardhi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka..." Hapa Mathayo anafafanua kwa nini na jinsi gani lile jiwe lilivingirishwa kabla ya wanawake hao kufika. Mistari inayofuata inaonyesha kuwa askari walikuwa wameshazimia na kukimbia, na wanawake walipofika walimkuta malaika ameketi juu ya jiwe akawakaribisha ndani kwa kusema, "Njoni, mpaone mahali alipolazwa Bwana." (Mathayo 28:6). Hii inaonyesha hata kwa Mathayo, walikuta kaburi liko wazi tayari.
------------------------------
## Hitimisho: Kwanini Waandishi wa Injili Watofautiane Kwenye Tukio Muhimu Hivi?
Kama Injili zote nne zingekuwa na maneno yaliyofanana 100%, wakosoaji wa leo wangesema: "Hizi simulizi zilinakiliwa kutoka chanzo kimoja cha uongo, hakuna ushahidi wa kujitegemea."
Mungu aliruhusu kila mwandishi aandike kwa mtazamo wake ili kutupa picha kamili (3D View). Tofauti hizi ndogo za maelezo ya pembezoni (idadi ya watu au malaika) haziharibu, bali zinathibitisha ukweli wa kiini cha habari yenyewe: Kwani wote wanakubaliana mambo makuu manne (Core Facts):

1. Tukio lilitokea Alfajiri, siku ya kwanza ya juma.
2. Wanawake (wakiongozwa na Mariamu Magdalena) ndio walioenda kwanza.
3. Jiwe lilikuwa limevingirishwa na Kaburi lilikuwa Wazi na Tupu.
4. Malaika walitangaza kuwa Yesu Amefufuka.

Kama Wainjilisti, tunawaalika watu wasitazame tu ushahidi wa kihistoria wa kaburi wazi, bali watazame nguvu ya ufufuo inayobadilisha maisha ya watu leo!
Karibu kwa mjadala zaidi mkuu.

Hi ni AI generated rubbing from chatGPT 🚮use your mind
 
Ni Wanawake yupi au Akina Nani Waliofika kaburini asubuhi ya ufufuo, na walimkuta nani kaburini?

Tukirudi na kulinganisha injili zote nne kuhusu asubuhi ya siku ya kwanza ya wiki pale kaburini, kuna migongano ya wazi katika walioenda, waliowakuta, na mambo yaliyotokea.

1: Hivi vifungu vinajibu nani Aliyekwenda Kaburini?
  • Yohana 20:1 Ni Mariamm, Magdalena pekee ("siku ya kwanza ya juma Mariamu Magdalena alikwenda kaburini asubuhi bado kungali giza...").
  • Mathayo 28:1 Walikuwa wanawake 2: Mariamu Magdalena na Mariamu yule mwingine.
  • Marko 16:1 Walikuwa wanawake 3: Mariam, Magdalena, Mariamu mama yake Yakobo, na Salome.
  • Luka 24:10 Walikuwa zaidi ya 4: Mariam, Magdalena, Yohana, Mariamu mama yake Yakobo, na "wengine waliokuwa pamoja nao".

2: Walimkuta Nani au kitu gani ndani au nje ya kaburi?
  • Mathayo 28:2-5 Lilitokea tetemeko kubwa la ardhi, malaika mmoja alishuka kutoka mbinguni, akavingirisha jiwe, kisha akaketi juu ya lile jiwe nje ya kaburi.
  • Marko 16:5 Hakuna tetemeko wala malaika aliyeketi juu ya jiwe nje. Ingawa waliingia ndani ya kaburi, walimkuta kijana mmoja ameketi upande wa kuume, amevaa vazi jeupe.
  • Luka 24:4 Walipoingia ndani, walimkuta watu wawili malaika 2 wamesimama karibu nao, wenye mavazi ya kung'aa.
  • Yohana 20:11-12 Mariam, Magdalena alikuwa peke yake nje akilia. Alipochungulia ndani ya kaburi, aliona malaika wawili wameketi, mmoja kichwani na mwingine miguuni pale ulipolazwa mwili wa yesu.

Kama shahidi wa kwanza anasema alikwenda mtu mmoja pekee na kukuta malaika mmoja ameketi juu ya jiwe nje. Na shahidi wa pili anasema walikwenda kundi la wanawake zaidi ya wanne na kukuta malaika wawili wakiwa wamesimama ndani

Maelezo haya mawili hayawezi kuwa sahihi yote kwa pamoja kimantiki.

Vilevile, Mathayo anadai jiwe lilivingirishwa mbele ya macho ya wale wanawake pale malaika aliposhuka na kusababisha tetemeko.
Marko, Luka, na Yohana wanadai wanawake hao walikuta jiwe limekwisha vingirishwa tayari kabla hawajafika.

Kama ufufuo wa Yesu ndilo tukio muhimu zaidi katika historia ya Ukristo, kwanini waandishi wote wanatofautiana kiasi hiki kwenye maelezo ya msingi kuhusu siku hiyo?

