Mimi sibet usinizulie uongo sheikh, Mimi Nina king'amuz changu home nalipia mechi zote ,Sina ujinga wa kamari za kubetiHiyo ni Siri Yako asilimia 99 ya mashabiki wa mechi za ulaya ni makamilia hilo lipo wazi
Al naitumia kidogo sana hasa kwenye vitabu ambayo nimehifadhi kama hiviBila AI hutoboi nakujua sana utawadangaya hao wajinga wenzio
Ngoja kwanza kwahiyo wewe hukubali kabisa hadithi au unakubali baadhi tu?Hakuna hoja hapo ya kujibu zote hizo ni hadithi za masimulizi Sasa ntajibu nini? Hadith zimeanza kuungwa miaka mi200 kuanzia Mtume aondoke Sasa hapo contradiction ni nyingi mno walio taka kuharibu dini walishindwa kugusa masahaf wakaona sehemu ya kuingilia ni hadithi. Leta hoja au hadithi yenye support ya aya hapo ndio tupambane vizuri lakini ukija hivi hivi na mimi nakuacha hivyo hivyo
Acha utoto ulikua unajiita Aaron au unadhani sikujui? Kuna thread humu ya pasaka na krismas ilifika comment 1k humo unabisha tu kuwa pasak, Christmas na jumapili ni za wapagani nikakuuliza vipi jumamosi inaitwa Saturday sababu ya mungu Saturn ukashindwa kujibu mpaka kesho.ujualo ,Mimi na wewe na mbishi na hajui kitu, Nina ID moja ,badala ujibu hoja unanishambulia Mimi,sijawahi kuona mlokole asiyejua kitu kama wewe ,imebaki tu ukiniona mara msabato, mara hivi mara vile ,
Wewe ndio ulikimbia na ndio ukaikana ID ya Aaron Arsenal. Na ulikua unadai hakuna haja ya squad depth, sijui Saka hawezi kuumia lazima acheze game 70, na kwamba tutashinda ligi hatuhitaji 23 man squad. Na yote hayo yalikuja kufeli saka aliumia, ligi tulikosa na squad depth ilitucost, nkasema LB lazima anunuliwe ukaleta ujuaji na since then wamesajiliwa LB zaidi ya 3!! So basically hakuna unachojua kwenye lolote lile ni small mind unaoshabikiwa na wajinga.Hata huko jukwaa la arsenal hukuwa na hoja na zaidi mwisho uliabika tu, ID yangu ni hii hii na ulibaki kulialia tu, ,basi mpaka kesho umejaza chuki ,kila ukiniona unaona moto
Ona sasa, ulisema Mudryk is better signing than Felix sasa kwa akili zako mudryk yuko wapi? A lot of nonsense. Of course Havertz is a flop ndio maana wamesajili kina Eze, Gyok etc maana yule sio finisher na hana namba tena pale. So once again you failed.umenikumbusha ulimlilia sana Felix ,mara Kai HAIFAI, mara hivi mara vile ,unaaibika tu, dah, sijui yupo wapi, kila sehemu ulinishindwa ,mwisho imebaki kunishambulia tu, ππ
Mbona niliku quote sana mwisho wa msimu ukakimbia jukwaa mazima ukaja kurudi baada ya usajili. Stop being a coward we ni mwanaume ukishindwa kiri sio unakimbia hadi ID kisa umeumbuka.Wewe kama unajiweza rudisha hiyo mada kama hujanichukia mara dufu, Tena sasa hivi usijaribu kabisa
Wala sijaja hapa kudebate nataka hao wanaosema una akili wawe judges!! ngoja waje utanipa feedback.Maana hujui kuwa Ukristo wa awali, ikiwa ni pamoja na Ukristo wa Ethiopia, uliendelea kuenzi Sabato kama siku ya ibada na mapumziko, huku waumini pia wakikusanyika Jumapili kuadhimisha ufufuo wa Yesu.baadae kwa agizo kutoka Roma,
Mababa wa Kanisa walisisitiza heshima kwa Sabato;
Tertullian alisema, βThe observance of the Sabbath is fitting, not to be forsakenβ,
na Justin Martyr aliandika, βWe celebrate the Sabbath with joy, but also assemble on the day of the Lord, the day of Jesusβ resurrection.β
Uliza swali jingineMaulidi hushiriki?ππ
Nlishakumalizaga zamani sasa ndio maana tukahamia kwenye mpira tu. Ntazipandisha hapa thread ulizonikimbia, IQ ndogo ila ujuaji kibao.KWAHIYO KAMA UNAJIWEZA ACHA POROJO ,WEWE SI MLOKOLE WA FPCT ,NJOO UJENGE HOJA KWA HOJA
Unachekesha sana mkuuAl naitumia kidogo sana hasa kwenye vitabu ambayo nimehifadhi kama hiviView attachment 3456262
Mimi nikukimbie wewe kweli? ππNlishakumalizaga zamani sasa ndio maana tukahamia kwenye mpira tu. Ntazipandisha hapa thread ulizonikimbia, IQ ndogo ila ujuaji kibao.
Nikakuletea hadi vitabu vya Ellen White akihamasisha ukoloni wa mtu mweusi na kuunga mkono pro-slavery states!! Cha ajabu aliyekubagua ndio alikuletea neema? Senile
Unaona sasa akili yako ilivyo ndogo ,nikisema uelewa wako mdogo nitakuwa nimekosea ?Wala sijaja hapa kudebate nataka hao wanaosema una akili wawe judges!! ngoja waje utanipa feedback.
