Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

"Wale walenga shabaha(snipper )"

Wale hawakua walenga shabaha nakataa kwa msisitizo. Unalengaje shabaha namna Ile,.

Labda ungesema Wamwaga njugu, kama Taifa linategemea Sniper za namna Ile (Hama ndoho kazi tetele)
Wale hata JKT hawakupita ni vijana wa hovyo wa mitaani
 
Kampeni za kiboya Sana naona yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…