Bifu la maslahi, linavyokatisha maisha ya mwana harakati wa mtaani

Wewe ni tajiri ?

Off course wewe sio tajiri,sasa kipi kinakufanya uhisi matajiri lazima wawe na sifa hizo wakati wewe si tajri ?
Mimi si mmoja wao Mkuu

Ila ushahidi wa nadharia unaonesha hivyo

Wanasema habari za tajiri muulize maskini 😜

Anyways

Umewahi kuonja safari ya mafanikio vile ilivyo na vikwazo?

Mathalani umejiwekea lengo la kumiliki milioni 120 mwishoni mwa Mwaka, zile ups and downs

Kuna sehemu unalazimika kuwa bandidu kuweza kufanikiwa

That's what I meant πŸ™Œ
 
Respect Mkuu
Respect Mkuu
 

Attachments

  • IMG_9099.jpeg
    1.2 MB · Views: 3
Halafu Mbona ume jibu kinyonge πŸ˜„πŸ˜‚, akati wewe ni mmoja wa wanao ongoza kwenye list ya kuelekea u billionaire Mzee.
 
We kijana acha mihemko, nimekwambia movie imetokana na moja ya hivyo vijistory.
Kwani vijistory vyote hiyo suge ndo muuaji??
We mzee usiache mihemko, sijakwambia movie imetokana na moja ya hivyo vijistory. Kwani vijistory vingine suge ndo muuaji??
 
Upo sahihi chief
 
We mzee usiache mihemko, sijakwambia movie imetokana na moja ya hivyo vijistory. Kwani vijistory vingine suge ndo muuaji??
Ndio hujaniambia mimi ndo nakwambia sasa kijana, vijistory vinaungwa ungwa inapatikana movie based on true events.
 
Halafu Mbona ume jibu kinyonge πŸ˜„πŸ˜‚, akati wewe ni mmoja wa wanao ongoza kwenye list ya kuelekea u billionaire Mzee.
Tangu Kijana mmoja humu aseme nijiandae atakuja kuniteka Mimi pamoja na Bibi yenu, nikaamua kwenda kutupa hela zote Mto Msimbazi, bora hela ziende na Maji kuliko kuchukuliwa na Kaka Jambazi 😜
 
Tangu Kijana mmoja humu aseme nijiandae atakuja kuniteka Mimi pamoja na Bibi yenu, nikaamua kwenda kutupa hela zote Mto Msimbazi, bora hela ziende na Maji kuliko kuchukuliwa na Kaka Jambazi 😜
Mimi kama Wana kuja waje tu, na vile Sasa hivi mi ni jobless pro max.
Wata chezea kabali ya shingo, Mpaka wamwone mtoa roho πŸ˜‚πŸ€£
 
Mimi kama Wana kuja waje tu, na vile Sasa hivi mi ni jobless pro max.
Wata chezea kabali ya shingo, Mpaka wamwone mtoa roho πŸ˜‚πŸ€£
Hahaha.........Bora wewe Kijana unaweza kupimana nao nguvu, Mimi na Bibi yako unajua vile tumezeeka

Bila usaidizi wa Manati ya Mzungu (Pistol) hatuwezi kutoboa πŸ˜œπŸ™Œ

Maana kama kulenga shabaha niko vizuri, hata Kaka Jambazi awe Umbali wa mita 750 I can still hit the target πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Tafuta shotgun hii ni fumua fumua, magnum ina penetrate au Beretta πŸ˜ƒπŸ€£, ila sihusiki na maamuzi yako.

Una Kumbuka nili muuliza kuhusu kale ka ushauri!?, Basi nili Anza Hadi kupanga the way to be safeπŸ˜ƒπŸ€£.

Nika waambia home they need to be alerted on anything 😁.
 
Self defense kwenye zama hizi ni muhimu

Hata nyakati za Yesu, alikuwa anatembea na Wanafunzi wake ambao kabla hujamfikia lazima ukumbane nao wao

Tena Kuna mahali, walipovamiwa na wale askari wa Herode, mmoja wa Wanafunzi wake alichomoa Kisu na Kumkata Sikio mmoja wa Maaskari katika kumlinda Kiongozi wao (Yesu)

Nitafanya mpango nipate hiyo Shotgun pamoja na Ulinzi wa Kijadi ili kujilinda vyema πŸ˜…
 
Dah we zee ni muhuni, Eti yesuπŸ˜ƒ.
Shotgun ujue kutumia Sasa, usije ukawa una tetemeka mbele ya adui.

Kuna babu yangu upande wa mama, alikuwa jeshini mwenye cheo kizuri tu.
Siku naona chuma for the first time, nili pata woga na ujasiri aiseeπŸ˜‚.
Nilikuwa 8 Kama sija kosea.
 
Katika Movie ya Yesu, kile kipande cha Petro anachukua Kisu na Kumkata Sikio yule askari huwa nakipenda

Inaonesha, pamoja na ukomavu wa Maombi waliyokuwa wakiyafanya katika kumshinda Shetani, ila still walikuwa na self defense 😜

Kuhusu kutumia hiyo shotgun, nitaenda kupata mafunzo kwenye Kampuni binafsi za Ulinzi, japo nina uzoefu wa Kutumia Bogole

Ile silaha ambayo ukishapiga risasi Moja, lazima uanze kuikoki then baadaye kabisa ndiyo inatoka risasi nyingine
 
Naijua mzee, halafu sio bogole ni gobole πŸ˜πŸ˜ƒ.
Kuna mzee alikuwa ana windia nyani, Sema risasi zake ni Kama gololi.

Ko vijana wa yesu wali kaa kimasta, maana Wana jua uhuni wa binadamu🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…