Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu vingine tutailaumu serikali Bure tu
Hapo tuamini habari Gani?
Nami nimeiona hapa,then nimeikuta kwenye huo mtandao...labda kwa kufananisha mazingira kwa wanaopafahamu Katakwi..Hapo tuamini habari Gani?
Umenikumbusha Kagera, hadi raha wallah....hakika nitarudi tena!Acha kukalili...nshomile na biharamulo wap na wap?
Elimu tu kidogo...biharamulo kuna wasubi, washubi, wasukuma na wazinza...hakuna wahaya huko...wahaya wanapatikana muleba, bukoba na misenyi...wanyambo wapo karagwe na kyerwa ...wahangaza wapo ngara...
Laana iwafikie Taa na siko wanaoweka mazingira magumu ya kupata umemePicha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars).
Barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni.
USSR View attachment 2580948
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeelewa madhara ya kibatari wala usingeuliza kiko wapi.INA MAANA HANA TAA KWAO HATA KIBATARI? AU JOHN KISOMO HADI BARABARANI??
Wenye degree zao kibao mtaani huko WAMEFIKA WAPI?Atafika mbali huyo, Mungu atamsaidia
Na kwa jirani nako ni hivyohivyo, unaweza nenda nyumba hadi 15 wote hakuna mwenye solar au umeme.Nadhani Dogo yuko sahihi na hizi solar za barabarani zingefika huko vijiji tungeona maajabu kama haya kila siku.HUyo kapenda tu kams kwao haupo si aende kwa jirani? Kulikua na ulazima gani kusoma usiku ule?
Unajua bei ya solar lkn? Kijijin vitu vyenye shida kuvipata ambavyo mtu wa mjini wala hafikirii kama ni shida ni simu ya smart na umeme,Huyo aliyempiga picha mwambie amnunulie hata solar au aweke bajeti ya mishumaa au kibatari...
Aisee ?!!!!!Unajua bei ya solar lkn? Kijijin vitu vyenye shida kuvipata ambavyo mtu wa mjini wala hafikirii kama ni shida ni simu ya smart na umeme,
Inaonekana anakitu atafika mbaliPicha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars).
Barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni.
USSR View attachment 2580948
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya watasema mtoto ni wa kwaoPicha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars).
Barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni.
USSR View attachment 2580948
Sent using Jamii Forums mobile app
picha nzuri sanaPicha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars).
Barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni.
USSR View attachment 2580948
Sent using Jamii Forums mobile app