Unafungwa kwenye agano la kale basi kapige mawe wazinzi mbona mnachagua sheria za kufuata na zingine hamfuati, wanawake wakiwa period pia wasiende kanisani au kuna torati tofauti kwa wasabato na wakristo?
Embicile.
Jibu swaliUliza swali jingine
Sizungunzii soka huku Jf nowadays ,nipo sana X , ila unanichekesha sana kwa hoja zako Nyepesi, Kwahiyo kwa akili yako Ulitaka Wasisajili CF, n k? Kisa Kai yupo ? Huyo mudrky lin alikuja arsenal,? Huyo felixyupo wapi ?Acha utoto ulikua unajiita Aaron au unadhani sikujui? Kuna thread humu ya pasaka na krismas ilifika comment 1k humo unabisha tu kuwa pasak, Christmas na jumapili ni za wapagani nikakuuliza vipi jumamosi inaitwa Saturday sababu ya mungu Saturn ukashindwa kujibu mpaka kesho.
Wewe ndio ulikimbia na ndio ukaikana ID ya Aaron Arsenal. Na ulikua unadai hakuna haja ya squad depth, sijui Saka hawezi kuumia lazima acheze game 70, na kwamba tutashinda ligi hatuhitaji 23 man squad. Na yote hayo yalikuja kufeli saka aliumia, ligi tulikosa na squad depth ilitucost, nkasema LB lazima anunuliwe ukaleta ujuaji na since then wamesajiliwa LB zaidi ya 3!! So basically hakuna unachojua kwenye lolote lile ni small mind unaoshabikiwa na wajinga.
Ona sasa, ulisema Mudryk is better signing than Felix sasa kwa akili zako mudryk yuko wapi? A lot of nonsense. Of course Havertz is a flop ndio maana wamesajili kina Eze, Gyok etc maana yule sio finisher na hana namba tena pale. So once again you failed.
Mbona niliku quote sana mwisho wa msimu ukakimbia jukwaa mazima ukaja kurudi baada ya usajili. Stop being a coward we ni mwanaume ukishindwa kiri sio unakimbia hadi ID kisa umeumbuka.
Ukiona nimetajwa sehemu ,basi unahangaika sana kama unataka kutaga,Wala sijaja hapa kudebate nataka hao wanaosema una akili wawe judges!! ngoja waje utanipa feedback.
Unafungwa kwenye agano la kale basi kapige mawe wazinzi mbona mnachagua sheria za kufuata na zingine hamfuati, wanawake wakiwa period pia wasiende kanisani au kuna torati tofauti kwa wasabato na wakristo?
Embicile.
Maulidi unashiriki au hushiriki?Hakuna hoja hapo ya kujibu zote hizo ni hadithi za masimulizi Sasa ntajibu nini? Hadith zimeanza kuungwa miaka mi200 kuanzia Mtume aondoke Sasa hapo contradiction ni nyingi mno walio taka kuharibu dini walishindwa kugusa masahaf wakaona sehemu ya kuingilia ni hadithi. Leta hoja au hadithi yenye support ya aya hapo ndio tupambane vizuri lakini ukija hivi hivi na mimi nakuacha hivyo hivyo
Jamaa yupo vizuri.Wengine bila vurugu mechi na utani mambo hayakolei.Unamuacha mtu anauliza jambo jema tu,halafu unampa komedi moja hadi anachoka.hamis77 ni baadhi ya great thinkers wachache waliobaki JF
Endelea kushusha nondo ndugu
View attachment 3456053
Kama vile hapo chini naona comments za "unajipongeza mwenyewe"πππ
Unaelewa maana ya contradiction? Ukiniletea hoja Kwamba Mtume kazini Moja Kwa moja nakuona wewe Bado ni mjinga na hujaja na hoja zenye mashiko ya Mimi kuingia Kwenye mijadala wako,Kumbe na wewe ni wale mnaokataa Hadith?
Mwaka huu kila muislamu hataki maswala ya Hadith
Swali unakubaliana na hadithi ?jibu ndio au hapana na kwa nini ?Unaelewa maana ya contradiction? Ukiniletea hoja Kwamba Mtume kazini Moja Kwa moja nakuona wewe Bado ni mjinga na hujaja na hoja zenye mashiko ya Mimi kuingia Kwenye mijadala wako,
Yaani anaekataza na kupiga vita uzinifu alietuamrisha uzinifu hatutakiwai kabisa kuukaribia ila wew unakuja na hoja kutoka katika hadithi na sio Quran Kwamba kazini je Quran inaruhusu uzinifu? Em njoeni na mada ambazo zina make sense watu kubadili na sio vioja
Fungua profile yako nifukue comments za ule uzi. Hadi ulimkana Ellen White hakua msabato in such na kwamba mafundisho yake hayakuhusu.Mimi nikukimbie wewe kweli? ππ
Hivi huoni unavyogangaikaga na Mimi ,ni wazi unaniwaza sana, Mimi nilishakupuuza sababu niliona uwezo wako mdogo sana ,
Sasa Mimi sitaki ngonjera
Anzisha mada yako ya Easter au Sabato ilete ,sijawahi kuona mfuasi wa FPCT mwepes kama ww