Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
-
- #61
Mungu anashindwa kukufunulia maana ya maandiko yake kwasababu huna Roho wake.
Bado una tabia ya asili ya kibanadamu huwezi kuyapokea mambo ya Roho wa Mungu; kwasababu unaona kwako ni upuzi, wala huwezi kuyafahamu, kwa kuwa hayo yanatambulikana kwa jinsi ya rohoni tu.
NI rahisi sana kuongelea ghadhabu ya Mungu ila tunasahau rehema zakeatuadhibu kwa makosa aliyotengeneza Mfumo utakaoyasababisha kabla hatujawepo?
Biblia ni chanzo kimojawapo cha mafundisho ya imani na maadili.
Ni kitabu ambacho kinaeleza jinsi gani ya kuishi na hapo hapo kinajibu swali ambalo limeuliza wakati wote na watu wote la "mtu anatoka wapi na anaenda wapi? Vitu hivi vimetoka wapi na vinaenda wapi"? (Kwa nini).
Muhimu hapa ni masimulizi ya biblia sio chanzo chake chenyewe. Yaani biblia sio chanzo cha masimulizi ya biblia.
Kilichowazi kabisa ni kwamba, masimulizi ya biblia yametokana na vyanzo mbalimbali na kwa nyakati tofauti katika jambo moja. Na hii ndio inafanya hicho unachokiita "kukinzana" (contradition) kwa masimulizi ya biblia.
Kwenye hilo kitu muhimu cha kuelewa kuhusu masimulizi ya biblia ni kuwa, jambo au simulizi linaloelezwa kwenye biblia lina ufafanuzi wake wa kina kwenye vyanzo vingine vya maarifa.
N
NI rahisi sana kuongelea ghadhabu ya Mungu ila tunasahau rehema zake
Wakati wa uasi wa watoto wa Israel embu angalia maneno ya Mungu kwa watu wake... na ukuu wake wote bado ni yeye ndie alikua akihuzunika na kuwasihi wamjelee
βBasi, nenda ukamtangazie Israeli maneno yafuatayo: Rudi, ewe Israeli, usiye mwaminifu. Nami sitakutazama kwa hasira kwa kuwa mimi ni mwenye huruma. Naam, sitakukasirikia milele.β
Yeremia 3:12 BHN
βMwenyezi-Mungu, Mtakatifu wa Israeli, Mkombozi wako, asema hivi: βMimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ninayekufundisha kwa faida yako, ninayekuongoza katika njia unayotakiwa kwenda. Laiti ungalizitii amri zangu! Hapo baraka zingekutiririkia kama mto, ungepata fanaka kwa wingi kama mawimbi ya bahari.β
Isaya 48:17-18 BHN
Ni Mungu wa namna gani anawabembeleza watu wake wache dhambi? Wamrudie? Wamtii na anahairisha ghadhabu?
HAkuna sehemu yoyote kwenyw Biblia Mungu ameagiza au umeona watoto wadogo au watu wazimwa waliteswa.Kuna sababu gani ya kuwatesa Watoto wadogo na bado tunaita rehema na upendo?
Mgongano uko wapi?Lakini mbona maandiko hayo yanakasoro? Yana migongano, hayaakisi ulimwengu wa sasa na sayansi yetu ilivyo, Ina vitu ambavyo ni impossible vina violate laws of physics?,
Huu Uzi tutauamsha kipindi cha Kwaresma na pasaka inayoNi Wanawake yupi au Akina Nani Waliofika kaburini asubuhi ya ufufuo, na walimkuta nani kaburini?
Tukirudi na kulinganisha injili zote nne kuhusu asubuhi ya siku ya kwanza ya wiki pale kaburini, kuna migongano ya wazi katika walioenda, waliowakuta, na mambo yaliyotokea.
1: Hivi vifungu vinajibu nani Aliyekwenda Kaburini?
- Yohana 20:1 Ni Mariamm, Magdalena pekee ("siku ya kwanza ya juma Mariamu Magdalena alikwenda kaburini asubuhi bado kungali giza...").
- Mathayo 28:1 Walikuwa wanawake 2: Mariamu Magdalena na Mariamu yule mwingine.
- Marko 16:1 Walikuwa wanawake 3: Mariam, Magdalena, Mariamu mama yake Yakobo, na Salome.
- Luka 24:10 Walikuwa zaidi ya 4: Mariam, Magdalena, Yohana, Mariamu mama yake Yakobo, na "wengine waliokuwa pamoja nao".
2: Walimkuta Nani au kitu gani ndani au nje ya kaburi?
