Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Wiki ijayo! Kwanza umejuaje kuwa niko chuo?๐๐Dogo unazingua, unamaliza lini UE?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki ijayo! Kwanza umejuaje kuwa niko chuo?๐๐Dogo unazingua, unamaliza lini UE?
Kumbe unasikiaga raha kunichokoza?? ๐น๐นBasi tu nikuchokoze ๐๐
๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉUghonile..
Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.
Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Eeh sio ww tu napenda kuchokoza wengi kama Nuzulati hii ban ni mimi nimemsababishia basi nasikia raha mwenyewe ๐ ๐Kumbe unasikiaga raha kunichokoza?? ๐น๐น
Si muongee whatsapp shem au kuna lingine personal!? ๐คฃยฎ๏ธยฎ๏ธKumbe wewe ndo uliyemsababishia ban wifi yangu Nuzulati ๐
Umeniudhi ujue kuna vitu vya maana tulikuwa tunafanya.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Ipo siku utabubujikwa na machozi yasiyokatika ya Majuto ya kwanini ulinichukia mpaka kuniandika humu jukwaani kuonyesha chuki yako kwangu.Hii ni kwa kuwa mimi ni msema kweli Daima. wapo wengine walikuwa kama wewe lakini Mwisho wa siku baada ya kujuwa UKWELI walilia kilio kikali sana cha uchungu mpaka nguo zao zikaloa kwa machozi utafikiri walikuwa wanaoga na nguo vichakani
Una mawazo ya kimaskini sanaaaaUghonile..
Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.
Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Naunga mkono hoja ๐คฃ๐ Cc ephen_ukiwa na adui jf jua umeanza kuwa chizi!
AiseeUghonile..
Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.
Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Faki you na mawazo yako ya kitajiriUna mawazo ya kimaskini sanaaaa
Usinikumbushe, Faizafixy.MamaSamia2025 , FaizaFixy Ila hawa watu basi tuu.
Baba! Una hoja usikilizweKuna ID sikubaliani na maoni yao hasa huko siasani, lakini sijawa-ignore maana najua wanafanya hivyo kushibisha matumbo yao na ipo siku watazinduka na kujiona waliokosea.
Kuna ID za huku chitchat yani hadi ignore nimewaweka, walioweka option ya ignore hawakuwa wajinga, some characters japo huzifahamu personally ila michango yao ya hovyo.
Dalili ya kukosa muelekeo wa Maisha ndio hizi Sasa ๐๐Ughonile..
Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.
Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Sawa kabisa...Baba! Una hoja usikilizwe