Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Nakumbuka kipindi hio nyumbani porini hakuna umeme Sasa karibu na nyumbani maana nyumba ilikuwa barabarani kabisa niliweka tuta
Hivo magari ya mkaa yakipita usiku pale kwnye bamsi napata nafasi ya kusoma walau kwa sekunde kadhaa ..na ikumbukwe unaweza kaa dk kumi haijapita gari yoyote
Target yangu kwa siku nimagari kumi
Hivo magari ya mkaa yakipita usiku pale kwnye bamsi napata nafasi ya kusoma walau kwa sekunde kadhaa ..na ikumbukwe unaweza kaa dk kumi haijapita gari yoyote
Target yangu kwa siku nimagari kumi