BIKRA ya mwanamke sio ishara ya ubora wake. Ulimwengu wa mtu upo kichwani na moyoni mwake, hata siku moja uchi hauwezi amua chochote.

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,404
Reaction score
5,682
Ooh hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra,

Mara ooh ukikuta hana bikra, piga chini.

Kama ingekuwa hivyo wengi wenu msingekuwepo hapa duniani.

Mwanamke akiamua kukubadirikia atakubadirikia tu haijalishi ulimkuta sealed au open case kwa maana mindset ipo kichwni na sio ukeni

Acheni utoto.
 
Watajua wenyewe.

Ila mwanaume ukiwa unajielewa, Mwanamke akiwa ametumika sana before U anakua tasteless.

Yaani unataka kuoa demu, bikra ya mbele hakuna, Ya nyuma hakuna, Matiti yote yako chini, ana mtoto mmoja, elimu hakuna, pesa hana.

Na aina hii ya kupe, unakuta Tabia mbovu, Uzazi changamoto na uchawi juu.

Bora ubaki single tu.
 
Baki kwenye financial analysis
 
Me naona huwa wanatania tu.
 
Kwa uelewa wako,
Mwanamke mwenye Akili na mindset Bora, na tabia njema hatathamini bikra yake ili aje ampe mwanaume atakayemuoa?

Kwa uelewa wako kama wewe ungekuwa mwanamke, alafu wanawake wangekuwa wanaume unafikiri wao wasingethamini bikira yako?

Unajua kwa nini wanawake wanaakili kuliko wanaume wengi ikiwemo wewe?
Kwa kukusaidia,
Mwanamke anaakili kuliko wanaume wengi kwa sababu ni viumbe wenye standards, viumbe wabinafsi(wenye akili),
Viumbe wasioendekeza wala kuweka karibu watu wasionufaika nao.

Ndio maana wanawake wanaringa coz wanajua thamani zao, Wana standards, na wanadharau watu wasiojielewa na wasio na standards(wasiojipenda)

Mwanamke anaheshimu wanaume wanaojitambua, wenye standards, wenye kujua vitu vizuri na vitu Bora

Wewe kama hujui bikira inathamani gani sio ajabu hata kuchagua mwanamke mzuri hutoweza.

Kwa sababu uzuri na uchanga, ubichi kwa mwanamke vinaenda sambamba.

Hata uchukue mwanamke mzuri kama malaika lakini ni Mzee mwenzaki achukue binti mbichi Mdogo wakawaida. Wewe utataniwa na kudhihakiwa hujui kuchagua.

Siongei yote haya kuponda wasio na bikira.
Ila najaribu kukuambia kuwa usifananishe kitu kipya na kitu kilichokwisha kutumika.
Kipya ni kipya.
 
Ewe kijana unayepambania maisha yako. Ukitaka kujua mwanamke yupi sahihi kati ya mwenye bikra na asiye na bikra.
Kamuulize baba yako.
Au kamuulize mama yako.

Huko utapata majibu sahihi na yenye uhakika.
Usijiwaulize vijana wenzako, maana watakupa majibu waliyofikiria kutokana na hisia za nyege.
 
Brother mtibeli sikupingi. Ila sidhani kama mwanamke anaweza hayo yote pekee yake.

Unajua thamani ya mwanamke inatokana na mwanaume.
Ukiona mwanamke anaoneka ana akili sana kwenye jamii.. Basi jua wanaume wameamua kujishusha thamani.

Mwanamke hatakuwa na thamani kama mwanaume/wanaume hawatamthamini.
Mwanamke akiwa na thamani/anaheshimika basi jua kapewa thamani/kaheshimishwa.
Na man hathamini/haheshimu bila kujishusha. Maana ataonekana bado yupo juu.

Kwa hiyo,
Mwanamke anathaminiwa na kuheshimishwa.

Ila mwanaume,
Anajithamini na anajiheshimisha.
Kuanzia mtaani, kwenye jamii mpaka dunia nzima.
 


Mkuu wanawake ni watu kama walivyo wanaume.
Wanaakili, wanahisia, wanamaamuzi, wanamachaguo.

Tena kutokana uzuri wao inawafanya wawe na akili zaidi kuliko wanaume kwani wanautumia uzuri wao kujiwekea thamani, standards, na kuutumia kupata wayatakayo. Ikiwezekana kuwatumikisha maelfu ya wanaume.

Akili za Wanawake wanazaliwa nazo, ila elimu wanaweza kuchukua kwenye jamii.

Mwanamke mwenye umri wako kiakili ngumu Sana kumpata.
Yaani ni wanaume wachache Sana wenye uwezo Sawa na wanawake wa rika Moka. Na katika wachache hao Watibeli tupo

Chukua binti wa miaka 14 na kijana wa miaka 14 alafu angalia uelewa wao. Utajua kati ya mwanamke na mwanaume Nani yupo mbele ya mwenzake.

Mwanamke hata ukim-cheat reaction yake kubwa ataangalia mwanamke uliye-cheat naye. Kama sio mzuri, Hana pesa, aiseeh atakudharau Sana na sio ajabu akakuacha.

Lakini kama ni pisikali na mpunga upo anaweza akakusamehe
 
😁😁😁😁😁
 
Sawa MWAJUMAπŸ”₯πŸ”₯
 
Umenena vyema
Na upande unaoliwa sana hapa ni wale wanaomtaka sharukhan(gen z)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…