Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
-
- #41
Imani Siyo Kitabu Maana Wakristo wa Kwanza Hawakuhitaji Wawe na Kitabu Ili Waamini
Kuamini Ni Kusikia Matendo Mema na Yatokayo kwa Mungu si Kitabu. Vitabu Vilikuwa Vingi sana Kabla hata Ya Hiki Unachokiona Sasa Hivi na Vingine vilikataliwa. Haihitaji Kitabu mtu Kuamini Ila Kusikia Na Kumkiri Yesu Basi
Imani na kujua kitu fulani au kuelezea kitu ni vitu viwili tofauti? Ndio maana leo hii hata makanisani kuna watu wanaijua vizuri biblia lakini hawana imani. Hao ndio tunawaweka kundi moja na AI. AI anajua biblia lakini hana imani.AI Ina Imani? AI Ina IQ aise tumeshaanza kupoteza watu wenye uwezo wa kufikiri mkuu Kuna decision binadamu inabidi afanye maana AI ni hesabu na haipo 100% correct. Binadamu ufahamu wake ni tofauti na unafikiria kwa kina that's why even OpenAI wanakuambia AI can make mistakes it's a predicting machine.
Lastly remember AI doesn't have a believe, it used alogarithm and trained data to predict based on input.
AI Ina Imani? AI Ina IQ aise tumeshaanza kupoteza watu wenye uwezo wa kufikiri mkuu Kuna decision binadamu inabidi afanye maana AI ni hesabu na haipo 100% correct. Binadamu ufahamu wake ni tofauti na unafikiria kwa kina that's why even OpenAI wanakuambia AI can make mistakes it's a predicting machine.
Lastly remember AI doesn't have a believe, it used alogarithm and trained data to predict based on input.
AI anatumia biblia hiyohiyo kujijibu ili kuondoa contradiction. Anakupa vifungu mbalimbali ili upate kuelewa.
Davidmmarista unatumia mbinu hizo kufafanua maandiko?
Biblia haina contradiction wewe ndio mwenye contradiction. Ukiondoa contradiction unazojiwekea utajikuta unaielewa biblia kirahisi sana.🚮Bila wewe kuelezea hizo contradiction unakuwa umeongea ujinga tu. Yaani wewe na AI wote mnashindwa ndio maana utafuta kila njia ya kujitetea, lakini huna mantiki yeyote contradiction zipo wazi na watu wanaziona huku. Unadhani watu wengine ni wajinga kukaa kimya wengine wanaogop kupitia hivi vitu ili kudumisha Imani yao.
Argue logically, animals in the past didn't die trace back using fossils records and proof where did dinosaurs didn't die but on around 2000-6000 there is where human and other living started to die.
Biblia haina contradiction wewe ndio mwenye contradiction. Ukiondoa contradiction unazojiwekea utajikuta unaielewa biblia kirahisi sana.
Biblia ni tofauti kabisa na riwaya au thamthilia. Ukiisoma biblia kama tunavyosoma riwaya au tamthilia hutaweza kuielewa.
Ask it do you believe God is real ?
It will answer you because it can answer.
🚮🚮 Ujinga mtupu.
1 Wakorintho 2:
9 lakini, kama ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia, (Wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,) Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao.
10 Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.
11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
12 Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na Mungu.
13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.
14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
15 Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
16 Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
Yawezekana siyo biblia yenye migongano, bali akili yako ina migongano mingi kiasi cha kutoweza kuelewa chochote kuhusu Biblia. Kwa muumini mwenye akili timamu, hakuna mgongano wowote katika Biblia kwa sababu anajua kuwa hakuna mwanadamu yeyote akiwa katika hali ya mwili, anayemjua Mungu kwa asilimia 100% Mwanadamu amefunuliwa kiasi kidogo sana kumhusu Mungu, ni kile tu cha kumwezesha kumtumikia, kumfuata, na baadaye akiwa kwenye hali ya Roho, aweze kumfikia. Ndiyo maana Mungu aliamua kujitengeneza katika nafsi iliyo katika hali ya mwili ili aweze kuwafundisha wanadamu waliopo katika mwili ili wajue namna ya kuenenda.
Fuatilia lile swali ambalo Yesu aliwauliza wanafunzi wake kuwa watu wanasema YEYE NI NANI, hakuna aliyeonekana kumjua kiusahihi. Kisha akawauliza na mitume wake kuwa wao wanajua YEYE ni nani, wote walishindwa.Petro pekee yake ndiye alitoa jibu sahihi. Lakini Yesu alimwambia pale pale kuwa kwa akili yake kamwe asingeweza kumjua kiusahihi bali ni Roho wa Mungu ndiye aliyekuwa amemfunulia. Huo ulikuwa ni ujumbe kwa wote kuwa huwezi kumjua Mungu kikamilifu kwa kutumia weledi wa kibinadamu, labda Mungu mwenyewe akufunulie.
Yesu anasema kuwa hakuna mwanadamu yeyote anayemjua Mungu Baba, isipokuwa YEYE pekee yake aliyetoka kwake.
Pia mfahamu kuwa kuna makosa ya wasomaji na watafsiri kwa maandiko. Mungu alipomwumva mwanadamu alisema kuwa nendeni mzaliane mkaijaze nchi. Hivyo kudai kuwa eti kila mwanadamu ameumbwa na Mungu kama alivyoumbwa Adam na Eva, ni upotofu. Wengine wote tumezaluwa kwa baraka ya lile agizo kuwa nendeni mkazaliane, mkaijaze nchi. Japo ukweli ni kuwa kwa sababu Mungu ni muweza wa yote, anaweza akawaumba watu kupitia mimva za kawaida kwa lengo fulani, au wale ambao tayari wamezaluwa akawapa baraka na uwezo fulani.
