Biharamulo: Picha ya mtoto akisomea kwenye taa za barabarani

Hongera zake dogo,ila asije akatokea devera stearing imshinde
 
Huyo aliyempiga picha mwambie amnunulie hata solar au aweke bajeti ya mishumaa au kibatari...
 
Umenikumbusha Kagera, hadi raha wallah....hakika nitarudi tena!
 
Namuombea atoboe afu awe fisadi asepe na kijiji.
 
Laana iwafikie Taa na siko wanaoweka mazingira magumu ya kupata umeme
 
INA MAANA HANA TAA KWAO HATA KIBATARI? AU JOHN KISOMO HADI BARABARANI??
Ungeelewa madhara ya kibatari wala usingeuliza kiko wapi.

Hapo unachokiona ni failures za CCM miaka zaidi ya 60 ya uhuru. Halafu mama Samia akaja kufuta unafuu wa upatikanaji wa umeme nchini kisha mnasema anachapa kazi

CCM ni adui wa Taifa
 
HUyo kapenda tu kams kwao haupo si aende kwa jirani? Kulikua na ulazima gani kusoma usiku ule?
Na kwa jirani nako ni hivyohivyo, unaweza nenda nyumba hadi 15 wote hakuna mwenye solar au umeme.Nadhani Dogo yuko sahihi na hizi solar za barabarani zingefika huko vijiji tungeona maajabu kama haya kila siku.
 
Huyo aliyempiga picha mwambie amnunulie hata solar au aweke bajeti ya mishumaa au kibatari...
Unajua bei ya solar lkn? Kijijin vitu vyenye shida kuvipata ambavyo mtu wa mjini wala hafikirii kama ni shida ni simu ya smart na umeme,
 
Unajua bei ya solar lkn? Kijijin vitu vyenye shida kuvipata ambavyo mtu wa mjini wala hafikirii kama ni shida ni simu ya smart na umeme,
Aisee ?!!!!!

Hivi vidude vinauzwa kiasi gani, je ni gharama kuliko hio camera jamaa aliyotumia

 
Inaonekana anakitu atafika mbali
 
Wakenya watasema mtoto ni wa kwao
 
picha nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…