Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

hili kanisa lilijaribu kufuta ukristo likashindwa, liliua watu mamilioni kwa mamilioni
miaka fulani hapo kati papa aliomba radhi
wadanganye wasiojua historia
kuna watu walipata shida sana kusimamisha ukristo, akina Martin Luther wa kkkt
Ukatoliki ndio Ukristo wenyewe sasa
 
Wa RC sio Wakristo halisi hiyo ni mila za asili za Kirumi.
Wanachanganya imani ya kikristo na mila za kirumi.
 
Martin Luther ni mkatoliki na ataendelea kuhesabika kama Mkatoliki, hao wanaojiita walutheri ni wakatoliki waliochangamka.
 
Ukishindana na kanisa Katoliki ni sawa na mtu kupigisha mguu kwenye jiwe, mguu utaumia na jiwe litabaki lilivyo.
Kanisa lilikua linatawala ulaya,kwa mkono wa chuma,wakalipindua na kuweka serikali za kisekula zilizopo mpaka Leo,hawana maajabu zaidi ya kunyonya wantonge kupitia fungu la kumi,sadaka na kuwauzia huduma kwa Bei Kali,wao wananona waamini wananyauka tu
 
Catholic ilizaaje Uislam?
Mke wa kwanza wa Bwana Muhammad alikuwa mkristu mkatoliki, kupitia huyu mwanamke Muhammad akawa anachota baadhi ya vifungu vya BIBLIA TAKATIFU kwa maelekezo ya kitaalamu ya Bi khadija mkatoliki na kuja kuvijazia kwenye kitabu cha kuran, akaongezea na hadithi za hapa na pale ndio Kuran ikapatikana.
 
Mfano mdogo!! Leo Kanisa Katoliki likatuhusu ushoga, basi ujue Dunia nzima ushoga utakuwa ruksa
Kuna hivi vijikanisa kama Anglican , wana hadi maaskofu mashoga lakini hakuna anayejali kwa sababu ni kijikanisa kisicho na ushawishi duniani.
 
Mkuu ebu punguza ufala basi unaweza kutupa ushahidi wa haya unayo yasema?
 
Lakini ndiyo waasisi wa ukiristo ikiwemo sikuu zote ambazo kimsingi ni za wapagani wa roma
ukristo umepitia changamoto nyingi sana.
Kwa wasiojua historia ya kanisa ni ngumu kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…