zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Jibu swali kama sabato ni muhimu sana vipi kupiga mawe wazinzi unaonaje nayo tukaishike. Au mnazozipenda ndio zifuatwe pekee ila mnaogopa kupigwa mawe mkizini!!?Unaona sasa akili yako ilivyo ndogo ,nikisema uelewa wako mdogo nitakuwa nimekosea ?
Huu unafiki ndio maana mnadhalilisha Ukristo kwa utapeli wenu
Zaka na sadaka mnatumia agano la kale ,
Issue nyingine mnadanaganya watu hamlitumii
Kajifunze Moral law,Sheria za Musa, Sheria za Mungu za milele ,kajifunze Amri,Sheria na MAAGIZO
NARUDIA Tena acha porojo ,tafuta mada niite ,mm nipo full muda wowote ,
Acha porojo ,nimeshakwambia anzisha mada niite ,muda wakubishana na kilaza hapa Sina ,Fungua profile yako nifukue comments za ule uzi. Hadi ulimkana Ellen White hakua msabato in such na kwamba mafundisho yake hayakuhusu.
Fungua profile kama hujaikana na hii ID mpya
Anzisha hiyo mada ,ni wazi inaonesha akili yako kwenye maandiko ilivyo finyu ,Jibu swali kama sabato ni muhimu sana vipi kupiga mawe wazinzi unaonaje nayo tukaishike. Au mnazozipenda ndio zifuatwe pekee ila mnaogopa kupigwa mawe mkizini!!?
Mungu hafungwi na siku wala majira kwamba jumamosi tu ndio anapatikana!! Mna shida ya akili nyie watu!! Mko kimwili sana wakati mambo ya rohoni hutafsirika rohoni.
Hapo naona unapiga chenga ya mwili kukwepa baadhi ya mambo bila hoja za msingiAnzisha hiyo mada ,ni wazi inaonesha akili yako kwenye maandiko ilivyo finyu ,
Ndio unataka mjadala na mimi ?
Siku Haina umuhimu ,hapo hapo kila jumapili unakaa mbele kupokea mafuta na keki
Kwakuwa uwezo mdogo wakufikiri basi unajipiga risasi mguuni ,
Wewe unasema Mungu hafungwi na siku wala majira, basi mbona FPCT mmeweka Jumapili tu ndiyo siku yenu ya ibada rasmi? 😂😂Au umehama siku hizi ,
Kama kweli Mungu yupo siku zote, kwa nini msikusanyike Jumatatu au Jumatano? Hebu niambie unamfuata nani aliyeanzisha Jumapili kuwa siku ya ibada, Yesu, mitume au wanadamu?
Kwanza usichanganye mambo. Kuna sheria za Mungu za milele, zile Amri Kumi ambazo ni msingi wa maadili na utakatifu. Ndani yake kuna Amri ya Sabato
“Ikumbuke siku ya Sabato uitakase” (Kutoka 20:8-11).
Hizi ndizo za milele.
Lakini kuna sheria za taifa la Israeli walizopewa kwa muda, kama adhabu za kupiga mawe wazinzi. Hizo zilikuwa civil laws za taifa na kivuli cha kufundisha.
Hazina uhusiano na Amri Kumi ambazo ziko juu ya taifa lolote.
Yesu mwenyewe alishika Sabato: “Akaingia sinagogini siku ya Sabato kama desturi yake...” (Luka 4:16). ,Wewe unamfata nani?😂😂halafu unataka mjadala na mimi kweli?
Mitume nao waliendelea kushika Sabato baada ya Yesu kufufuka:
“Paulo na Barnaba wakaingia sinagogi siku ya Sabato...” (Matendo 13:14, 42, 44; 16:13).
Hata kwa watu wa mataifa waliwafundisha siku ya Sabato.
Na kumbuka hata mbinguni Sabato haijaondoka:
“Na itakuwa, mwezi mpya kwa mwezi mpya, na Sabato kwa Sabato, wote wenye mwili watakuja kusujudu mbele zangu, asema Bwana” (Isaya 66:23).
Sabato ni ya milele kutoka Edeni hadi mbinguni.
Yesu alisema wazi:
“Msidhani nimekuja kuvunja sheria... Bali mtu yeyote akivunja hata amri ndogo kuliko zote, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo katika ufalme wa mbinguni...” (Mathayo 5:17-19).Huko makanisani mnakula keki na kunyweshwa mafuta tu ,hawawafundishi hivi vitu?
Na Yohana anasema
“Hapa ndipo penye saburi ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu na imani ya Yesu” (Ufunuo 14:12).
Kwa hiyo tusipotoshe. Sabato ni amri ya Mungu, siyo ya Musa. Sheria za taifa za Musa ndizo zilikuwa na vifungu vya kupiga mawe, lakini Amri za Mungu hazina mwisho. Ndiyo maana hata mbinguni tutashika Sabato.
Sasa kama unasema Mungu hafungwi na siku, kwa nini muongozo wa FPCT umefungwa kwenye Jumapili pekee? 😂
Hapo ndipo unatakiwa ujiulize unafuata Biblia au mapokeo ya wanadamu waliobadilisha Sabato?
Mimi nimemaliza ,Sina muda wakujibishana na wewe nikujishushia heshima ,
Hoja ni ipi ,ingia ulingoni hata weweHapo naona unapiga chenga ya mwili kukwepa baadhi ya mambo bila hoja za msingi
Kumbe kelele zote jamaa ni mfuasi wa Ellen White, kanisa la 1800s"??? na bado anaikana ID yake ya zamani, acha wamtifue kwanza akimbie 😀😀Fungua profile yako nifukue comments za ule uzi. Hadi ulimkana Ellen White hakua msabato in such na kwamba mafundisho yake hayakuhusu.