- Mathayo 28:2-5 Lilitokea tetemeko kubwa la ardhi, malaika mmoja alishuka kutoka mbinguni, akavingirisha jiwe, kisha akaketi juu ya lile jiwe nje ya kaburi.
- Marko 16:5 Hakuna tetemeko wala malaika aliyeketi juu ya jiwe nje. Ingawa waliingia ndani ya kaburi, walimkuta kijana mmoja ameketi upande wa kuume, amevaa vazi jeupe.
- Luka 24:4 Walipoingia ndani, walimkuta watu wawili malaika 2 wamesimama karibu nao, wenye mavazi ya kung'aa.
- Yohana 20:11-12 Mariam, Magdalena alikuwa peke yake nje akilia. Alipochungulia ndani ya kaburi, aliona malaika wawili wameketi, mmoja kichwani na mwingine miguuni pale ulipolazwa mwili wa yesu.
Kama shahidi wa kwanza anasema alikwenda mtu mmoja pekee na kukuta malaika mmoja ameketi juu ya jiwe nje. Na shahidi wa pili anasema walikwenda kundi la wanawake zaidi ya wanne na kukuta malaika wawili wakiwa wamesimama ndani
Maelezo haya mawili hayawezi kuwa sahihi yote kwa pamoja kimantiki.
Vilevile, Mathayo anadai jiwe lilivingirishwa mbele ya macho ya wale wanawake pale malaika aliposhuka na kusababisha tetemeko.
Marko, Luka, na Yohana wanadai wanawake hao walikuta jiwe limekwisha vingirishwa tayari kabla hawajafika.
Kama ufufuo wa Yesu ndilo tukio muhimu zaidi katika historia ya Ukristo, kwanini waandishi wote wanatofautiana kiasi hiki kwenye maelezo ya msingi kuhusu siku hiyo?
MAgonjwa yanatoka wapi kama mto yupo tumboni mwa Mama yake?2. Kama kifo na saratani vilikuwepo mamilioni ya miaka kabla ya mwanadamu kuwepo, inakuwaje Biblia iseme kifo na mateso yote yalisababishwa na dhambi ya mwanadamu? Je, Maandiko yanasimamia uhalisia gani?
Society union walishafeli sasa hivi URUSI Yote imejaa makanisa na injiliNadhani tunapoelekea huko mbele the world itabidilika, my biggest hope is technology tungepata technology ya kuonesha how life was originated see what aliens believe on then we might even change a lot of people's faith. Big up to Soviet Union walitoka kwenye huu ujinga wa kujibu maswali na hivi vitabu na Imani and focused on mechanism yet they changed the world.
π π the fact that ypu brough issue ya Aliens ni wazi unakwepa ukweli... denial of factsaliens believe on then we might even change a lot of people's faith
Soma Yale unsyoyaelewa, tatizo la watu weusi hufikiri bible inatstua mstatizo ya kiuchumi, Taiwan wanasoma bible hiyo hiyo, ila ni matsjiri mara 1000 zaidi yako,USA, UK, Australia wote wanatumia bible, kuweka Mambo Yao ya kiroho vzr, period! Wewe unatska bible ikupe miujiza ya watoto wako kufsulu mitiani, kupsta ajira, pesa! Lazima uta data bro!Kila kona ya hiki kitabu ukikisoma vizuri utagundua kuna matatizo mengi mno ya kimantiki sasa sijui inatokea vipi mtu mdadisi, mwenye kufikiria kwa kina anakaa na kukubali tu kila neno lilipo binafsi naona ni kitabu ambacho kina stori tu na hamna kitu cha maana ukiangazia Dunia tuliyonayo Leo:
Kuna maswali machache hapa ningepenga kuyaacha kwa wanaoamini hiki kitabu:
Tukirudi katika mwanzo: Kama Mungu alijua kwa 100% kabla hajamuumba mwanadamu wa kwanza (Adam) au kabla hajakumba wewe na mimi kwamba tutatenda dhambi na hatimaye kwenda motoni, je, mwanadamu ana uhuru wa kweli wa kuchagua?
Kama Mungu alijua matokeo hayo yote bila shaka yoyote na bado akaamua kutuumba katika mfumo huo huo, maana yake matokeo hayo yalitengenezwa na Yeye kabla hata hatujazaliwa. Inakuwaje tena atuadhibu kwa makosa aliyotengeneza Mfumo utakaoyasababisha kabla hatujawepo?
2. Kama kifo na saratani vilikuwepo mamilioni ya miaka kabla ya mwanadamu kuwepo, inakuwaje Biblia iseme kifo na mateso yote yalisababishwa na dhambi ya mwanadamu? Je, Maandiko yanasimamia uhalisia gani?
Hahaha sasa Kam bibli haisaidii kutatua matatizo ya Binadamu basi hiyo ni Takataka haina Maana yoyote ya kuamini kilichomoSoma Yale unsyoyaelewa, tatizo la watu weusi hufikiri bible inatstua mstatizo ya kiuchumi, Taiwan wanasoma bible hiyo hiyo, ila ni matsjiri mara 1000 zaidi yako,USA, UK, Australia wote wanatumia bible, kuweka Mambo Yao ya kiroho vzr, period! Wewe unatska bible ikupe miujiza ya watoto wako kufsulu mitiani, kupsta ajira, pesa! Lazima uta data bro!
We fata amri za Mungu, kwisha,maswala eti ushinde unaendesha boda,au kazini unalipwa milioni 5,ila kila jpili unaenda kutoa fungu la kumi, ili Mungu miujiza Uwe na pesa kama Bakheresa, au Makonda, uta kuwa na kichaa na kulaumu watu kila siku,
Bible imenyooka, maswala hv Bikira maria, alizaa watoto wengine ama! Achana nayo
Society union walishafeli sasa hivi URUSI Yote imejaa makanisa na injili
π π the fact that ypu brough issue ya Aliens ni wazi unakwepa ukweli... denial of facts
What makes your heart beat? Who placed electrical signals in your brain to function? Nani alimfanya mwanadamu aishi majini akiwa tumboni lakini ashindwe akisha zaliwa?
Zunguka kote ila Mungu si simu yako kwamba awe logical in your own thoughts, he is forever, you cannot grasp even a fraction of who is kupitia bible unasubiri Aliens wakusaidie? π€£ππ
Kuna shida kubwa sana hapa
There is no religious God, there is only 1 God, huyo huyo unaehangaika kumkwepa ndio Mungu wa kweli, soma Biblia na umuombe ajifunue kwako.We don't know, pengine Mungu yupo lakini sio religious God. And hapa tukijibu ni Mungu then we are trying to fill the gap with God making God of gaps.
Mgongano uko wapi?
Haujasoma bado Biblia na hautaki kuamini licha ya kua na kiu ya uelewa.
There is no religious God, there is only 1 God, huyo huyo unaehangaika kumkwepa ndio Mungu wa kweli, soma Biblia na umuombe ajifunue kwako.
Usihangaike kupambana na dini, utachoka.
Mwisho, acha dhambi ndugu yangu, wengine wanamkwepa Mungu kutokana na dhamira kuwasumbua juu ya dhambi
Naam.
Naunga mkono swala la "illogical ". Walioandika hawakuwa na elimu ya darasani. Unaposema "Yesu alisema" nyakati hizo kulikuwa na vyombo vya kurekodi? Kifungu cha waliokusanyika wengi kumuomba baba nami nipo kati yao kinamaanisha "muwe wengi ili mshiko upatikane wa kutosha"Kila kona ya hiki kitabu ukikisoma vizuri utagundua kuna matatizo mengi mno ya kimantiki sasa sijui inatokea vipi mtu mdadisi, mwenye kufikiria kwa kina anakaa na kukubali tu kila neno lilipo binafsi naona ni kitabu ambacho kina stori tu na hamna kitu cha maana ukiangazia Dunia tuliyonayo Leo:
Kuna maswali machache hapa ningepenga kuyaacha kwa wanaoamini hiki kitabu:
Tukirudi katika mwanzo: Kama Mungu alijua kwa 100% kabla hajamuumba mwanadamu wa kwanza (Adam) au kabla hajakumba wewe na mimi kwamba tutatenda dhambi na hatimaye kwenda motoni, je, mwanadamu ana uhuru wa kweli wa kuchagua?
Kama Mungu alijua matokeo hayo yote bila shaka yoyote na bado akaamua kutuumba katika mfumo huo huo, maana yake matokeo hayo yalitengenezwa na Yeye kabla hata hatujazaliwa. Inakuwaje tena atuadhibu kwa makosa aliyotengeneza Mfumo utakaoyasababisha kabla hatujawepo?
2. Kama kifo na saratani vilikuwepo mamilioni ya miaka kabla ya mwanadamu kuwepo, inakuwaje Biblia iseme kifo na mateso yote yalisababishwa na dhambi ya mwanadamu? Je, Maandiko yanasimamia uhalisia gani?