Uchaguzi 2020 Biharamulo - Rusahunga Dkt. Magufuli aikacha Ngara, aelekea Kigoma

Mbona alipokuwa Mara hakwenda Tarime, mbona hukusema KAIKACHA TARIME!? Wacheni habari za kubumba hazikusaidii wala hazisaidii chama chako!
 
Wakuu nani mwenye kakideo ka pale bukopa meko akiteta na wanabukoba?
 
Niliona umeweka ile mliosimamishwa na ya Biharamulo n.k nikajua unaweza kutuletea zote nilizoomba at za Kigoma, Kagera, Katavi,Rukwa Tabora na Lindi, Ntwara etc

Unakuwa mtu wa kudhani dhani sana mkuu.

Hakuna picha ya Biharamulo hapo labda kama unamaanisha nyantakara iko wilaya ya Biharamulo.

Tafadhali usinipe kazi zisizo zangu hiyo ndiyo busara ya daraja la chini tu ambayo kama binadamu tu mtu unatarajiwa kuwa nayo.
 
Mbona alipokuwa Mara hakwenda Tarime, mbona hukusema KAIKACHA TARIME!? Wacheni habari za kubumba hazikusaidii wala hazisaidii chama chako!

Hujui kwa nini sikusema ya Tarime?

Jifunzeni kushirikisha ubongo mnaposoma mada na hata kutoa maoni:


"Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo."

Mliambiwa kuja kujibu hoja. Someni kuelewa vinginevyo mnavyoleta ni viroja tu.

Kwa hivi ni dhahiri hata yale malipo yenu pendwa katu hamstahili.
 
Soma vizuri nimeandika mliposimamishwa na biharamulo
 
Hii map yako haina biharamulo?? Na hapo mliposimamishwa?? Na sehemu zingine ?? Any way ngoja nikuache kama ulivyo
 

Kama hadi sasa huoni utofauti wa barabara ya rusahunga- Rusumo na barabara za Tabora, then obviously you are on a very wrong forum indeed!
 
Soma vizuri nimeandika mliposimamishwa na biharamulo

Hakuna cha kusoma vizuri hapo. Haipo picha yoyote ya Biharamulo. Picha zote ni za nyantakara ambayo iko wilaya ya Biharamulo.

Acha kurukia rukia picha na kujiaminisha ni za huko unakotaka wewe ziwe.
 
Hii map yako haina biharamulo?? Na hapo mliposimamishwa?? Na sehemu zingine ?? Any way ngoja nikuache kama ulivyo

Ukielewa wewe nyani wataamia ngedere mashambani.
 

Ujinga mzigo. Vyenu ni viroja. Mlitumwa kwa buku 7 kujibu hoja.

Umeona hii mada ina nini cha kufanya na Google mburura kamili wewe? Au wewe ndiyo unataka kujifanya unajua sana kutengeneza mabarabara?

Liko huko la rusahunga rusumo kama huwezi kamwambie babu yako mwaka huu ataula wa chuya!

Huyu anayepiga Kona tuachieni sisi. Huyo halali yetu Oct 28.

Ameshindwa ku meet very minimum expectations zetu na ndiyo kilicho kwenye mada. Nothing more and nothing less.

We shall meet him that Wednesday at our best.
 
SOMA RATIBA YA TUME LEO 17/9/2020 NA KESHO 18/9/2020 MAGUFULI ANATAKIWA KUHUTUBIA MIKUTANO MKOA WA KIGOMA, AKIVUNJA SHERIA MTASEMA NI DIKITETA. SUBIRINI MNYOLEWE
Ratiba unapeleka mwenyewe tume haiwezi kukulazimisha sehemu ambayo hautaki kwenda
 
Nionavyo mimi Rais wetu anastahili kuwa rais wa marekani, rais wa marekani huwa haongelei vitu vidogo vidogo, vitu kama hivvyo uongelewa na magavana wa majimbo. yeye ataongelea miradi mikubwa inayowahusu wamerakani wote mfano usalama, bima ya afya, kwenda anga za mbali, kuivamia nchi flani/ korea nk
 

Oct. 28 ataujua vyema u rais wa marekani.
 
Endesha lori lako nenda zako kwani anapita kila sehemu??
 
Huko kuna wakimbizi na maguleneti yenu msije leta hatari ya kumuua Rais wetu. Lazima mkae mbali mwamba apite.
 
Endesha lori lako nenda zako kwani anapita kila sehemu??

Nikadhani kule kwenye changamoto kunakomhitaji kulikuwa ni kipaumbele?

Niendesha Lori kwenda Lupaso?

Mamburura kweli nyie. Mliambiwa kujibu hoja. Kwa hivi viroja hamstahili hata hizo buku 7.

Hamumsaidii lolote na Oct 28 wanakwenda na maji.
 
Nikadhani kule kwenye changamoto kunakomhitaji kulikuwa ni kipaumbele?

Niendesha Lori kwenda Lupaso?

Mamburura kweli nyie. Mliambiwa kujibu hoja. Kwa hivi viroja hamstahili hata hizo buku 7.

Hamumsaidii lolote na Oct 28 wanakwenda na maji.
Hatuna shida ushindi ni lazima 28 October 2020! Tunachotaka sasa ni kuongeza tu asilimia zifike 95% wapinzani waambulie 5%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…