Bila kupepesa macho, Ni member gani haumkubali humu JamiiForums

Ughonile..

Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.

Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
wewe
 
heeee kuna kutokukubaliana tena 😂
.
FB_IMG_1723284350115.jpg
 
Binafsi namkubali sana huyu Genttleman Tlaatlaah .. Mi naamini Watu tunatofautiana Kifikra na Mitizamo...

Utofauti unaanzia kwenye Taharifa Tunazozipata au kuzifuatilia sana.. yaweza kua tulisikia pahala, au kuzisoma au pengine kuona kwa Macho yetu..

Kwahiyo kila mtu anatoa alichokiingiza sababu "Limjaalo mtu ndo limtokalo" .. Watu wawili hamuwezi mkawa mnataharifa zinazofanana, Kama zitafanana ni kidoga sana... Kwahiyo kupishana lazima kuwepo..

Tuelekezane kwasiri kama haiwezekani Tusameheane...
Tusilaumiane wala kuchukiana kwasababu kila mtu huzungumza kile moyo wake umemtuma, Wengine hutafuta tu Attention, Wengine hawana Taharifa sahihi, Wengine msongo wa mawazo, Hasira, Huzuni nk...

Tlaatlaah MFALME WETU MwashambwaBurton don't hate each other..
🤣👊👊👊💪🤝🙏
 
Faaki you
 
Ughonile..

Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.

Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Member chawa wote.
 
Back
Top Bottom