Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

Nime jaribu kutafakari kwa kina juu ya maongezeko haya maana maongezeko ya tanzania miaka baada ya miaka yamekuwa ni makubwa sana let say kuanzia kwa mkapa JE MAONGEZEKO HAYA HAYANA TAFSIRI YA KWAMBA NI SHILINGI YETU NDIYO INAYODONDOKA AU INA LOOSE PURCHASING POWER? EBU WADAU NISAIDIENI HAPA
 
Kumbe inawezekana kukusanya kodi bila vitisho, kufunga watu, kukwapua hela kwenye accounts za wafanyabiashara na kubambikia watu kodi za hovyohovyo na uongo!! Kazi na iendelee....
 
Wewe CM 1774858 nitakupa nishani ya Uzalendo,
Unaleta maneno ya faraja sana kwa Taifa,

Mimi na Samia damu damu

Kazi iendelee
 
Umesahau huko hakuna interest and penalties na fine za miaka 5 nyuma kutoka kwa wafanyabiashara.

Umesahau huko hakuna akaunti za benki kufungiwa na kuchukua fedha.

Huwa mnataka kina nani walipe kodi?
Anasahau kuwa tozo mara nyingi ni indirect haina maumivu ya moja kwa moja ya mfanyabiashara kuonana uso kwa uso na mtu wa TRA. Anasahu unyama mwingi tu wamefanyiwa mpaka wakalazimika kufunga biashara zao.
 
🚮🚮🚮 Achana na vichaa
 


umekaa na familia yako wewe kama baba unaingiza laki kwa mwezi

ukawaambia wwna familia wako 5 kuanzia leo kila mmoja alete elfu ishirini

wanafamilia wakakubali

kwa mwezi sasa mnaingiza Tsh laki mbili


halafu jirani anamsifia baba yako kuleta kipato cha laki 2 kwa mwezi!!

unajua katoka magoli mengi ya baba yako yaliyoenda chooni, na mimba nyingi ambazo mama yako alizitoa..ikawaje ukazaliwa wewe? ni laana ya matendo ya wazazi au? si kwa akili hizi
 
Mwacheni Magufuli apumzike uongozi wake bado wakumfikia msimlinganishe, fanyeni yenu, pia kipindi chake hizo tozo tunazokamuliwa mpaka damu hazikuwepo.
 
T
Anasahau kuwa tozo mara nyingi ni indirect haina maumivu ya moja kwa moja ya mfanyabiashara kuonana uso kwa uso na mtu wa TRA. Anasahu unyama mwingi tu wamefanyiwa mpaka wakalazimika kufunga biashara zao.
Tena bora huku tanzania uko Ulaya mnakosema kuna uhuru,ukikutwa umekwepa kodi,unafirisiwa na kufungwa kabisa.Sio kufungiwa biashara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…