Bila kupepesa macho, Ni member gani haumkubali humu JamiiForums

Ughonile..

Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.

Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
๐Ÿ’ฉ๐Ÿ’ฉ๐Ÿ’ฉ๐Ÿ’ฉ
 
Ipo siku utabubujikwa na machozi yasiyokatika ya Majuto ya kwanini ulinichukia mpaka kuniandika humu jukwaani kuonyesha chuki yako kwangu.Hii ni kwa kuwa mimi ni msema kweli Daima. wapo wengine walikuwa kama wewe lakini Mwisho wa siku baada ya kujuwa UKWELI walilia kilio kikali sana cha uchungu mpaka nguo zao zikaloa kwa machozi utafikiri walikuwa wanaoga na nguo vichakani
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Kuna ID sikubaliani na maoni yao hasa huko siasani, lakini sijawa-ignore maana najua wanafanya hivyo kushibisha matumbo yao na ipo siku watazinduka na kujiona waliokosea.

Kuna ID za huku chitchat yani hadi ignore nimewaweka, walioweka option ya ignore hawakuwa wajinga, some characters japo huzifahamu personally ila michango yao ya hovyo.
 
Ughonile..

Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.

Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Una mawazo ya kimaskini sanaaaa
 
"tukubali kutokukubaliana"
๐Ÿ‘†
maneno ya wazee hayo wakiwa kwenye vikao vya kusuluisha๐Ÿคฃ
 
Ughonile..

Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.

Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Aisee
 
Kuna ID sikubaliani na maoni yao hasa huko siasani, lakini sijawa-ignore maana najua wanafanya hivyo kushibisha matumbo yao na ipo siku watazinduka na kujiona waliokosea.

Kuna ID za huku chitchat yani hadi ignore nimewaweka, walioweka option ya ignore hawakuwa wajinga, some characters japo huzifahamu personally ila michango yao ya hovyo.
Baba! Una hoja usikilizwe
 
Ughonile..

Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.

Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Dalili ya kukosa muelekeo wa Maisha ndio hizi Sasa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom