Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni nani useme ni UPAGANI? Kama HAKUNA ukatoliki basi Hakuna UKRISTU. Tusibishane kujaza servers kwa nukuu zisizo na TIJA. Biblia iliandikwa na WAKATOLIKI ila Martin Luther akapunguza vitabu ku justify imani yake
Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki,Hujui ukichoandika. Wakatoliki HAWAMUABUDU Bikira Maria bali wanamuheshimu. Katika maombi wanamuomba AWAOMBEE kwa Mungu. Acheni upotoshaji
Kama hitaji lako ni kweli basi Mungu akuongoze ktk kweli yote.Kanisa la kweli ni lipi?, linalofuata kila kilicho andikwa kwenye Biblia ?
Naombeni msaada tafadhali nihamie huko
Ni Nani aliyefanya biblia mnazotaja zionekane kkatika mpangilio Huo?Ni tofauti mkuu wakatoliki walikubali na vitabu vingine ambavyo vinakubaliana na mafundisho yao mengine ya uongo kama kuwaombea wafu, ibada za sanamu, unywaji wa pombe nk ambayo kwenye vitabu vilivyokubaliwa na wengine vile 66 haviyakubali ndiyo utaona biblia yao ina vitabu kama wamakabayo, sira nk
Brother,unajiabisha.Kuna majitu hapa yamesoma church History objectively.Yakasoma Theology objectively.Yanajua maeneo yenye ukinzani bila kuathiri imani,yenye ukinzani kwa kuathiri imani.Yanajua perspectives zote.Yanakucheki tu na elimu yako ya divinitu ya foem six.Yanaku enjoy tu.Misale ya waumini ni muongozo wa misa takatifu ambao unamasomo tofauti toka kwenye biblia.. Katoliki haijakataza kutumia biblia mkuu nyie ndio mnapotoshaga watu maana umeandika kana kwamba biblia haina maana kwa Katoliki. Walokole mnashida sana
Jamani Katoliki ndo nn.Au mnaamanisha Catholic,Catholic maana yake mahali pote.Sasa mnamaanisha nn mnaposema mahali poteWapi catholic waliandika biblia
Ama kuna kitabu gani kimeandikwa na catholic .
Catholic waliwatunzia wanawamungu biblia wakati mpaka walipokuja
Ama kuna kitabu kimeandikwa catholic kwenye biblia
Ni roho mtakatifu ndani ya watu
Mungu hawajawahi kutumia shirika
Yeye ametumia mtu mmoja mmoja kwa kila wakati.