Mungu amemwukva mwanadamu akampa uhuru wa kumtumikia, hakuna aliyeumbwa ili atende dhambi. Hata haya nayasema kwa kutumia hekima ta kibinadamu.
Mungu anasema wazi kuwa tunavyowaza sisi, si kama anavyowaza yeye, wala hekima take siyo sawa na hekima ya mwanadamu. Hivyo ufahamu kuwa utashi wako hauwezi kutumika kumfanyia judgement Mungu. Ndiyo maana andiko linasema kuwa amewashusha wenye enzi katika vitu, amewashusha wanaojiona wana hekima, akawakweza wantenyekevu wa mioyo.
Tatizo lako ni uelewa ndugu yangu. Ukitulia vizuri na Mungu hata hiyo Mwanzo 1 na 2, You are talking about the order of creation (hapa tayari unazungumzia riwaya au tamthilia).Proof, najua unajaribu ni attack badala ya kufocus na mada. Leta hoja, unachokileta hapa ni Ad Hominem it's a logical way of avoiding the debate.
Huwezi kuonesha namna hizo injili hazina contradiction? How did animals all over the world fit kwenye safina yenye mita 130 to 150? Gharika iliyoharibu Dunia na kuacha watu 8 tu na bado Misri, wachina, India, watu weusi.
How Genesis 1 and 2 doesn't contradict each other on the order of creation?
Je, Ni Siku Ipi na Muda Gani Yesu Alisulubiwa?
Ukisoma vizuri injili ya Marko na injili ya yohana zinapingana kwa wazi kabisa kuhusu muda na saa na siku ambayo Yesu alisulubiwa.
1. Injili ya Marko: Saa Tatu Asubuhi
Marko anaeleza kuwa Yesu alisulubiwa rasmi msalabani saa tatu asubuhi 9:00 AM.
"Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulubisha." Marko 15:25
2. Injili ya Yohana: Baada ya Saa Sita Mchana
Yohana anaeleza kuwa saa sita mchana 12:00 PM, Yesu alikuwa bado hajasulubiwa! Alikuwa bado yuko kwenye ukumbi wa hukumu mbele ya Pontio Pilato, na Pilato alikuwa bado anazungumza na Wayahudi kabla hajamtoa kwenda kusulubiwa.
Na nukuu kama ilivyoandikwa:
"Nayo ilikuwa maandalio ya Pasaka, nayo ilikuwa yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu! Basi wao wakapiga kelele, Mwondoshe! Mwondoshe! Msumbishe! ... Basi ndipo alipomtoa kwao ili asulubiwe." Yohana 19:14-16
Mtu mmoja hawezi kuwa juu ya msalaba akisulubiwa saa tatu asubuhi na wakati huo huo awe bado yuko mbele ya Pilato akihukumiwa saa sita mchana katika siku hiyo hiyo moja.
Kama waandishi wote wawili walikuwa mashahidi au waliongozwa na Roho Mtakatifu kuandika ukweli usio na makosa , ni muda gani sahihi wa kihistoria ambao Yesu alisulubiwa? Saa tatu asubuhi au baada ya saa sita mchana?
Kuna injili nne zinapingana pia kuhusu siku ya kihistoria ya msalaba. Marko, Mathayo, na Luka wanasema Yesu alikula Pasaka na wanafunzi wake usiku wa mwisho, na alisulubiwa siku baada ya Pasaka. Lakini Yohana anasema alisulubiwa siku ya maandalio ya Pasaka kabla ya Pasaka kamwe haijaliwa.
Hii ni migongano live kabisa.
Is this a proof elezea unachokimaanisha hapa.
Hapo ni mgongano wako wa akili, wala siyo mgongano wa kwenye biblia.
Hakuna mahali popote kwente Biblia ambapo Matayo alisema kuwa Yesu alisulibiwa saa 3 asubuhi. Labda kama hiyo Biblia umeitengeneza wewe, au zile bible fake ziluzotengenezwa na makundi ta kigaidi kule Saudia kwaajili ya kutaka kuwahadaa watu.
Tatizo lako ni uelewa ndugu yangu. Ukitulia vizuri na Mungu hata hiyo Mwanzo 1 na 2. You are talking about the order of creation (hapa tayari unazungumzia riwaya au tamthilia).
Nimekueleza kuhusu tatizo la watu wengi kusoma biblia wakidhania ni kitabu cha riwaya au tamthilia, sasa wanajaribu kuunganisha matukio ili wapate kuelewa hadithi ya uumbaji hawataki kuelewa lengo la Mungu. Wanachotaka ni hadithi.
Habari kaka, kutafakari kuhusu Mungu na kumtafuta na ishara tosha unamwamini na unamuhitaji ajidhihirishe kwakoTukirudi katika mwanzo: Kama Mungu alijua kwa 100% kabla hajamuumba mwanadamu wa kwanza (Adam) au kabla hajakumba wewe na mimi kwamba tutatenda dhambi na hatimaye kwenda motoni, je, mwanadamu ana uhuru wa kweli wa kuchagua?
Biblia ni chanzo kimojawapo cha mafundisho ya imani na maadili.Unaelewa maana ya contradiction mkuu?/ AI is giving you confidence to argue something you don't understand