BIKRA ya mwanamke sio ishara ya ubora wake. Ulimwengu wa mtu upo kichwani na moyoni mwake, hata siku moja uchi hauwezi amua chochote.

Bikra muhimu sana....
 
Kwani haiwezekani akawa navyo vyote viwili,yaani ubora kichwani na bikira. Kwamba akiwa na kimoja wapo lazima akose kingine?

Bikira anakuja purity, fresh womb, innocence, non traumatized, no comparisons, proven loyalty. Huyo ambaye ashatumika anakuja na nini ambacho bikira hawezi kuwa nacho?
 
Kama baba ako alioa MALAYA sio lazima na wewe uishi kwenye misingi hiyo
Mwanaume HAKIKISHA UNAOA MWANAMKE BIKRA
 
KULE TWITTER KUNA MWAMBA ANAJIITA MALCOLM MLINGANYA pata muda upitie nyuzi zake
 
sahihi, kikubwa mwanamke akupende tu. Akikupenda hakuna unachokitaka kutimiza na kukipata ambacho hautakipata kwa ushirikiano wake.
 
Jombaa si buku tu, yaani na kufeel hakyanan

Kama ni pande zangu, ningekupa michongo kiwalani

Ungepiga mapene mpaka seme Jomba hiiivi ni nani🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…