Nimetumia mafuta ya Rays both colors Red, Yellow, Green n colourless, nimetumia Sabuni Mbuni....nimekunywa juice ya kuwekwa kwenye chupa za soda with yellow colors na chupa zaoshwa tena....nimekula mihogo ya mwamba mmoja anaitwa KaziBure hapo Makumbusho....nimecheza mpira hapo Makumbusho Stand, kulikuwa na Kinyozi wa kutumia kitana hapo Makumbusho chini ya mwembe....nimeangalia Sana movie hapo Makumbusho ofisi za Thithiem.
Mzee Hashimu Rungwe ndo Car dealer at his best hapo Makumbusho...alikuwa na mtoto mkali balaa....gari zake nyingi za kimarekani ZILIKUWA kwenye showroom zake π
What else aaah ok nimelipa nauli sh 50...
Funny thing niliokota remote universal nilizima Sana TV za jirani ππ