Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,284
- 4,858
The whole bible is misinterpreted.
Waliotafsiri Kiebrania ni wasanii watupu na hawakuwa wakikielewa
Waliotafsiri Kiebrania ni wasanii watupu na hawakuwa wakikielewa
Naam.
Lakini, mara nyingine si akili ndogo tu. Mara nyingine kuna kitu kinaitwa cognitive dissonance.
Cognitive dissonance ni hali fulani ya kuona kitu kipya, kukielewa, lakini kukikataa kwa sababu kinavuruga ukweli uliouelewa kwa nuda mrefu.
Hii hali mpaka ma genius huwa wanaipata.
Albert Einstein alikuwa kati ya watu wa mwanzo kabisa kujua kuwa the universe is expanding, not static. Alifanya mahesabu yake makali kabisa ya Relativity akaona kuwa ulimwengu unapanuka, space is expanding.
Lakini, ukweli huo mpya uliivuruga sana idea ya ulimwengu aliyoizoea. Mpaka akaamua kujitungia kitu kinaitwa "The Cosmolovical Constant" kwenye mahesabu yake, kuufanya ulimwengu usiwe unapanuka.
Baadaye kina Edwin Hubble na Georges Lemaitre wakaja ku confirm kwamba zile hesabu za awali za Einstein kqbla ya kuweka "The Cosmological Constant" kwamba ulimwengu unapanuka. zilionesha kwamba Einatein hesabu zake zilikuwa sawa, hakuhitaji kutengeneza the coamological constant.
Einstein alikuja kusema ile cosmological constant ilikuwa ni bkunder kubwa kabisa katika maisha yake.
Hapo kilichotokea ni kwamba, Einstein alishagundua ukweli kuwa the universe is expanding, lakini alikuwa na cognitive dissonance kubwa sana mpaka akatunga the cosmological constant kuufanya ulimwengu usi expand.
Kwa sababu hii dhana ya ulimwengu kutanuka, ingawa yeye aliigundua kimahesabu, lakini ilikuwa mpya sana hakuweza kuikubali.
Kwa hiyo, kuna wakati mpaka ma genius wanapata cognitive dissonance.
Tuweke mambo sawa. Sisi tunaoishi leo tunaishi wakati wa "Sheria ya Kristo" hivyo ambacho hakielezwi vizuri Agano la kale kinaelezwa vizuri Agano Jipya.Lakini mbona maandiko hayo yanakasoro? Yana migongano, hayaakisi ulimwengu wa sasa na sayansi yetu ilivyo, Ina vitu ambavyo ni impossible vina violate laws of physics?,
Tuweke mambo sawa. Sisi tunaoishi leo tunaishi wakati wa "Sheria ya Kristo" hivyo ambacho hakielezwi vizuri Agano la kale kinaelezwa vizuri Agano Jipya.
Nafikiri si sahihi kusema masimulizi ya biblia (maandiko) yana kasoro kwa sababu yenyewe (maandiko) yameandikwa kutoka kwa desturi, miiko, mila: ibada, sadaka, taamuli; tamaduni na kadhalilka.
Matendo hayo, ambayo kwa kweli yamekuwepo na yamekuwa yakifanywa na jamii za watu wote popote ndiyo kwayo masimulizi ya biblia imeandikwa.
Kumbe kimsingi kasoro ni matendo hayo, ambayo kwa kweli yameonyesha kuwepo kwa kasoro nyingi. Na hili linaendelea hata leo.
Leo fikiria, katika dini hizohizo zinazokubali kwamba kuna Mungu mmoja lakini kwenye suala la ndoa kwa mfano, dini moja inasema ndoa ni ya mume mmoja na mke mmoja na nyingine inasema ndoa inaweza kuwa ya mume mmoja na mke zaidi ya mmoja.
Lugha ni kwa ajili ya mawasiliano. Yaani kuhamisha maana kutoka kichwani mwangu kwenda kichwani mwako.Kama hayana kasoro, embu elezea ushahidi wa Nuhu, Adam alikuwa anawatoto wangapi, Kaini baada ya kwenda nchi ya mbali hiyo nchi ilitoka wapi ilihali wao ni watoto wa adamu na Adamu ni binadamu wa kwanza?
Lugha zimetoka wapi, wakati study of linguistics inatuonesha namna tulivyo evolve over time.
Dhambi ni dhana ya kutungwa tu na dini. Kwa viumbe hai wanacho experience kwa uhalisia ni maumivu na mateso.There is no religious God, there is only 1 God, huyo huyo unaehangaika kumkwepa ndio Mungu wa kweli, soma Biblia na umuombe ajifunue kwako.
Usihangaike kupambana na dini, utachoka.
