Bila kadi sasa hupandi Mwendokasi. Waziri Mchengerwa awataka DART kutoa fursa Kwa Watanzania kuwekeza kwenye Mwendokasi

Bila kadi sasa hupandi Mwendokasi. Waziri Mchengerwa awataka DART kutoa fursa Kwa Watanzania kuwekeza kwenye Mwendokasi

Waruhusu watu walete magari yao binafsi wao wachukue kodi ya kutumia miundombinu
 
Hawachelewi kuuhujumu hup mfumo ili warudishe tena tikiti za karatasi ili waendeleze upigaji wao.
 
Nikikumbuka asubuhi napanda mwendokasi kwenda posta naishiwa nguvu!
 
Wanazindua kadi badala ya kuongeza magari..yaan sahivi mwendokasi ndo umekuwa usafiri mbaya sijawahi ona
 
Mchengelwa nae hopeless kabisa baada ya kutoa maelekezo yeye analaumu tuna viongozi Hopeless kabisa
 
Kadi zinazotumika kwenye kuingia viwanja vya mpira zingetumika hizo hizo.
Mbona Kigamboni wamewwza
 
Ndugu zetu wa kimara kupanga mstari kupo pale pale 😅😅
 
wasije kufanya sabotage kwenye mfumo wa kadi kama wakati ule wa matumizi ya kadi na scanner za tickets.
Hilo liko wazi .unapokuwa na mifumo ya kielectronic unapunguza resilmali wwtu wasio hitsjikia mfano mtu wa kuchana ticket.lazima watahujum tu
 
Wafute huyu mdudu anaitwa express ndiyo chanzo Cha malalamiko yote hayo.Jiji Lina watu wengi Sana na Kila dakika abiria mmoja anaingia kituo Cha mwendo kasi. Pia madereva waeleweshwe ili wajue wanafanya nini kwenye jamii
 
Miradi ikiendeshwa kwa usimamizi wa Serikali haina tija kwakuwa hakuna watu wenye weledi na dhamira thabiti katika utendaji wa majukumu yao ,badala yake ni kuendekeza ubinafsi ambao matokeo yake ni kufuja Mali na kujilimbikizia kipato.

Wapewe watu binafsi uone mabasi ya mwendokasi yatakavyoboreshwa na kutoa huduma nzuri kwa wananchi.

Hata huu mradi wa treni ya mwendokasi ikiwa Serikali watajiroga kishupaza vichwa kuwa eti wataendesha chini ya Serikali hautodumu muda mrefu utakufa kifo cha panzi

Mbona ulishaanza kufa mapema, Imagine mtu anasafiri dar hadi dodoma kwa buku tu!
 
Safi sana UDART kuzindua card, taratibu mradi unapendeza tunasogelea namna Ulaya wanaendesha mradi wa mwendokasi kwa mafanikio makubwa.

Kifuatacho sasa ni UDART au mwekezaji mpya kununua mabasi ya kutosha aina ya MAN kama yale ya Ulaya roho ya paka chuma tupu hata ujaze vipi yanamudu sio yale maboksi ya kichina aina ya Golden Dragon ya injini nyuma tripu moja gereji trip ingine shamba. Kila mahali yanazimika ovyo. Watanzania ni wakati sasa tuache ushamba na ujinga wa kupenda vitu vya bei chee tuige wazungu kuvunja kabati na kununua vitu vilivyo bora.

Pia UDART waweka ratiba online kwenye APP yao ioneshe basi gani linapita saa ngapi kituo gani kama ilivyo Ulaya hii itapunguza uharibifu wa mabasi kwa kujaza abiria kupita kiasi kila wakati. Kila mtu atachagua muda anaotaka kwenda kupanda basi, asubuhi na jioni ndo huwekwa mabasi mengi.
 
Back
Top Bottom