Nini kilimsibu huyu Mimi Nshomile?Picha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars), barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni.
USSR View attachment 2580948
Sent using Jamii Forums mobile app
SIFA
Aaah kweli bado tuna safari ndefu mkuu, nani alimpiga picha?)Kwa lengo gani?Huko kuna kaya umeme haujafika, kibatali kinawashwa wakati wa kula tu, ukipata mwanga kama huo inabidi akasome ili asipoteze muda,
We jamaa mtukutu sanaKatoroka kaz home , au kapewa daftar na mshikaj wake acopy notisi ila kwa sharti la kutoenda nalo home , jamaa akaona acopy hapo hapo amrudishie daftar lake
Juliana ndio wapi?Nshomile ukiwakuta Juliana Wana mbwembwe sana!
Acha kukalili...nshomile na biharamulo wap na wap?Nini kilimsibu huyu Mimi Nshomile?
Hapo kina Nshomile wamemdanganya mtoto wa watu kwamba Elimu ndio ufunguo wa Maisha. [emoji1787][emoji1787]
Joking
Aaah kweli bado tuna safari ndefu mkuu, nani alimpiga picha?)Kwa lengo gani?
Hapa Africana Mwai Kibaki Pub Moja matata sana!
Hakika ila halmashauri ya Biharamulo imejaa wahayaAcha kukalili...nshomile na biharamulo wap na wap?
Elimu tu kidogo...biharamulo kuna wasubi, washubi, wasukuma na wazinza...hakuna wahaya huko...wahaya wanapatikana muleba, bukoba na misenyi...wanyambo wapo karagwe na kyerwa ...wahangaza wapo ngara...
Umetia chumvi nyingi sana Mimi nimeenda bush ndani ndani huko hakuna umeme Ila wakiuza mazao yao wananunua Solar sio wajinga kiasi hicho, na Solar wanazotumia zina Mwanga tu km huu wa TANESCOItakua mpita njia mazoea tu kila siku yawezekana alikua anampita hapo akijisomea, akaona apige picha maana unaona kabisa dogo hajui kama anapigwa picha na picha imepigwa kwa kuvizia, amini usiamini kuna kaya za namna hiyo nyingi wala sio sifa, na nchi hii kuna watoto kila siku hutembea kwa mguu kilomita tano kwenda na tano kurudi kufuata shule za sekondari na msingi,
Mbona napita hapo kila siku naenda jangwani see breeze ila sipajui .one day nitapatafutaHapa Africana Mwai Kibaki Pub Moja matata sana!
Acha kukalili...nshomile na biharamulo wap na wap?
Elimu tu kidogo...biharamulo kuna wasubi, washubi, wasukuma na wazinza...hakuna wahaya huko...wahaya wanapatikana muleba, bukoba na misenyi...wanyambo wapo karagwe na kyerwa ...wahangaza wapo ngara...