Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni mwenye kuamini nguvu za giza na mshiriki ushirikina ndie pekee wenye hulka kama huyo jamaa mtoa hoja 🐒Iyo nguvu ya kutokumkubali mtu usie mjua wala hamjuani unaitoa wap
Uchizi ndo unanzaga ivyo
Yan ni sawa sawa na kumchukia mtu usiemjua au alokuzodi kiuwezo uwo ni uchawi na akuna kosa km kijana kua mchawi
Naona leo Ban zinanitafuta kwa lazima, Mungu nipe uvumilivubinafsi nakupenda mno gentleman, pamoja na wadau wengine wote muhimu sana wa humu JF, kwenye majukwaa mbalimbali hususani hili ambalo umetimia kutoa hoja na dukuduku lako la moyoni dhidi yangu na wengine ulowatag..
umechukua uamuzi muhimu sana wa kujitibu kijiba cha Roho, kongole sana aise, I hope utapata relief ya kipekee sana leo.....
ile ya muhimu zaidi ni kuheshimu haki na uhuru wa mawazo, maoni na mtazamo wa wengine. Na njia pekee kumudu mambo haya ni kuvumiliana, kustahimiliana na kua na subra ..
ni vizur kua na uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya dhana ya kukukubaliana kutokukubaliana...
hata hivyo ile jamii yako ya mihemko, ghadhabu na saa zingine waparomosha matusi hawajakuelekeza namna ya kuignore wanaokukwaza, ili usibabaike nao zaidi?🐒
hata hivyo ukifanya hivyo utajinyima na kujikosesha elimu, uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya masuala mbalimbali, Lakini pia sio mbaya na sio lazima ufahamu kila kitu humu JF...
by the way,
amani, utulivu na utangamano miongoni mwa waTanzania, bila kujali dini, rangi, ukabila wala mirengo ya kisiasa ni matokeo ya uwekezaji mkubwa wa serikali sikivu ya CCM Dr Samia Suluhu Hassan, katika kuhakikisha tunaipenda nchi yetu na tunaishi kwa upendo, umoja na mshikamano...
Tutaendelea kusema ukweli daima upende, usipende 🐒
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake 🐒
Mwanaume kuwa chawa ni Laana ila bado hujachelewa, Man Up.!!binafsi nakupenda mno gentleman, pamoja na wadau wengine wote muhimu sana wa humu JF, kwenye majukwaa mbalimbali hususani hili ambalo umetimia kutoa hoja na dukuduku lako la moyoni dhidi yangu na wengine ulowatag..
umechukua uamuzi muhimu sana wa kujitibu kijiba cha Roho, kongole sana aise, I hope utapata relief ya kipekee sana leo.....
ile ya muhimu zaidi ni kuheshimu haki na uhuru wa mawazo, maoni na mtazamo wa wengine. Na njia pekee kumudu mambo haya ni kuvumiliana, kustahimiliana na kua na subra ..
ni vizur kua na uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya dhana ya kukukubaliana kutokukubaliana...
hata hivyo ile jamii yako ya mihemko, ghadhabu na saa zingine waparomosha matusi hawajakuelekeza namna ya kuignore wanaokukwaza, ili usibabaike nao zaidi?🐒
hata hivyo ukifanya hivyo utajinyima na kujikosesha elimu, uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya masuala mbalimbali, Lakini pia sio mbaya na sio lazima ufahamu kila kitu humu JF...
by the way,
amani, utulivu na utangamano miongoni mwa waTanzania, bila kujali dini, rangi, ukabila wala mirengo ya kisiasa ni matokeo ya uwekezaji mkubwa wa serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi wetu shupavu, Dr Samia Suluhu Hassan, katika kuhakikisha tunaipenda nchi yetu na tunaishi kwa upendo, umoja na mshikamano...
Tutaendelea kusema ukweli daima upende, usipende 🐒
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake 🐒
Ukichukiwa usichukie nisehemu pia ya maisha tu , mbona binafsi nakukubali na mada zako za hivyo hivyo tu, ila poa tu, mr 🐒ni mwenye kuamini nguvu za giza na mshiriki ushirikina ndie pekee wenye hulka kama huyo jamaa mtoa hoja 🐒
Wewe ni hasara kwa Taifa, ungekua Kenya saiv wale vijana wenye IQ kubwa kukuzidi wangeshakutungua huo mkia akili ikukae sawa, una bahati sikujuiIpo siku utabubujikwa na machozi yasiyokatika ya Majuto ya kwanini ulinichukia mpaka kuniandika humu jukwaani kuonyesha chuki yako kwangu.Hii ni kwa kuwa mimi ni msema kweli Daima. wapo wengine walikuwa kama wewe lakini Mwisho wa siku baada ya kujuwa UKWELI walilia kilio kikali sana cha uchungu mpaka nguo zao zikaloa kwa machozi utafikiri walikuwa wanaoga na nguo vichakani
sio ban,Naona leo Ban zinanitafuta kwa lazima, Mungu nipe uvumilivu
Kama huwezi kuweka chuki kwa mtu usiemjua basi huwezi kumkubali mtu usiemjua vilevile. I guess huzamagi huko pm kusumbua dada zetuHapa huwa tunapishana mitazamo tu na kila mtu ana kichwa chake jinsi anavoona huwez weka chuki kwa mtu usiyemjua
binafsi napendwa kuchukiwa kwasabb sintasahaulika hata nikitangulia mbele ya haki 🐒Ukichukiwa usichukie nisehemu pia ya maisha tu , mbona binafsi nakukubali na mada zako za hivyo hivyo tu, ila poa tu, mr 🐒
Maisha n haya haya n kurelax na enjoy ukikaza fuvu kila wakat n kujitesa social media huku n kufurahKama huwezi kuweka chuki kwa mtu usiemjua basi huwezi kumkubali mtu usiemjua vilevile. I guess huzamagi huko pm kusumbua dada zetu
kwamba wewe ni mwanamke au? mbona unataja taja wanaume 🐒Mwanaume kuwa chawa ni Laana ila bado hujachelewa, Man Up.!!
Nyie ndo wale wanaume mnaowaonea gele watoto wa kike alioimba Harmonize
Uongozi ni jalala kama utafanya mambo ya ovyo na kula mlungula ,na kukanyaga haki za wengine ,ila kama utasimama nafasi yako kama sauti ya wananchi , uongozi ni tunu kubwa sana na utakumbukwa kwa mema daima 🐒 .binafsi napendwa kuchukiwa kwasabb sintasahaulika hata nikitangulia mbele ya haki 🐒
hata hivyo,
siwezi mchukia mwana familia yoyote wa JF, platform ambayo naipenda, naiheshimu na kuikubali sana kwasabb yoyote ile. iwe nimetukanwa au kuitwa majina mabaya....
By the way uongozi ni jalala. Na kwahivyo mazuri na ya hovyo Lazima uwe na uwezo wa kuyabeba 🐒
Eti ni kweli mama alisema yeye ameziba masikio akatoa mfano wa chura kiziwi.Ipo siku utabubujikwa na machozi yasiyokatika ya Majuto ya kwanini ulinichukia mpaka kuniandika humu jukwaani kuonyesha chuki yako kwangu.Hii ni kwa kuwa mimi ni msema kweli Daima. wapo wengine walikuwa kama wewe lakini Mwisho wa siku baada ya kujuwa UKWELI walilia kilio kikali sana cha uchungu mpaka nguo zao zikaloa kwa machozi utafikiri walikuwa wanaoga na nguo vichakani
Member yeyote mwenye mrengo wa chawa na wala kwa urefu wa kamba😩Ughonile..
Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.
Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.