Mkuu hapo inahitaji akili sana ngoja nikutoe tongotongo maana yake nini ikiwa hivyo. Hoja yako ni nzuri sana na ni miongoni mwa maswali ya kitabia (classical apologetics) ambayo wakosoaji wa Maandiko wamekuwa wakiyauliza kwa karne nyingi. Nikupongeze kwa kusoma kwa umakini kiasi hiki.

Tofauti hii ya maelezo unayo iona si kama ni "migongano ya uongo" (contradictions), bali ni "ushuhuda wa ziada" (complementary perspectives) unaothibitisha ukweli wa tukio lenyewe.

Kisheria na kiuchunguzi (forensics), mashahidi wanne wakitoa maelezo yanayofanana neno kwa neno, sentensi kwa sentensi, jambo hilo linatia shaka ya "kupikwa" au kumezeshwa maneno (collusion). Lakini wakitofautiana katika mitazamo ya macho yao huku wakisimamia tukio kuu lile lile (Kufufuka kwa Yesu na Kaburi kuwa Wazi), hiyo inathibitisha ushahidi wao ni wa kweli na wa kujitegemea.
Hebu tuchambue pointi zako kimantiki na kiteolojia:

1. Ni akina nani hasa walioenda kaburini? (Mtu mmoja au Kundi?)
Sheria ya kimantiki inasema: Kutaja mtu mmoja hakumaanishi unakataa uwepo wa wengine.

Yohana 20:1 anataja Mariamu Magdalena pekee kwa sababu lengo la Yohana lilikuwa kusimulia habari ya Mariamu na jinsi alivyokwenda mbio kumwambia Petro na Yohana. Hata hivyo, Yohana mwenyewe anatupa kidokezo kuwa Mariamu hakuwa peke yake! Katika Yohana 20:2, Mariamu anapofika kwa Petro anasema: "Wamemwondoa Bwana kaburini, wala hatujui walikomweka." Neno "Hatujui" (We don't know) ni nafsi ya wingi, ikithibitisha kuwa alikuwa na wanawake wenzake (ambao wametajwa na Mathayo, Marko, na Luka).

Hivyo walikuwa kundi la wanawake (Mariamu Magdalena, Mariamu mama wa Yakobo, Salome, Yohana, na wengine). Kila mwandishi alichagua kuangazia wahusika wakuu kulingana na mlengo wa simulizi yake.

2. Walimkuta nani? (Nje au Ndani? Malaika mmoja au wawili?)
Mantiki hapa ni rahisi: Palipo na malaika wawili, daima pana malaika mmoja. Hakuna kifungu hata kimoja kinachosema "kulikuwa na malaika mmoja TU na sio wawili."

Nje na Ndani: Mathayo anaeleza kilichotokea mwanzo kabisa kabla wanawake hawajaingia ndani (Malaika alishuka, akavingirisha jiwe, akalikalia). Marko na Luka wanaeleza kile wanawake walichokiona walipoingia ndani ya kaburi baada ya jiwe kuwa limeshashingirishwa.

Malaika Mmoja au Wawili: Mathayo na Marko wanamtaja malaika mmoja (yule aliyekuwa anazungumza nao na kutoa ujumbe). Luka na Yohana wanataja malaika wawili (idadi kamili iliyokuwepo). Kwenye ripoti yoyote, ni kawaida kumtaja tu mtu aliyekuwa "msemaji mkuu" wa tukio hata kama alikuwa na mwenzake.

Mavazi (Kijana au Malaika): Katika utamaduni wa Kiyahudi na Maandiko, malaika walipotokea kwa wanadamu mara nyingi walionekana katika umbo la kibinadamu la kiume ("watu wawili", "kijana mmoja") lakini wenye nguo nyeupe za kung'aa zinazoashiria asili yao ya mbinguni.

3. Jiwe lilivingirishwa lini? Mbele ya macho yao au kabla?
Ukiisoma Mathayo 28:2-5 kwa makini katika lugha asilia ya Kiyunani (Greek), utagundua kuwa Mathayo hatumii mtiririko wa muda wa hapo kwa hapo (chronological flashback).

Aya ya 2 inaanza kwa kusema "Na tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la ardhi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka..." Hapa Mathayo anafafanua kwa nini na jinsi gani lile jiwe lilivingirishwa kabla ya wanawake hao kufika. Mistari inayofuata inaonyesha kuwa askari walikuwa wameshazimia na kukimbia, na wanawake walipofika walimkuta malaika ameketi juu ya jiwe akawakaribisha ndani kwa kusema, "Njoni, mpaone mahali alipolazwa Bwana." (Mathayo 28:6). Hii inaonyesha hata kwa Mathayo, walikuta kaburi liko wazi tayari.

