Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

Shikamoo Walevi mwaka 2023/24 mmechangia Tsh 929B. Mpewe maua yenu

Ukijumlisha hela ya bia na spirit, na hela ya mafuta ya walevi wanayotumia kwenda bar na kurudi nahisi 1T inafika

SOURCE: The Chanzo

1.⛽️Mafuta- Trilioni 3.6
2.🍻Bia- Bilioni 609
3.🍸Spiriti na Konyagi- Bilioni 320
4.📲Simu- Bilioni 320
5.🚬Sigara- Bilioni 275
6.🍶Vinywaji baridi- Bilioni 188
7.🧋Sukari- Bilioni 89.6
8.🧱Saruji- Bilioni 75
9.🥤Maji ya chupa- Bilioni 72
10.🏭Gesi asili matumizi viwandani- Bilioni 54

Mtu ukipiga hesabu hela ya mafuta ya walevi wanayotumia kwenda bar na kurudi na ukajumlisha mafuta ya kusambazia bia nahisi 1T inafika.

Walevi wapewe maua yao.
Wanywa bia wapewe maua yao.
 
Jumlisha nyama choma wanazokula kodi yake. jumlisha tena supu wanazoamka nazo ahsubuhi hawa ndio walipaji kodi nyingi tz
 
Ukizubaa unakwama.Wakiniangalia ninavyojidai mtoni kwenye mvinyo lazima wakukimbie.🤣
Sasa wee hawajakupa full info...ngoja nikusanue sasa. Huko ukweli wa mambo ni kwamba vibamia wote tutapewa de liboloz na nyie wenye de liboloz mtapewa vibamia.
So wake zako wakiona bilinganya langu lazima waje tuu
 
Huwa nikienda baa au club nikakuta wanawake wamevaa nguo ndefu huwa nahama hio baa🤣nakwosa Ile kitu inataka
Mkuu kwa sisi manguli hivyo ni vitu vya kawaida , kula pombe baki kwenye mstari wako ukizidi unatafuta kupigwa visu vyenye kutu 😂😂😂
 
Shikamoo Walevi mwaka 2023/24 mmechangia Tsh 929B. Mpewe maua yenu

Ukijumlisha hela ya bia na spirit, na hela ya mafuta ya walevi wanayotumia kwenda bar na kurudi nahisi 1T inafika

SOURCE: The Chanzo

1.⛽️Mafuta- Trilioni 3.6
2.🍻Bia- Bilioni 609
3.🍸Spiriti na Konyagi- Bilioni 320
4.📲Simu- Bilioni 320
5.🚬Sigara- Bilioni 275
6.🍶Vinywaji baridi- Bilioni 188
7.🧋Sukari- Bilioni 89.6
8.🧱Saruji- Bilioni 75
9.🥤Maji ya chupa- Bilioni 72
10.🏭Gesi asili matumizi viwandani- Bilioni 54

Mtu ukipiga hesabu hela ya mafuta ya walevi wanayotumia kwenda bar na kurudi na ukajumlisha mafuta ya kusambazia bia nahisi 1T inafika.

Walevi wapewe maua yao.
Sasa ole wake nitakaemkuta akimbugudhi mlevi.
 
Back
Top Bottom