Bila kupepesa macho, Ni member gani haumkubali humu JamiiForums

Great thinker,Game changer, charismatic fellow,intellectual and entertainer.....sijaona mkimtaja.

Niwazi kuwa mnamkubali sana na mnafuatilia nyuzi zake.
 
Akikusaidia leta ushahidi wa screenshots nimrefund 200k
Asiponisaidia hapo ndo nitaamini yanayosemwa kuhusu CCM na viongozi wao... Kwamba ni majizi na hayana huruma ya dhati na wananchi, huwaga ni maigizo tu tuyape kura yazidi kula maisha na matoto yao
 
Akikusaidia leta ushahidi wa screenshots nimrefund 200k
Tlaatlaah mheshimiwa hebu fanya kweli tuishinde hii kejeli na dharau juu yako mheshimiwa... Kwani ukinisaidia kalaki unapungukiwa nini tajiri?!

Mabilioni yote yale yanayosoma kwenye ma-akaunti yenu, unaamua kweli kunichinjia baharini mimi muomba mungu jaman?!😭😭😭

Hebu vunja hii kauli ya ndugu mfalme wetu hapa... Mheshimiwa tafadhali sana! Chezesha kamuamala tafadhali watoto wakale ubwabwa baba 😂🙏
 
huku nilishaga toka kitambo sana mbona. nilikua sina majukumu mengi halafu pesa mingi kwa pocket mpaka sielewi nifanyie nini zipungue,

Lakini sasa kwa mfano huu mdogo tu, nina ekari mia4 sijamaliza kuvuna hata nusu, familia, watoto shule, wananchi kila moja ana shida yake, halafu niinge kwenye mtego huu wa sadaka ya sifa ya ujana ya kujimwambafai, Kweli mimi?🐒

kwamba ili kusudi nionekane na watu kwamba nina pesa na nimetoa chap maramoja chap kuamua kesi ya wanaobishana kwamba ninazo au sina? Zamani nilikua fake sikukubali kushindwa ningeenda hadi kukopa nifute hiyo kesi na halafu pia nisionekane wa maana vile vile 🐒
 
Basi mheshimiwa naomba hata unialike ofisini kwako nipate Zungumza nawe mawili matatu 😭
 
umekwama kwenye hoja, huku kwenye shekeli si ni sawa na mihemko tu 🐒

mambo ya ngawira haitakagi pupa wala kujimwambafai ati sijui nani ajue kwamba uko njema,

by the way ili iweje?
ni matumizi mabaya ya kipato, na kwa wengine inachochea rushwa na madeni 🐒
Najua pesa huna or else una pesa za mawazo maana machawa mpaka muwapetipeti mabasha zenu ndo mpate chochote kitu. Man up.!!
 
Basi mheshimiwa naomba hata unialike ofisini kwako nipate Zungumza nawe mawili matatu 😭
kwa Neema na Baraka za Mungu, baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa nitawalika mahali huku jimboni au kadiri itakavyoonekana inafaa, pamoja na huyo muungwana mtoa hoja, ili kusudi tuone namna gani tunaweza kupangana vizuri na kufanya kazi pamoja hapo mbeleni kuelekea 2025🐒
 
Iwe kweli basi mheshimiwa... Ntakupatia barua pepe yangu kama hutojali baba 😁👍 MFALME WETU
 
Back
Top Bottom