Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Umeharibu kufikiria kuwa wanaolipa kodi za majengo asilimia kubwa sio wahusika?Huo ni mtazamo mpya wa ukusanyanji wa kodi, kila mwananchi sasa anachangia pato la taifa maskini kwa tajiri, maskini sasa anaweza kusimama kifua mbele kwamba na yeye ni muhimu katika Taifa - anachangia ujenzi wa kituo cha afya, madarasa na barabara. Kodi za majengo zimekuwapo zaidi ya miaka 10, kama kuna watu wanashangaa mwaka huu- hii ni dhahiri kuwa watu wengi walikuwa wanakwepa kulipa. Hongera kwa awamu ya Sita kwa kungamua hayo.
Wasipotangaza tunasema wanaogopa mapato hakuna na wakitangaza tunasema data za uongo. DaahKamba tupu
Hakuna biashara nchini za kusapoti makusanyo hayo
Tayari pungufu wameomba mkopo kea kutumia corona usione wanalazimisha chanjo nia yao wapate mkopobado sana hiyo pesa bajeti 36 t makusanyo kwa mwezi 1.9 t maana yake kama kila mwezi tutakusanya kiwango hicho ambacho ni impossible pia tutakuwa na gap la 11 t hizi pesa zote tutazitoa wapi ili tukamilishe kile tulichoiandaa kwa 2021-2022 possible tutakopa so tutegemee mikopo kutamalaki...
Wakati huo wewe moto unakushughulikia hapa hapa duniani😂😂😂Hata kama sijadhulumiwa mimi binafsi lakini haiondoi kwamba alikuwa dhulma,moto wa jehanamu umshughulikie kisawasawa huko alipo.
Endelea tu kujichekeshaWakati huo wewe moto unakushughulikia hapa hapa duniani😂😂😂
Tozo siyo kodi, ndiyo maana tozo ina account yake maalum, na ina matumizi yake maalum pia (Kujenga madarasa, vituo vya afya na barabara vijijini)Kwakweli walichofanya ni sasa hivi ni mfanyabiashara ambae alikuwa analipa lundo la kodi sasa analipa na Tozo juu
Mwananchi wa kawaida nae analipa Tozo
Tozo siyo kodi
shauri yenu, semeni vyovyote manvyoweza kusema!Ya Tehama,kwani hizo Control number zimekomaliwa kipindi gani,ila Magu hashindani na Samia,maana Samia uwezo wake haufiki hata robo ya Magufuli😂😂😂
Kwani hiyo miradi ujenzi hauendelei??Labda kusanyo la b 900!
Kama anakusanya kodi kubwa angemalizia miradi yote ya JPM!
Hapa ni sifa ili agombee 25, na namhakikishia hata kwa usanii 25 hatoboi
Kura za bara ni za mtu wa bara
Watu milion 2 wa Zanzibar hawatapata kitu
[emoji3][emoji3][emoji3]Tulia chief katiba mpya ni mpaka tufike 5tr per month.Kumbe uchumi umesimama tupeni katiba mpya sasa....
Umemsahau Kikwete aliyeanzisha haya makusanyo?.Mifumo aliyoiweka Magu ndio inafanikish hayo, huyu mama enu within 6 months hawezi kufikia level ya ukusanyaji huo.
RIP JPM