Bila kupepesa macho, Ni member gani haumkubali humu JamiiForums

Iyo nguvu ya kutokumkubali mtu usie mjua wala hamjuani unaitoa wap
Uchizi ndo unanzaga ivyo
Yan ni sawa sawa na kumchukia mtu usiemjua au alokuzodi kiuwezo uwo ni uchawi na akuna kosa km kijana kua mchawi
ni mwenye kuamini nguvu za giza na mshiriki ushirikina ndie pekee wenye hulka kama huyo jamaa mtoa hoja πŸ’
 
Naona leo Ban zinanitafuta kwa lazima, Mungu nipe uvumilivu
 
Mwanaume kuwa chawa ni Laana ila bado hujachelewa, Man Up.!!

Nyie ndo wale wanaume mnaowaonea gele watoto wa kike alioimba Harmonize
 
Wewe ni hasara kwa Taifa, ungekua Kenya saiv wale vijana wenye IQ kubwa kukuzidi wangeshakutungua huo mkia akili ikukae sawa, una bahati sikujui
 
Naona leo Ban zinanitafuta kwa lazima, Mungu nipe uvumilivu
sio ban,
leo umesahau au hujamuomba Mungu vizuri kabisa, ili kusudi akuonyeshe njia sahahihi na maneno mazuri ya kusema ndio maana una hofu na una matarajio ambayo siyo muhimu...

tunahitaji uendelee kuwepo humu ili kushirikishana mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kulingana na tunavyoona yanaendeshwa vizuri sana na kiongozi wetu makini na mkuu wa nchi, comrade Dr.Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
Hapa huwa tunapishana mitazamo tu na kila mtu ana kichwa chake jinsi anavoona huwez weka chuki kwa mtu usiyemjua
Kama huwezi kuweka chuki kwa mtu usiemjua basi huwezi kumkubali mtu usiemjua vilevile. I guess huzamagi huko pm kusumbua dada zetu
 
Ukichukiwa usichukie nisehemu pia ya maisha tu , mbona binafsi nakukubali na mada zako za hivyo hivyo tu, ila poa tu, mr πŸ’
binafsi napendwa kuchukiwa kwasabb sintasahaulika hata nikitangulia mbele ya haki πŸ’

hata hivyo,
siwezi mchukia mwana familia yoyote wa JF, platform ambayo naipenda, naiheshimu na kuikubali sana kwasabb yoyote ile. iwe nimetukanwa au kuitwa majina mabaya....

By the way uongozi ni jalala. Na kwahivyo mazuri na ya hovyo Lazima uwe na uwezo wa kuyabeba πŸ’
 
Kama huwezi kuweka chuki kwa mtu usiemjua basi huwezi kumkubali mtu usiemjua vilevile. I guess huzamagi huko pm kusumbua dada zetu
Maisha n haya haya n kurelax na enjoy ukikaza fuvu kila wakat n kujitesa social media huku n kufurah
 
Mwanaume kuwa chawa ni Laana ila bado hujachelewa, Man Up.!!

Nyie ndo wale wanaume mnaowaonea gele watoto wa kike alioimba Harmonize
kwamba wewe ni mwanamke au? mbona unataja taja wanaume πŸ’
 
Uongozi ni jalala kama utafanya mambo ya ovyo na kula mlungula ,na kukanyaga haki za wengine ,ila kama utasimama nafasi yako kama sauti ya wananchi , uongozi ni tunu kubwa sana na utakumbukwa kwa mema daima πŸ’ .
 
Eti ni kweli mama alisema yeye ameziba masikio akatoa mfano wa chura kiziwi.
 
Member yeyote mwenye mrengo wa chawa na wala kwa urefu wa kamba😩
 
Amehlo acha nisimuelezee sana Ila ni mzinguaji kichizi kwa wasiomjua ni Mfanyakazi wa JF, someone disclosure is going to ban me for more than six months but fine nipige ban, hizi sio Bangi maana hamchelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…