Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama watu wanakuwa na "control numbers" zao, inashindikanaje kwenye hizo cards!!??[emoji1787]
Huoni kama kunazibwa mianya ya wizi ?
Cumamae afrika pagumu sana trumo hakukosea ile sentensi yakeHapo kasaini posho yake kama 2M ya kupiga domo dak 20
Mwarabu tuliyeambiwa anakuja haji tena?Tamthilia mpya mjinii, Watazamajii mpoooo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo liko wazi .unapokuwa na mifumo ya kielectronic unapunguza resilmali wwtu wasio hitsjikia mfano mtu wa kuchana ticket.lazima watahujum tuwasije kufanya sabotage kwenye mfumo wa kadi kama wakati ule wa matumizi ya kadi na scanner za tickets.
Miradi ikiendeshwa kwa usimamizi wa Serikali haina tija kwakuwa hakuna watu wenye weledi na dhamira thabiti katika utendaji wa majukumu yao ,badala yake ni kuendekeza ubinafsi ambao matokeo yake ni kufuja Mali na kujilimbikizia kipato.
Wapewe watu binafsi uone mabasi ya mwendokasi yatakavyoboreshwa na kutoa huduma nzuri kwa wananchi.
Hata huu mradi wa treni ya mwendokasi ikiwa Serikali watajiroga kishupaza vichwa kuwa eti wataendesha chini ya Serikali hautodumu muda mrefu utakufa kifo cha panzi