Simanjiro na Kiteto walishawahi kuathirika. Walichofanya Kenya kwa kweli walikurupuka,mbwembwe nyingi. Wangetumia utaratibu wa kuarifu mamlaka husika kwa upande wa Tanzania,then maabara za nchi zitumike kuthibitisha.Kwani hujawahi sikia kuwa watu walikufa wilayani Chemba - Dodoma kwa sababu ya sumu kuvu?
Hapana ila inatoa changamoto kwa wizara ya kilimo kutoa mafunzo kwa wakulima namna bora ya kujifadhi mazao yao.Kwa hiyo inahusiana na hili sakata?
Hata Tanzania akiamu kuchukua hatua kinzani itakua hajakiuka jambo lolote ni swala la uamuzi tu na ni haki yake kufanya hivyo.Kenya hawajakurupuka, ila walichofanya ni kuchunguza mahindi yetu na kukuta yana sumu kuvu. Tanzania walipochoma vifaranga kutoka Kenya walitoa taarifa Kenya?
Kenya walichofanya ni kutuvua nguo. Maana sasa hatutaaminika sio na Kenya tu, bali Nchi zinginr zote za jirani. Yaan kibiashara au kiuchumi hatua ya Kenya ina madhara makubwa sana kwetu, na sio hatua ambayo ingepaswa kuchukuliwa na nchi kwa jirani yake.Kenya hawajakurupuka, ila walichofanya ni kuchunguza mahindi yetu na kukuta yana sumu kuvu. Tanzania walipochoma vifaranga kutoka Kenya walitoa taarifa Kenya?
Vita ya kiuchumi hiiKuchunguza Bidhaa za Kenya kwa hali ya sasa hakuepukiki. Wataomba tu suluhu kama walivyoomba kwenye suala la Ndege zetu kutua kwao.
Kwani mlipovitia kiberiti vifaranga kutoka Kenya ilikuwa ni nini?Kenya walichofanya ni kutuvua nguo. Maana sasa hatutaaminika sio na Kenya tu, bali Nchi zinginr zote za jirani. Yaan kibiashara au kiuchumi hatua ya Kenya ina madhara makubwa sana kwetu, na sio hatua ambayo ingepaswa kuchukuliwa na nchi kwa jirani yake.
Mtu kuhoji ubora wa bidhaa anazotumia unaita uswahili?Tabia za kiswahili mnazileta kwenye uendeshaji wa shughuli za serikali
Kwani mahindi hayathibitishwi ubora wake?Kwani hizo bidhaa hazithibishwi ubora wake!? Au mahindi ndo yamefanya uwaze kuthibitisha ubora wa bidhaa zao..!?
Tayari mkuu akili zimekuishia.Mweupe kabisa kichwani.Zero brainMshirikina soon atalihutubia taifa kwamba watu ili kuosha meno watu wajifukize.
Hapana Mkuu, sio uswahili.
Ni katika kuhakikisha tu sisi final consumer tunatumia bidhaa salama kabisa kwa afya yetu.
Tatizo fitna zinawaumiza wananchiMuda si mrefu majibu yatapatikana. Muda huu wazee wa fitna nao wamejifungia huku wakitafakari namna ya kujibu mashambulizi.
Just wait and see! Katika hizi fitna,hakika serikali ya magufuli haijawahi kushindwa. Wako vizuri kweli.