Bila haya Bidada ana miaka 33 anataka nimwoe. Nimemcheck usoni yupo serious kabisa

Nimeanza kukuelewa sasa Mkuu ila saa nyingine yanakuwa ya kupita hayo na wanakuwaga na bahati hatari unaweza shangaa hata asifike 30 akawa amempata wa kumuoa.
 
Ilishawahi kunikuta hii[emoji23] [emoji23]
Mwanamke yule alinishangaza japo mzigo nilipiga mara mbili na alikua rafiki yake kaka yangu, walikutana kwenye mambo ya ofisini huko ndo kaka akaja nae home.

Alikua mtumishi serikalini na mimi ndo kwanza nilikua mwaka wa mwisho chuoni, kipindi hicho alikua kanizidi kama miaka 6 kiumri.

Baada ya kua nae nikashangaa anataka tuwe wachumba, nilivyomuacha solemba hatokuja kuamini mpaka leo na alinipa ela sana kumbe ulikua mkakati maalum.
 
Tatizo mdada kama huyo mpaka kufikia umri huo unaweza kukuta ni maringo yake ndio yamemfikisha hapo,yawezekana ameshakutana na watu serious wa kuhitaji kuanzisha maisha na yy lkn akajiona bado muda,kuja kushtuka jua linakaribia kuzama ataacha kuwa kin'gan'ganizi?...
 
Sikupingi mkuu. Najaribu kuweka wazi yale ambayo huwa hayaonekani lkn baadaye yanaonekana watu wakishakuwa ndani ya ndoa. Mimi mwenyewe nafurahia sana ndoa yangu tena sana tu. Lkn ukweli unabaki palepale kumuoa mwanamke mkubwa kuna changamoto nyingi especially akiwa amekuzidi umri above 5 yrs na akawa yupo abave 34. Changamoto zinakuwa kihisia na kimwili. (psychological and physical). Ni ngumu sana kuyaelewa haya hadi uwe ndani yake yakukute. Pia mwanamke akiwa mkubwa kiumri anaweza kuwa na vipaumbele ambavyo kwakweli haviendani na ww kwa wakati huo, hili nalo litakuwa changamoto maishani mwenu ktk kipindi cha miaka 5 hadi 10 ya ndoa. Swala la Gudume, simuungi mkono kwasababu mtu anayemkataa kwa kusema ametumika sana hata yy anashiriki kumtumia na kumpotezea wakati, hilo si jambo jema.
 
ila bora wadada 30+ kuliko ukutane na kaka 35+ huwa awajielewi kabisaaa..
 
Yeah man...hapa nakusoma...kiukweli mwanamke na mwanaume of the same age...kiukweli ni kuwa mwanamke anakuwa amemzidi mwanamke upeo kwa zaidi ya miaka 5 older...Lakini boss...kama mwanaume ana miaka 21 anaoa mwanamke wa miaka 34..its obvious hapo kutakuwa na utofauti mkubwa sana wa maono.....
 
wengi wao ni wale wakula ujana kwanza, wakiamka kumekucha umri umekimbia
 

Ikishafikia huko kaka hakuna jinsi hapo inabidi tu mkubaliane tu sababu hamna kingine zaidi ya kuwa ving'ang'anizi.
 
mi sijawahi kuwa hvo watu kama wanakua wamelelewa maisha ya kudekezwa hawajui maisha na challenges zake ukute hadi kuoa walikua wanabembelezwa lini wataoa......
 
Anadhani kila mtu alianza kukulana akiwa na miaka 12 kama yeye
 
mi sijawahi kuwa hvo watu kama wanakua wamelelewa maisha ya kudekezwa hawajui maisha na challenges zake ukute hadi kuoa walikua wanabembelezwa lini wataoa......
Hapo umesema kweli tupu mkuu na hii huwa ni sababu pia.
 
Jamani mbona mnatusimanga kiasi hicho wadada 30+ hv tumewakosea nini? Sawa huwezi kumwoa si ukaoe hao 20+ maneno na kashfa zote za nini hizo? Hebu jiheshimuni bana. Humo humo kwny 30+ kuna dada zenu, shangazi zenu, wadogo zenu nao wanahaha kutafuta ndoa, na sio kila 30+ ni screpa, wengine wamejitunza, ila hawakupata hao wanaume waoaji.. Acheni masimango bana mfyuuu
 
dongo limewapata, wanakuja kwa kasi na povu la kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…