InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,176
Nilianza darasa la kwanza mwaka ambao Allen Iverson alikua drafted sixers. Legendary wa crossovers
Mimi sijui nitamaliza F4 lini mana kila mwaka nasoma!Mimi nilimaliza mwaka ambao mitihani ilifutwa tukarudia tena. Wakongwe najua watakuwa wameng'amua...
Kwa upande wako, ulimaliza mwaka gani bila kututajia mwaka?
Mwak ule nililila div2 nzur Sana kijij kisima mm ndio kinara wa matokeoSiku kikwete anaingia rasm madrakani na nilifaulu mtiani ule
Mi nilimaliza mwaka ambao division 1 tulikuwa 4% tuMimi nilimaliza mwaka ambao mitihani ilifutwa tukarudia tena. Wakongwe najua watakuwa wameng'amua...
Kwa upande wako, ulimaliza mwaka gani bila kututajia mwaka?
Dah nakumbuka tuliwala sana madem wa hii shule ya mabinti hapa mtaani kwetu mpaka tukakinai mbususu,Mimi nilimaliza mwaka ambao mitihani ilifutwa tukarudia tena. Wakongwe najua watakuwa wameng'amua...
Kwa upande wako, ulimaliza mwaka gani bila kututajia mwaka?
ule mwaka 😥Mwaka ambao matokeo ya mtihan yalitolewa mara mbili ya kwanza yakafutwa na yakatolewa tena
Nakumbuka mwaka huo kunamshkaj wangu alikuwa na four ya 30 mara ya pili akapata 3 ya 23
Ha ha ha.... Marahaba, Ingawa sipendelei sana kuamkiwa na salamu hizo za kitumwa. 😉Shikamoo. Mwaka 1978
Kumbe ndio maana una mihemko sana ya kidini. Ni mtoto mdogo sana.Mimi nimemaliza mwaka ambao Kombe la Dunia likifanyika Russia Ufaransa akawa bingwa.
Nilimaliza mwaka ule lilipotangazwa Azimio la ZanzibarMimi nilimaliza mwaka ambao mitihani ilifutwa tukarudia tena. Wakongwe najua watakuwa wameng'amua...
Kwa upande wako, ulimaliza mwaka gani bila kututajia mwaka?