Bifu linaendelea, Mume wa Waziri Gwajima akana kumtambua Mathias Gwajima kama Baba yake

Gwajiboy hajui hata babake!?
 
Gwajima ni tapeli, anaetumia madhabahau kuwahadaa watu, naimani kaka yangu Job Ndugai hataniangusha hiyo kesho.
Pumbavu Sana huyu jamaa, anawaambia wajinga wake pale kanisani eti mtu akishaumwa Corona hana haja ya kuchoma chanjo maana ana kinga tayari na hataugua Tena.

Anna Mghwila(RC Kilimanjaro) si aliwahi kuugua Corona akapona na round ya 2 kaugua Tena na ikasepa nae.Misukule yake pale church haitambui Hilo.
 
N misukule bado inatoa sadaka 😁😁😁😁
 
Inashangaza sana kuona watu wanajaa kanisani kwa Gwajima
Alaf inashangaza mnoo kuona Dorothy Gwajima ni Waziri wa afya, yaan kuna mambo ya kushangaza sana duniani
 
CCM wanamuogopa Gwajima Kama ukoma na Cha kumfanya hawana.
Tangu zamani Gwajima hajawahi kuwa mwana CCM halisi. Alijiunga na CCM wakati wa Magufuli ili kulinda kanisa lake. Na kwa namna Magufuli alivyokuwa anapenda kuabudiwa katika madhabahu alimpokea haraka sana.
 
Serikali inaanza kujadili mambo ya ukoo mmoja.
Kazi iendelee
 
Ila huyu Kitenge tv Mimi kama mwanasimba ishatokea tu hua siziamini habari zake, we have crossed lines so many times. Hata hili siliamini labda muweke video, how come waongee nae pekeake
 
Huyu mtu si wa kumchekea ataharibu credibility ya serikali, akemewe
 
Ila huyu Kitenge tv Mimi kama mwanasimba ishatokea tu hua siziamini habari zake, we have crossed lines so many times. Hata hili siliamini labda muweke video, how come waongee nae pekeake
hujazuiwa kwenda kuongea nae pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…