Bifu ya hawa wawili Arusha bado mbichi

Bifu ya hawa wawili Arusha bado mbichi

Katika siku za hiv karibuni jijini Arusha kumeibuka bifu Baina ya wafanyabiashara wawili ambao inaelezwa hapo awali walikuwa marafiki wa kufa na kupikana.

Wafanyabiashara hawa Elizabeth Mayani maarufu kama “Mama Shombee “ anayemiliki kampuni ya Newlook Bridal na Lilian Mosha mmiliki wa duka la Liliy Love Bridal.

Taarifa zinaeleza kuwa Wafanyabiashara hawa kabla ya kufarakana walikuwa wakifanya biashara kwa pamoja lakini inaelezwa mmoja (Lilian)alimzidi kete mwenzake na kuvuta mpunga na kisha kwenda kufungua biashara zake.

Taarifa hizo za ndani zinaeleza kuwa Mama Shombee ndiye aliyemkaribisha Lilian kwenye biashara lakini baada ya kujanjaruka na kuvuta pesa dukani kwake alitemana nae na kisha kwenda kufungua duka lake kitendo ambacho kilimkasirisha mwenzake na kujenga chuki baina yao.

Itakumbukwa ya kwamba mwanzoni mwa mwaka huu kwenye tuzo za wanawake Arusha zilizoandaliwa na mwanama Fide Mwakitelema Wafanyabiashara hawa wote walijinyakulia tuzo lakini yaliibuka maneno kwamba Mama Shombee alimwaga rushwa kwa waandaaji ili aonekane kinara kuliko wenzake kitendo kilichomuudhi Lilian Mosha.

Inaelezwa katika tuzo hizo Mama Shombee alimwaga fedha kwa MC Dk Kumbuka ili amfagilie katika tuzo hizo kitendo kilichomuudhi Lilian na kundi lake.

Kumekuwa na maneno ya kurushiana mitandaoni baina ya Wafanyabiashara hawa ambao wana ukwasi hali ambayo imepelekea kila mmoja kutengeneza kambi ya kushambulia mwenzake.

Tunaomba watu walio karibu na hawa Wafanyabiashara wawashauri kwamba bifu hazina maana walio karibu wawaweke kitako na wawashauri kwamba maisha sio kugombana wafanye kazi waingize vipato.

Kazi iendeleeee

View attachment 2304146View attachment 2304147
Waambie nina mpango wa kuanzisha na mimi biashara yangu ya aina hiyo na nitafanya malipo yawe nusu ya bei wanayotoza huku nikatoa huduma bora zaidi.
 
Mi nilidhani bifu labda la joh makini na spark dawg 😀😀kumbe bifu la dada wa chuga
 
Wazichape
 
Kitu pekee ambacho kimewashinda wanadamu wengi Ni " uaminifu wa kipesa"
 
Kinachofata ni kuuana

Mishangazi haikunywi vizuri hii vijana wa Arusha wapo busy na bangi, kusaga gombaa na pombe
 
Katika siku za hiv karibuni jijini Arusha kumeibuka bifu Baina ya wafanyabiashara wawili ambao inaelezwa hapo awali walikuwa marafiki wa kufa na kupikana.

Wafanyabiashara hawa Elizabeth Mayani maarufu kama “Mama Shombee “ anayemiliki kampuni ya Newlook Bridal na Lilian Mosha mmiliki wa duka la Liliy Love Bridal.

Taarifa zinaeleza kuwa Wafanyabiashara hawa kabla ya kufarakana walikuwa wakifanya biashara kwa pamoja lakini inaelezwa mmoja (Lilian)alimzidi kete mwenzake na kuvuta mpunga na kisha kwenda kufungua biashara zake.

Taarifa hizo za ndani zinaeleza kuwa Mama Shombee ndiye aliyemkaribisha Lilian kwenye biashara lakini baada ya kujanjaruka na kuvuta pesa dukani kwake alitemana nae na kisha kwenda kufungua duka lake kitendo ambacho kilimkasirisha mwenzake na kujenga chuki baina yao.

Itakumbukwa ya kwamba mwanzoni mwa mwaka huu kwenye tuzo za wanawake Arusha zilizoandaliwa na mwanama Fide Mwakitelema Wafanyabiashara hawa wote walijinyakulia tuzo lakini yaliibuka maneno kwamba Mama Shombee alimwaga rushwa kwa waandaaji ili aonekane kinara kuliko wenzake kitendo kilichomuudhi Lilian Mosha.

Inaelezwa katika tuzo hizo Mama Shombee alimwaga fedha kwa MC Dk Kumbuka ili amfagilie katika tuzo hizo kitendo kilichomuudhi Lilian na kundi lake.

Kumekuwa na maneno ya kurushiana mitandaoni baina ya Wafanyabiashara hawa ambao wana ukwasi hali ambayo imepelekea kila mmoja kutengeneza kambi ya kushambulia mwenzake.

Tunaomba watu walio karibu na hawa Wafanyabiashara wawashauri kwamba bifu hazina maana walio karibu wawaweke kitako na wawashauri kwamba maisha sio kugombana wafanye kazi waingize vipato.

Kazi iendeleeee

View attachment 2304146View attachment 2304147
Honest mimi niwa Arusha

Lkn hivi viumbe hata siwafahamuu.

Ndio kwanza nawasikia leo.

Humu.

And sidhani kama wapo hata kwenye midomo ya watu wafanyabiasha wa Chuga yetuu.

Natambua watu sikuizi wanavyotengeneza ID feki Nakuanza kujisifia

Hili ni tatizo kubwa
Mfano wanasisiasa wengi wa Arusha.

Alishawai fanya Huyu Gambo,
Huyu Kalanga aliyewaikuwa mbunge wa Monduli enzi hizo na wengine wengi.

Hii Tabia ni mbayaa
 
Back
Top Bottom