Mwisho, acha dhambi ndugu yangu, wengine wanamkwepa Mungu kutokana na dhamira kuwasumbua juu ya dhambi
KWa nini usifanye ubaya wote unaojua wewe, kaue, kadanganye, kaibe, kadhulumu... nini kinakuzuia?Dhambi ni dhana ya kutungwa tu na dini. Kwa viumbe hai wanacho experience kwa uhalisia ni maumivu na mateso.
KWa nini usifanye ubaya wote unaojua wewe, kaue, kadanganye, kaibe, kadhulumu... nini kinakuzuia?
KWamba wanyama wa kufuga tulijipa sisi? Uliwaumba wewe hao wanyama?Sheria na intelligence. Tukitumia dhana ya first principle of thinking binadamu hamiliki chochote lakini kutokana na maendeleo tumejimilikisha Ardhi, product mbalimbali tunazotengeneza, wanyama wa kufugwa makazi, mazao lakini vyote hivyo ni kwasababu ya maisha ambayo tumeyachagua tukija upande wa nature hamna anaemiliki chochote everything is free out there kwahiyo dhana ya wizi imetengenezwa pale binadamu alipoanza kujimilikisha but by nature everything is free ni kama wanyama porini no one owns anything kila kiumbe kipo kwenye habitat yake.
KWamba wanyama wa kufuga tulijipa sisi? Uliwaumba wewe hao wanyama?
Nature nani aliiumba? Who made nature? Did something just appear? And why kila kitu kinakufa ambacho ni organic?
Biblia si ya kusomwa kama novel hutaelewa. Husomwa na kueleweka kwa watu wa kiroho tu
Biblia si ya kusomwa kama novel hutaelewa. Husomwa na kueleweka kwa watu wa kiroho tu
karibuKila kona ya hiki kitabu ukikisoma vizuri utagundua kuna matatizo mengi mno ya kimantiki sasa sijui inatokea vipi mtu mdadisi, mwenye kufikiria kwa kina anakaa na kukubali tu kila neno lilipo binafsi naona ni kitabu ambacho kina stori tu na hamna kitu cha maana ukiangazia Dunia tuliyonayo Leo:
Kuna maswali machache hapa ningepenga kuyaacha kwa wanaoamini hiki kitabu:
Tukirudi katika mwanzo: Kama Mungu alijua kwa 100% kabla hajamuumba mwanadamu wa kwanza (Adam) au kabla hajakumba wewe na mimi kwamba tutatenda dhambi na hatimaye kwenda motoni, je, mwanadamu ana uhuru wa kweli wa kuchagua?
Kama Mungu alijua matokeo hayo yote bila shaka yoyote na bado akaamua kutuumba katika mfumo huo huo, maana yake matokeo hayo yalitengenezwa na Yeye kabla hata hatujazaliwa. Inakuwaje tena atuadhibu kwa makosa aliyotengeneza Mfumo utakaoyasababisha kabla hatujawepo?
2. Kama kifo na saratani vilikuwepo mamilioni ya miaka kabla ya mwanadamu kuwepo, inakuwaje Biblia iseme kifo na mateso yote yalisababishwa na dhambi ya mwanadamu? Je, Maandiko yanasimamia uhalisia gani?
Kwaiyo ulitaka ukitaka kufanya dhambi kwa mkono mkono uvunjike ? Wewe ni mfano wa Mungu tumia akili yako ikupe maarifa Unazungumzia ukuu na uweza wa ajabu ambao hauzungumzikiKila kona ya hiki kitabu ukikisoma vizuri utagundua kuna matatizo mengi mno ya kimantiki sasa sijui inatokea vipi mtu mdadisi, mwenye kufikiria kwa kina anakaa na kukubali tu kila neno lilipo binafsi naona ni kitabu ambacho kina stori tu na hamna kitu cha maana ukiangazia Dunia tuliyonayo Leo:
Kuna maswali machache hapa ningepenga kuyaacha kwa wanaoamini hiki kitabu:
Tukirudi katika mwanzo: Kama Mungu alijua kwa 100% kabla hajamuumba mwanadamu wa kwanza (Adam) au kabla hajakumba wewe na mimi kwamba tutatenda dhambi na hatimaye kwenda motoni, je, mwanadamu ana uhuru wa kweli wa kuchagua?
Kama Mungu alijua matokeo hayo yote bila shaka yoyote na bado akaamua kutuumba katika mfumo huo huo, maana yake matokeo hayo yalitengenezwa na Yeye kabla hata hatujazaliwa. Inakuwaje tena atuadhibu kwa makosa aliyotengeneza Mfumo utakaoyasababisha kabla hatujawepo?
2. Kama kifo na saratani vilikuwepo mamilioni ya miaka kabla ya mwanadamu kuwepo, inakuwaje Biblia iseme kifo na mateso yote yalisababishwa na dhambi ya mwanadamu? Je, Maandiko yanasimamia uhalisia gani?