Bila kupepesa macho, Ni member gani haumkubali humu JamiiForums

Bila kupepesa macho, Ni member gani haumkubali humu JamiiForums

Ipo siku utabubujikwa na machozi yasiyokatika ya Majuto ya kwanini ulinichukia mpaka kuniandika humu jukwaani kuonyesha chuki yako kwangu.Hii ni kwa kuwa mimi ni msema kweli Daima. wapo wengine walikuwa kama wewe lakini Mwisho wa siku baada ya kujuwa UKWELI walilia kilio kikali sana cha uchungu mpaka nguo zao zikaloa kwa machozi utafikiri walikuwa wanaoga na nguo vichakani
🤣🤣🤣
 
Najua pesa huna or else una pesa za mawazo maana machawa mpaka muwapetipeti mabasha zenu ndo mpate chochote kitu. Man up.!!
unaelewa gentleman,
pesa huwa hazitoshagi na halafu ni za kutafuta kwa bidii na maarifa sana, hii ya mishahara na posho ni kitu kidogo sana na motorcar inakunywa na kufakamia wese nayo ina kiu kama mnyama 🐒

ni Muhimu kua na matumizi sahihi na ya kistaarabu ya pesa na mali tulizojaaliwa na Mungu, isije kusababisha majuto baadae..
 
Na hivi tunaelekea uchaguzi huu Uzi utafufuka, sijui Nani yule Etwege ajiandae
 
Ipo siku utabubujikwa na machozi yasiyokatika ya Majuto ya kwanini ulinichukia mpaka kuniandika humu jukwaani kuonyesha chuki yako kwangu.Hii ni kwa kuwa mimi ni msema kweli Daima. wapo wengine walikuwa kama wewe lakini Mwisho wa siku baada ya kujuwa UKWELI walilia kilio kikali sana cha uchungu mpaka nguo zao zikaloa kwa machozi utafikiri walikuwa wanaoga na nguo vichakani
Issue hapo ni kububujikwa
 
Ughonile..

Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.

Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Machawa wa chama
 
Nayachukia mazezeta yote ya LUMUMBA buku7 yanakula Kodi zetu bila jasho kisa kutukana upinzani yote nyoko
 
Back
Top Bottom