Bila kumuhudumia mwanamke unaachwa?

Bila kumuhudumia mwanamke unaachwa?

Ikiwa hutokuwa mwaminifu kwa Mke wako,
Kuna uwezekano mdogo atakuacha.

Ikiwa utaonyesha uaminifu kwa mke wako,
Lakini utashindwa kumhudumia kiuchumi,
Kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha.

Wanawake wengi wanaweza kusamehe ukosefu wa uaminifu.
Wanawake wachache wanaweza kuvumilia hali ya kiuchumi.

Nini mtazamo wako katika hili?
KWenye mapenzi ya kweli hali ya kiuchumi sio kitu cha kishikana nacho.

Ni malaya tu na Gold digers ndio wanaochana na waume au wapemzi zao kwa sababu za kiuchumi. Ndio maana kwenye ndoa za kikatoliki ikibainika alikuja kwa sababu za kiuchumi na ikibaikika ndio kilichokuwa sababu ya ndoa. Hiyo ndoa ni batili.

Hivyo wanawake wanaowakimbia waume/wapenzi wao kwa sababu za kiuchumi ni malaya. Kwa sababu mahusiano yao ni ya pesa ( economic motive).
 
Nasi tumechoka kubembeleza, wasepe tu, maisha yataendelea na nyape hazitakosekana muda wote
 
Ila kiukweli kama kibunda hakitoshelezi utahudumia vipi familia?? Kibunda kipewe maua yake tu
 
Labda sijui mnatoaga wapi hao wanawake.mm nkimuelewa mwanamke nakuwa nae wazi kipindi sina naonesha sasa ole wake nizipate napiga bata la kufa mtu kwan iphone 15 sh ngap.tatizo lenu wanashindwa waelewa mkipata mnaficha mkikosa ndo mnataka mvumiliwe.
Mfano nkiwa nimemaliza chuo nikawa na kademu ka chuo ukwel tulikuwa hatuendan mm mtoto wa mjini yeye ana maadili ya kinyakyusa full dini na kushinda kwa mitume na manabii..
Kumaliza mhuni nkawa sina daddy kama wengine nkasema walahi meru kijijin sirudi.
Yeye kapata kazi benk mhuni nkawa kula kulala mwaka hadi hela ya bia anantoa.asee siku nimebutua kibunda nilazama kwa madalali wa mnazimmoja miaka hiyo nkavuta rav 4 nkampa .
Nkapanga nyumba kubwa na kuhamia nae kama wife.kama sio kumzalisha mdogo wake tungekuwa mbali
 
Sasa kwann ulizaa na mdogo ake? Ndo ulifeli hapo.
 
Hakika ukishindwa kuprovide lazma utemwe na heshima hupungua.
 
Ikiwa hutokuwa mwaminifu kwa Mke wako,
Kuna uwezekano mdogo atakuacha.

Ikiwa utaonyesha uaminifu kwa mke wako,
Lakini utashindwa kumhudumia kiuchumi,
Kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha.

Wanawake wengi wanaweza kusamehe ukosefu wa uaminifu.
Wanawake wachache wanaweza kuvumilia hali ya kiuchumi.

Nini mtazamo wako katika hili?
NDUGU, TUKISEMA KATAA NDOA NI UTUMWA.
MSIONE KAMA TUMECHANGANYIKIWA, TUNAJIELEWA, TUMEJIPATA.
KILA MTU AKIMBIE MBIO ZAKE!
 
Ikiwa utaonyesha uaminifu kwa mke wako,
Lakini utashindwa kumhudumia kiuchumi,
Kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha.
Kwani wanawake huwa wakiingia kwenye mahusiano hupoteza viungo vyao vya mwili na akili? Kwann wahudumiwe??
 
FB_IMG_17089336439417095.jpg
 
Back
Top Bottom