Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Kwani mkuu ukisema utaachwa bila kukazia na lazima unapungukiwa nini!Lazima uachwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mkuu ukisema utaachwa bila kukazia na lazima unapungukiwa nini!Lazima uachwe
Sio shida zetu🤣🤣🤣🤣Watakuja kutuita majina mabaya, ila ukweli pesa ni muhimu azitoe. 🤣
Hilo linavumilika kabisa🤣🤣Utavumiliwa
wanajifanya wabahiriWatakuja kutuita majina mabaya, ila ukweli pesa ni muhimu azitoe. 🤣
KWenye mapenzi ya kweli hali ya kiuchumi sio kitu cha kishikana nacho.Ikiwa hutokuwa mwaminifu kwa Mke wako,
Kuna uwezekano mdogo atakuacha.
Ikiwa utaonyesha uaminifu kwa mke wako,
Lakini utashindwa kumhudumia kiuchumi,
Kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha.
Wanawake wengi wanaweza kusamehe ukosefu wa uaminifu.
Wanawake wachache wanaweza kuvumilia hali ya kiuchumi.
Nini mtazamo wako katika hili?
Hii comment yako inabid itengenezewe bango pale daraja la kijaz kila mtu aisomeUliona wapi malaya akadumu kwenye mahusiano bila ya kibunda cha mwanamume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaausitake kumla usiemhudumia [emoji23][emoji23][emoji23]
utakula ulipo peleka mboga
Sasa kwann ulizaa na mdogo ake? Ndo ulifeli hapo.Labda sijui mnatoaga wapi hao wanawake.mm nkimuelewa mwanamke nakuwa nae wazi kipindi sina naonesha sasa ole wake nizipate napiga bata la kufa mtu kwan iphone 15 sh ngap.tatizo lenu wanashindwa waelewa mkipata mnaficha mkikosa ndo mnataka mvumiliwe.
Mfano nkiwa nimemaliza chuo nikawa na kademu ka chuo ukwel tulikuwa hatuendan mm mtoto wa mjini yeye ana maadili ya kinyakyusa full dini na kushinda kwa mitume na manabii..
Kumaliza mhuni nkawa sina daddy kama wengine nkasema walahi meru kijijin sirudi.
Yeye kapata kazi benk mhuni nkawa kula kulala mwaka hadi hela ya bia anantoa.asee siku nimebutua kibunda nilazama kwa madalali wa mnazimmoja miaka hiyo nkavuta rav 4 nkampa .
Nkapanga nyumba kubwa na kuhamia nae kama wife.kama sio kumzalisha mdogo wake tungekuwa mbali
Lazima inaonesha msisitizo.Kwani mkuu ukisema utaachwa bila kukazia na lazima unapungukiwa nini!
NDUGU, TUKISEMA KATAA NDOA NI UTUMWA.Ikiwa hutokuwa mwaminifu kwa Mke wako,
Kuna uwezekano mdogo atakuacha.
Ikiwa utaonyesha uaminifu kwa mke wako,
Lakini utashindwa kumhudumia kiuchumi,
Kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha.
Wanawake wengi wanaweza kusamehe ukosefu wa uaminifu.
Wanawake wachache wanaweza kuvumilia hali ya kiuchumi.
Nini mtazamo wako katika hili?
Kwani wanawake huwa wakiingia kwenye mahusiano hupoteza viungo vyao vya mwili na akili? Kwann wahudumiwe??Ikiwa utaonyesha uaminifu kwa mke wako,
Lakini utashindwa kumhudumia kiuchumi,
Kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha.
hahhahahahaha duuKwani wanawake huwa wakiingia kwenye mahusiano hupoteza viungo vyao vya mwili na akili? Kwann wahudumiwe??