huku nilishaga toka kitambo sana mbona. nilikua sina majukumu mengi halafu pesa mingi kwa pocket mpaka sielewi nifanyie nini zipungue,
Lakini sasa kwa mfano huu mdogo tu, nina ekari mia4 sijamaliza kuvuna hata nusu, familia, watoto shule, wananchi kila moja ana shida yake, halafu niinge kwenye mtego huu wa sadaka ya sifa ya ujana ya kujimwambafai, Kweli mimi?🐒
kwamba ili kusudi nionekane na watu kwamba nina pesa na nimetoa chap maramoja chap kuamua kesi ya wanaobishana kwamba ninazo au sina? Zamani nilikua fake sikukubali kushindwa ningeenda hadi kukopa nifute hiyo kesi na halafu pia nisionekane wa maana vile vile 🐒