Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walutheri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

Kwa kuweka sawa inatakiwa iwe ukristo na siyo Ukristu.
Wewe ni nani useme ni UPAGANI? Kama HAKUNA ukatoliki basi Hakuna UKRISTU. Tusibishane kujaza servers kwa nukuu zisizo na TIJA. Biblia iliandikwa na WAKATOLIKI ila Martin Luther akapunguza vitabu ku justify imani yake
 
Hujui ukichoandika. Wakatoliki HAWAMUABUDU Bikira Maria bali wanamuheshimu. Katika maombi wanamuomba AWAOMBEE kwa Mungu. Acheni upotoshaji
Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki,
My little children, these things write I unto you, that ye sin not. And if any man sin, we have an advocate with the Father, Jesus Christ the righteous:
Hebu Soma hii kuhusu mwombezi ni ni nani. Hii ni 1 John 2:1
 
Kanisa la kweli ni lipi?, linalofuata kila kilicho andikwa kwenye Biblia ?
Naombeni msaada tafadhali nihamie huko
Kama hitaji lako ni kweli basi Mungu akuongoze ktk kweli yote.
 
Ni Nani aliyefanya biblia mnazotaja zionekane kkatika mpangilio Huo?
 
Misale ya waumini ni muongozo wa misa takatifu ambao unamasomo tofauti toka kwenye biblia.. Katoliki haijakataza kutumia biblia mkuu nyie ndio mnapotoshaga watu maana umeandika kana kwamba biblia haina maana kwa Katoliki. Walokole mnashida sana
Brother,unajiabisha.Kuna majitu hapa yamesoma church History objectively.Yakasoma Theology objectively.Yanajua maeneo yenye ukinzani bila kuathiri imani,yenye ukinzani kwa kuathiri imani.Yanajua perspectives zote.Yanakucheki tu na elimu yako ya divinitu ya foem six.Yanaku enjoy tu.
Kwanza unaposema ukatoliki hivi unajua hata unachokisema.Au unaposema uprotestant unajua unamaanisha nn hasa na unalenga kundi gani Na unajua aliyepandikiza hiyo dhana alikuwa na mlengo gani na mtazamo gani.Unajua neno Katoliki na Roman Katoliki yalizaliwaje.Unajua kioindi cha giza wewe.
Jamani,tunapokukupuka,tunaanika ujinga wetu.
Tupunguze kuhemuka
 
Jamani Katoliki ndo nn.Au mnaamanisha Catholic,Catholic maana yake mahali pote.Sasa mnamaanisha nn mnaposema mahali pote
Alafu tutofautishe Catholic Church na Roman Catholic Church.Hivi ni vitu viwili tofauti.Catholic Church ni kanisa la Mungu la mahali pote,hili siyo jengo wa shirika.Ila jumla ya watu wote wanaoamini,Mungu ndiye anayewajua.Ila Roman Catholic Church,hili ni shirikika la kidini lenye makao makuu yake Italia.Likiongozwa na papa.
Sasa tunapojikita kwenye mjadala,tuwe tunajipambanua,wewe ni Catholic Church au Roman Catholic Church
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…