Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Kumbe ni gobole? Unajua Wazee meno yote yameisha kinywani hivyo tunapata shida kidogo kwenye pronunciation πNaijua mzee, halafu sio bogole ni gobole ππ.
Kuna mzee alikuwa ana windia nyani, Sema risasi zake ni Kama gololi.
Ko vijana wa yesu wali kaa kimasta, maana Wana jua uhuni wa binadamuπ€£π€£
Vijana wa Yesu walikuwa tayari tayari kwaajili ya mapambano, useme yeye Mwenyewe hakuwa tayari kuwaruhusu waingie front π
Mimi mwenyewe bila kuwa mtu wa ποΈποΈ na self defense Kuna mjinga mmoja alitaka kuniibia Bibi yenu Mwaka 47, katika mbinu 100 nilitumia mbinu 1 tu na Dogo aliomba msamaha huku akilia machozi π€