Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Kule kuna katekisimu na mithale ya waumini pamoja na Agano jipya, tena halisomwi kivilekanisa kama linazuia watu kusoma biblia, na waliosoma wakaona tofauti wakahoji, waliuawa .
soma hata historia ya Martin Luther uone alivyoteswa kabla ya kutengwa.
utasemaje sasa
Vitabu vya Dini kama Torati haviifadhiwi maktaba kama unavyofikiri, bali vinaifadhiwa kwenye mioyo ya watu na kurishishana kizazi na kizazi, kama inavyoifafhiwa Quruani takatifuWakatoliki hawakuwepo
Ila Wakatoliki ndo waliokueleza kuwa Musa aliandika Torati.
Bila Wakatoliki usingeijua hiyo Torati.
Labda ungeijua kupitia dini nyingine na si Ukristo. Dini nyingine zina Torati lkn inatofautiana na ya kwenye biblia iliyokusanywa na Wakatoliki walioamua Vitabu vya kuingiza kwenye biblia na vingine kuviacha.
Mitume gani? tueleweshehuu ndio ukweli na itabaki kuwa hivyo
Kanisa katoliki ni Kanisa la mitume kwa hapa duniani halimilikiwi na mtu yeyote kama yalivyo madheheu mengine na hapo ndipo panapoleta utofauti mkubwa sana.
Aisee hili kwangu jipyaVitabu vya Dini kama Torati haviifadhiwi maktaba kama unavyofikiri, bali vinaifadhiwa kwenye mioyo ya watu na kurishishana kizazi na kizazi, kama inavyoifafhiwa Quruani takatifu
UislamuKwani Yesu alikuwa dini gani?
Yaani iko hivi kusoma kwake au kujifunza kwake inabidi uikremu, yaani uimeze, mwanzo mpaka mwishwo, nukta hadi kituo, kwa hiyo kama leo zitakusanywa na kuchomwa Quruani zote hakutakuwa na hasara, sababu watu wamehifadhi miyooni mwaoAisee hili kwangu jipya
Kwaiyo biblia ama quaran hazijahifadhiwa kwa maandishi bali mioyoni mwa watu.
Asante kwa kunifundisha hili.
SwadataUislamu
Wewe unayejua historia hebu Tupe ushahidi wa hii statement yakokajis
Hizo zote zimekopi mambo ya wayahudi hakuna mwenye hati miliki hapo,,,,,......tena uislam unaweza kua na historia ya uhakika zaidi ya ukristo huu wa warumi maana wayahudi na waarabu waliishi pamoja kwa miaka mingi sana kuliko mzungu alivyoishi na myahudi......na huu ukristo wa wamagharibi upo tofauti sana na ule ukristo asilia wa jamii za pande ile............ukristo ambao kidogo umebaki na chembechembe za kale ni orthodox hasa wale oriental ila huu wa wamagharibi wazungu wameuchakachua vya kutosha,,,,.....wakristo wa zamani walikua wanasujudu pia kama waislam na pia watu wote ndani ya eneo la kuabudu walikua wanatizama upande wa altare hata waongoza ibada walikua wanageukia upande wa altare na sio kama siku hizi muongoza ibada anatizamana na waumini,,,,,,hizo tamaduni zote ukiangalia zilikua za jamii za watu wa mashariki ya kati, wayahudi wakiwemo..................Na orthodox wanawaita wakatoliki wakirumi na makanisa yote yaliyotokea kwao heretics( wanaeneza mafundisho ya uongo)
HujakoseaKiufupi hao orthodox ni kanisa la Kirumi la mashariki huko Greece ,Russia nk ,na lilitengenezwa baada ya ule utengano wa Roman empire ya magharibi na mashariki ,yaani East Roman empire Chini ya emperor Justinian ambayo ilikuwa imebase kwenye dola za mashariki kama Syria ,Jerusalem , Jordan , Constantinople (uturuki ya leo ) ,Lebon nk na Western Roman empire / Dola ya Kirumi ya magharibi ambayo tunaongeza western Europe yote la leo huko France ,Germany ,Austria , Spain NK
Hiyo orthodox wanaamini wao ndio wanaendeleza mafundisho ya asili ya kikiristo na hii western Roman church ambalo ndio kanisa catholic la leo , wanaliona kama kanisa corrupt na lisilofuata misingi ya kikiristo na lenye uovu ndani yake
Muhammad alitengenezwa na Waraqah ndugu yangu
Muhammad alitengenezwa na Waraqah ndugu yangu
Na ukristo umeiba mambo ya kemetMuhammad alitengenezwa na Waraqah ndugu yangu
Nimepekua Bible mwanzo mwisho sijaona huo mstari wa ku support hoja yako.Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Bila Kanisa Katoliki:
Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi Mkuu wa Ukristo. Kanisa Katoliki ndiye Msemaji Mkuu wa Ukiristo. Ili kupambana na kuufuta Ukiristo Duniani lazima kwanza yule adui apambane & kuushinda Ukatoliki. Mungu libariki Kanisa Katoliki.
- Ukristo usingeenea Duniani
- Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa
- Ukristo usingeheshimika
- UKRISTO ungefutika na dini ile nyingine ingetawala
Karibuni tujadili kwa hoja
NB: Lugha zisizo na staha hazikubaliki na ikibidi Uzi huu utafutwa
Soma hoja iliyowasilishwa kwa umakini na kisha ndiyo uchangie
Moderator nikuombe tafadhali usiunganishe wala kuufuta Uzi
Ndugu yangu Wakiristo wote hamjamboni nyote?
Niwaeleze ukweli kuwa bila Kanisa Katoliki Wakiristo Duniani tusingalikuwepo na kama tungalikuwepo tungeishi maisha magumu ya mateso na manyanyaso ya kushindwa kulitaja Kwa uhuru jina la Kristo
Tunajivunia Ukiristo kwakuwa Kanisa Katoliki lipo makini na thabiti
Tunawabeza wakatoliki kwakuwa Kanisa Katoliki lipo hai na lina nguvu
Ila tambueni kuwa tunaye adui wetu Mkuu hapa duniani anayetamani kutuangamiza kikwazo ni Kanisa Katoliki
Akiamua kutupiga itabidi aanze na Kanisa Katoliki kisha huku kwingineko kutakuwa ni kwepesi mno!
Kanisa Katoliki ndiyo Msemaji, mtetezi na mlinzi Mkuu wa Wakiristo wote duniani dhidi ya yule ADUI!
Niwatakie Dominika njema
Tuendelee kufurahia uhuru wetu chini ya ulinzi thabiti wa taasisi ya Kanisa takatifu la Mitume