Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Wakuu, kama mada inavyojieleza hii chuma kwa sisi ngozi nyeus,i bila kuzivunja amri kumi za Mungu tutaendelea tu kuiona barabarani.#noreformnoelection🇹🇿🇹🇿
🤣🤣Na kwel na ukivimba sana habari za no reform na upo Kidimbwi, hizi chuma utazisikia zikinguma siku ya msiba wako🤔
Gari zuri mno ila nimejaribu kugeuza amri kumi kuna amri nimeona ni ngumu kumeza, nitatafuta namna ingine.Wakuu, kama mada inavyojieleza hii chuma kwa sisi ngozi nyeus,i bila kuzivunja amri kumi za Mungu tutaendelea tu kuiona barabarani.#noreformnoelection🇹🇿🇹🇿
View attachment 3362001
Hilo liko hivyo sema jingineWakuu, kama mada inavyojieleza hii chuma kwa sisi ngozi nyeus,i bila kuzivunja amri kumi za Mungu tutaendelea tu kuiona barabarani.#noreformnoelection🇹🇿🇹🇿
View attachment 3362001
No reform no election 🇹🇿Hilo l
Hilo liko hivyo sema jingine
'Atazisikia zikiunguruma siku ya msiba wake tu'😁🤣🤣😜.Na kwel na ukivimba sana habari za no reform na upo Kidimbwi, hizi chuma utazisikia zikinguruma siku ya msiba wako tu 🤔
Jidanganye 🤣🤣🤣🤣🤣🤣'Atazikia zikiunguruma siku ya msiba wake tu'😁🤣🤣😜.
450 hadi 500 sawa na bei ya bus la mchina.kwanini master!? hata km dunia napita lakini lazima niipitie hiyo ndinga. kwani $ laki ngapi? mpaka nishindwe kuimiliki? hata km itanichukua muda mrefu kikubwa pumzi na D£AL$ zikitiki naamini Mshua God atanibless.
UsiibeWakuu, kama mada inavyojieleza hii chuma kwa sisi ngozi nyeus,i bila kuzivunja amri kumi za Mungu tutaendelea tu kuiona barabarani.#noreformnoelection🇹🇿🇹🇿
View attachment 3362001