Biden atangaza malipo ya mara moja ya $770 kwa waathiriwa wa moto huko California

Anapewa package ya silaha ambazo hadi thamani yake inatajwa. Na kumbuka watengeneza hizo silaha ni viwanda ambavyo ni private so zinanunuliwa. Ndiyo maana utasikia congress imepitisha package ya silaha zenye thamani ya kiasi fulani.

Upost na matukio yenu dhidi ya wakristu dunian kote
 
China huwa inajali sana raia wake.

Yakitokea maafa kama haya huwa serikali wanajenga nyumba zote kisha kila mwezi wanawakata asilimia fulani mpaka mtu ana maliza deni lake.

Na kama miundombinu ya kazi imeharibika wanaijenga upya kisha mwananchi atalipia taratibu mpaka deni liishe.
 
Hao watalipwa na bima hiyo serikali imewafanyia suna tu. Israel wameuziwa silaha na Marekani na hawajapewa bure halafu wewe hiyo inakupa tabu gani wakati nchini mwako kunafanyika ufujaji mkubwa wa fedha za umma lakini wala huongelei. Mnafiki mkubwa.
Bima ipi?

Mkuu kweli unafuatilia taarifa za habari?
 
Moja si ingemtosha Mkuu mbona umemuwekea tatu?

Akipata mshituko wa moyo huko alipo utafanyaje?
 
ni sawa mkuu. Jamaa wana bima za majengo hvyo waliopoteza magari na makazi watalipwa na bima zao. Wenzetu wameweka msingi wao kwa namna nzuri saana
 
Imagine China ilivyo na watu wengi...
USA kiukweli amepuyanga..
 
ni sawa mkuu. Jamaa wana bima za majengo hvyo waliopoteza magari na makazi watalipwa na bima zao. Wenzetu wameweka msingi wao kwa namna nzuri saana
Wanadai makampuni mengi ya bima yalijitoa miezi michache iliyopita kabla ya janga kutokea.
 
Mmmh. Noma hiyo mara wanasema kuna dhihaka kafanyiwa mwenyezi Mungu kwenye huo mji.
Ukweli ni kwamba watu wengi waliounguliwa na nyumba zao hawatakuja kuweza kujenga tena maeneo hayo na wengi ama wataishia kuwa homeless au watahamia sehemu nyingine kwasababu;

1. Wengi hawana insurance baada ya makampuni ya insurance kufuta mikataba katika hilo eneo kutokana na risk kubwa.

2. Wengi wanaoishi hayo maeneo sio mabilionea kama watu wanavyodai. Kuna watu wengi ambao walinunua hayo maeneo zamani wakati yakiwa bei rahisi na wameendelea kuishi hapo mpaka sasa na kurithisha watoto wao. Kwahiyo uwezo wa kujenga upya hawana.
 
Kazi kweli kweli kama wamefutiwa bima zao basi hapo shughuli kweli. Na kama ni eneo la risk bora kuhama ukaanzie kwengine
 
Kazi kweli kweli kama wamefutiwa bima zao basi hapo shughuli kweli. Na kama ni eneo la risk bora kuhama ukaanzie kwengine
Kwa izo dola 770 hapo naona wengi wataishia chini ya madaraja tu hakuna namna 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…