Fungua profile kama hujaikana na hii ID mpya
Ww ulijuaje hizi amri zinawahasu wote na hizi haziwahusu?Hoja ni ipi ,ingia ulingoni hata wewe
Bora wewe umekuja vzr,Ww ulijuaje hizi amri zinawahasu wote na hizi haziwahusu?
Hapa nataka elimu stak kubishana
Pia niwekee amri na sheria za agano la kale ambazo nyinyi leo haziwahusu namaanisha zote
Andika Kwa summary acha maelezo mengi nataka iwe Specific
Kwahyo mkuu mdudu uli?Bora wewe umekuja vzr,
Hizi amri, sheria na masharti ya Agano la Kale si zote zinawahusu watu leo. Biblia yenyewe inatofautisha, kwa kutokujua kutofautisha haya maandiko hasa matapeli wakidini wamekuwa wanapotosha sana .
Amri za Mungu ni za milele (Ten Commandments / Amri 10) ni za kimaadili na takatifu., Ukitaka kujua hilo, Sura nzima ya Zaburi 119 inazielezea .
Zinaashiria tabia za milele: upendo kwa Mungu na jirani (Kutoka 20:1-17).
Ndio hizo tunaita Amri kumi ,
Kuna amri za vyakula hizi zinaendelea Hadi kesho ,maana zinahusu mwili ambao ni hekalu la roho mtakatifu, matapeli wao wakapindisha wale kila kitu
Naishia hapo Nasubiri maswali
Ndio simli,Kwahyo mkuu mdudu uli?
Je adhabu kwa wazinzi, wezi n.k hizo vipi?
Sawa hapo nakuelewa mkuuNdio simli,
Adhabu kwa wezi, wazinzi hizo zilikuwa Sheria za Musa ,
Ndio maana wayahudi walimtega Yesu ili wasema hafati Torati ,akawapiga vzr sana
Alisema asiye na dhambi ampige mawe
Kwahiyo hiyo Sheria ipo,ila Sharti mpigaji awe msafi ,ndio kimbembe kinaanza hapo
Sasa huyo ndugu ni mlokole anasema kwanini simpigi mwizi mawe ,anasema agano la kale halina kazi, cha ajabu ndio wanalitumia sana kutapelia watu pesa ,Sawa hapo nakuelewa mkuu
Fungua profile yako na ile ya Aaron Arsenal unaogopa nini hahahahah.Anzisha hiyo mada ,ni wazi inaonesha akili yako kwenye maandiko ilivyo finyu ,
Ndio unataka mjadala na mimi ?
Sisi tuna ibada kila asubuhi kuanzia saa 11. Na wiki nzima kuna ibada jioni ikiwemo na hiyo jumamosi tuna ibada. Sasa Ellen anakwambia ni jumamosi tu inatambulika!!Wewe unasema Mungu hafungwi na siku wala majira, basi mbona FPCT mmeweka Jumapili tu ndiyo siku yenu ya ibada rasmi? 😂😂Au umehama siku hizi ,
Wapi wamesema ni jumamosi!! As simple as that.“Ikumbuke siku ya Sabato uitakase” (Kutoka 20:8-11).
Hizi ndizo za milele.
Kweli umeishiwa hoja ,Nina AKAUNT moja tu hii since 2013Fungua profile yako na ile ya Aaron Arsenal unaogopa nini hahahahah.
Fungua kwanza hata kwa dakika 5 tu nifukue zile mada kama hujakimbia JF humu
Akili za Walokole ndio hizi, anasherekea Easter paganism anakwambia Yesu kafufuka jumapili,anasahau maandiko yanasema ni siku ya kwanza ya juma 😂😂😂Sisi tuna ibada kila asubuhi kuanzia saa 11. Na wiki nzima kuna ibada jioni ikiwemo na hiyo jumamosi tuna ibada. Sasa Ellen anakwambia ni jumamosi tu inatambulika!!
Wapi wamesema ni jumamosi!! As simple as that.
unasema “Wapi wamesema ni Jumamosi?” Haya angalia Biblia yenyewe inavyosema:Sisi tuna ibada kila asubuhi kuanzia saa 11. Na wiki nzima kuna ibada jioni ikiwemo na hiyo jumamosi tuna ibada. Sasa Ellen anakwambia ni jumamosi tu inatambulika!!
Wapi wamesema ni jumamosi!! As simple as that.
Hahahhahaa Aaron bwana, embu fungua profile basi kwa dakika 5 tu alafu ufunge hahahahhaa.Kweli umeishiwa hoja ,Nina AKAUNT moja tu hii since 2013
Narudia kwa mara ya mwisho kama unataka mada na Mimi ,anzisha uniite kama hujanichukia Tena
Thread zako, halafu Mimi ndio nizifiche?😂😂 Mbona unachanganyikiwa mapema hivo?Hahahhahaa Aaron bwana, embu fungua profile basi kwa dakika 5 tu alafu ufunge hahahahhaa.
Kama unajiamini unaifunga ya nini!! Kuwa mwanaume acha cowardice.
Thread zangu zote ziko wazi, wewe umezificha kwa kuogopa nini?
Nashindwa kuelewa mwanaume unakuaje muoga kwa hoja ulizoweka mwenyewe.