Biharamulo: Picha ya mtoto akisomea kwenye taa za barabarani

Biharamulo: Picha ya mtoto akisomea kwenye taa za barabarani

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Picha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars).

Barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni.

USSR
20230408_125659.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars), barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni.

USSR View attachment 2580948

Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kilimsibu huyu Mimi Nshomile?

Hapo kina Nshomile wamemdanganya mtoto wa watu kwamba Elimu ndio ufunguo wa Maisha. 🤣🤣
Joking
 
Nini kilimsibu huyu Mimi Nshomile?

Hapo kina Nshomile wamemdanganya mtoto wa watu kwamba Elimu ndio ufunguo wa Maisha. [emoji1787][emoji1787]
Joking
Acha kukalili...nshomile na biharamulo wap na wap?
Elimu tu kidogo...biharamulo kuna wasubi, washubi, wasukuma na wazinza...hakuna wahaya huko...wahaya wanapatikana muleba, bukoba na misenyi...wanyambo wapo karagwe na kyerwa ...wahangaza wapo ngara...
 
Aaah kweli bado tuna safari ndefu mkuu, nani alimpiga picha?)Kwa lengo gani?

Itakua mpita njia mazoea tu kila siku yawezekana alikua anampita hapo akijisomea, akaona apige picha maana unaona kabisa dogo hajui kama anapigwa picha na picha imepigwa kwa kuvizia, amini usiamini kuna kaya za namna hiyo nyingi wala sio sifa, na nchi hii kuna watoto kila siku hutembea kwa mguu kilomita tano kwenda na tano kurudi kufuata shule za sekondari na msingi,
 
Kwa hio wakampiga Picha kabisa kumanisha nini? Km issue ya umeme si February Marope yupo kwanini wasimu-attack awapelekee umeme au wanamuogopa?

Maharage Kande pia hawamjui au wanafanya makusudi? Juzi juzi hapa kuna mhindi kasaini mkataba na mama mkataba wa kusambaza umeme vijijini kwamba anawapelekea umeme huko sasa haya yote ya nini? Hivi hawa wanaofanya hivi hawajui kua mama anamwaga mabillion ili umeme uwafikie au ndio sifa?

Huo umeme wa barabarani ni umeme wa Solar sio umeme wa TANESCO na ukienda vijijini wengi wamefunga Solar asitake kutuenjoy unauza Pamba million 40 unashindwa kununua Solar ya million 1 ?
 
Acha kukalili...nshomile na biharamulo wap na wap?
Elimu tu kidogo...biharamulo kuna wasubi, washubi, wasukuma na wazinza...hakuna wahaya huko...wahaya wanapatikana muleba, bukoba na misenyi...wanyambo wapo karagwe na kyerwa ...wahangaza wapo ngara...
Hakika ila halmashauri ya Biharamulo imejaa wahaya

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua mpita njia mazoea tu kila siku yawezekana alikua anampita hapo akijisomea, akaona apige picha maana unaona kabisa dogo hajui kama anapigwa picha na picha imepigwa kwa kuvizia, amini usiamini kuna kaya za namna hiyo nyingi wala sio sifa, na nchi hii kuna watoto kila siku hutembea kwa mguu kilomita tano kwenda na tano kurudi kufuata shule za sekondari na msingi,
Umetia chumvi nyingi sana Mimi nimeenda bush ndani ndani huko hakuna umeme Ila wakiuza mazao yao wananunua Solar sio wajinga kiasi hicho, na Solar wanazotumia zina Mwanga tu km huu wa TANESCO
 
Acha kukalili...nshomile na biharamulo wap na wap?
Elimu tu kidogo...biharamulo kuna wasubi, washubi, wasukuma na wazinza...hakuna wahaya huko...wahaya wanapatikana muleba, bukoba na misenyi...wanyambo wapo karagwe na kyerwa ...wahangaza wapo ngara...

Uko sahihi biharamuro wasubi, wazinza, wasukuma, watutsi, waha ndio wengi, wahaya huanzia wilaya ya muleba, bukoba, misenyi, wanyambo wako wengi karagwe, ngara ni wahangaza lakini mkoa wa kagera hubebwa na kabila kubwa na wenyeji ambao ni wahaya, ndio maana ukitoka kagera kila mtu huhisi wewe ni muhaya kama ilivo mtu kutoka kigoma huitwa muha lakini hata huko kuna makabila mengine mengi, na ni proud kwa makabila wasio wahaya kujifunza kuongea kihaya tena kwa ufasaha kabisa
 
Back
Top Bottom