Kwahiyo kwanini Waandishi wa Injili Watofautiane Kwenye Tukio Muhimu Hivi?
Kama Injili zote nne zingekuwa na maneno yaliyofanana 100%, wakosoaji wa leo wangesema: "Hizi simulizi zilinakiliwa kutoka chanzo kimoja cha uongo, hakuna ushahidi wa kujitegemea."

Mungu aliruhusu kila mwandishi aandike kwa mtazamo wake ili kutupa picha kamili (3D View). Tofauti hizi ndogo za maelezo ya pembezoni (idadi ya watu au malaika) haziharibu, bali zinathibitisha ukweli wa kiini cha habari yenyewe: Kwani wote wanakubaliana mambo makuu manne (Core Facts):

1. Tukio lilitokea Alfajiri, siku ya kwanza ya juma.
2. Wanawake (wakiongozwa na Mariamu Magdalena) ndio walioenda kwanza.
3. Jiwe lilikuwa limevingirishwa na Kaburi lilikuwa Wazi na Tupu.
4. Malaika walitangaza kuwa Yesu Amefufuka.

Lakini kwa kuongezea nawasihi watu wasitazame tu ushahidi wa kihistoria wa kaburi wazi, bali watazame nguvu ya ufufuo inayobadilisha maisha ya watu leo!
Karibu kwa mjadala zaidi mkuu.
 
Hi ni AI generated rubbing from chatGPT 🚮use your mind
Sasa hata AI inakuzidi kuelewa kuhusu mambo ya Mungu huoni kama unashida ya uelewa mkuu. Na nimekuwekea ili utambue hata AI mwenyewe anajua ufufuo wa Yesu ni nini. Na hapo anakuelewesha kwamba hizo contradiction unazozisema sio contradiction bali umeshindwa kuutafuta ukweli hata kwa kutumia AI.
 
Unadhani kuja kuweka mada hapa tumeshindwa kwenye hizi AI kupata maelezo kama haya still it nonsense use your mind to argue no one is going to read this rubbish 🚮
 
Argue against those contradiction show how, hivyo vifungu havina contradiction.
 
Hujatafuta vya kutosha mkuu nenda kamuulize AI atakuelewesha maswali yako yote. Maswali ambayo hata ChatGPT anaweza kukuelewesha unaanza kusumbua watu.
 
AI inajaribu kubalance majibu especially ya kiimani so be smart bro you can't use it as a way to show proof to what I am saying. AI is a computer, it doesn't have personal believe like human and may interpret stuffs differently so using it to finalize this as a shortcut to win instead of showing clarity it's illogical man.

Your trying to argue to win, instead of showing clarity, removing contradiction na hivi ndio kunanifanya nisisome unachoandika maana hakina logic.
 
Hayo maswali yako yote AI anakuelewesha vizuri. AI ni mwinjilisti mzuri cha msingi uwe tayari kumwelewa.
 
Hujatafuta vya kutosha mkuu nenda kamuulize AI atakuelewesha maswali yako yote. Maswali ambayo hata ChatGPT anaweza kukuelewesha unaanza kusumbua watu.

AI Ina Imani? AI Ina IQ aise tumeshaanza kupoteza watu wenye uwezo wa kufikiri mkuu Kuna decision binadamu inabidi afanye maana AI ni hesabu na haipo 100% correct. Binadamu ufahamu wake ni tofauti na unafikiria kwa kina that's why even OpenAI wanakuambia AI can make mistakes it's a predicting machine.

Lastly remember AI doesn't have a believe, it used alogarithm and trained data to predict based on input.
 
AI inajaribu kubalance majibu especially ya kiimani so be smart bro you can't use it as a way to show proof to what I am saying. AI is a computer, it doesn't have personal believe like human and may interpret stuffs differently so using it to finalize this as a shortcut to win instead of showing clarity it's illogical man.

Your trying to argue to win, instead of showing clarity, removing contradiction na hivi ndio kunanifanya nisisome unachoandika maana hakina logic.
AI anatumia biblia hiyohiyo kukujibu ili kuondoa contradiction. Anakupa vifungu mbalimbali ili upate kuelewa.
 
Imani Siyo Kitabu Maana Wakristo wa Kwanza Hawakuhitaji Wawe na Kitabu Ili Waamini

Kuamini Ni Kusikia Matendo Mema na Yatokayo kwa Mungu si Kitabu. Vitabu Vilikuwa Vingi sana Kabla hata Ya Hiki Unachokiona Sasa Hivi na Vingine vilikataliwa. Haihitaji Kitabu mtu Kuamini Ila Kusikia Na Kumkiri Yesu Basi

Kasome historia, ukristo umeanza lini in relation tu Biblia. Ukristo umeanza baada ya kristo kutokana na historia na Biblia imeanza kuandikwa kabla hata ya Kristo kuwepo. Kwahiyo argument yako inashida fikiria kwa Kina urudi hapa.
 
Back
Top Bottom