Bila Magufuli SGR isingekuwepo

Aisee una akili sana huyu mfia legacy alitaka kutuingiza Chaka ni wapumbavu sana hawa watu wanaongeaga kama vile hii nchi ilianzishwa na Magufuli na hakukuwa na mipango yoyote Ile Wala maendeleo.

Yani eti bila Magufuli SGR isingejengwa kumbe mchakato ukishakuwa kwenye pipeline.

Stupid kabisa wakafe nae au wakalale makaburuni afufuke maana tumechoka sasa as if hakukuwa na serikali Wala mipango.

Hizi Flyover zote kajenga Kikwete, BRT kajenga Kikwete, daraja kigamboni na malagalasi kajenga Kikwete Ila hawasemi na Magufuli akaamua kuwapa majina watu wake bila hata kunikumbuka JK.

Daraja la rufiji Mkapa, uwanja wa mpira Mkapa, mabarabara ya kusaini yote mpaka mpanda Mkapa maana alisema anataka kuiunganisha nchi na JK alipoingia alimalizia miradi yote Ila utasikia Magufuli, shenzi kabisa.

Huu uongo wa kishamba ndio unajifanya Magufuli wenu anachukiwa, kwani mkiwa wakweli bila kumuoverrate Kuna shida gani?? Tatizo wengi mmekuja mjini kuuza ng'ombe ndio mkabaki hapa kwa hiyo kila daraja mnaita mabusega yapo mengi daresalama.
 
Hv ulielewa swali nililouliza au basi unataka kuleta ujuaji?
 
Nenda kamwambie huko Chato..Ndo maana Kikwete aliwatwanga siku ile ya mazishi ya Magu kuwa barabara za kuunganisha nchi nzima za mikoa ni yeye alijenga ili aache iwe legacy yake. Ndo mkanyamaza, maana mlikwisha aminishwa na yule boya kuwa barabara zote nchini yeye ndo alijenga!
 
Halaf akaja boya mmoja akakata miti milioni 3.5 ili ajenge bwawa na mvua hazinyeshi sasa hivi mnasumbua watu wamuombe Mungu.
 
Mzungu mweusi ambae anajifanya hajui kiswahili 🚮🚮
 
Kwa hiyo ndio tuseme bila Nyerere Tanzania isingepata Uhuru.
Kuna wakati unaweza kusema NDIYO au LAh!, Sababu kila jambo huwa na mtu wa kulisukuma lifike au lisifike.
 
sawa sawa,inaonekana wewe ni mtu ambae upo well informed ila kwa sababu flan flan unaamua kusimamia upande wenye maslahi yako.

Tujadili kuhusu mradi wa Mabasi ya mwendo kasi ambao umeanza mpaka umeisha chini ya JK.
Je unakumbuka kiwango cha nauli pendekezwa cha awali kwenye mabasi ya mwendo kasi??
 
Hv ulielewa swali nililouliza au basi unataka kuleta ujuaji?
Sikujibu swali nilijibu comment yako.Toa neno hyperloop kwenye swali lako weka neni SGR.
Angalia tena comment yaki uliuluzaje.
 
Sikujibu swali nilijibu comment yako.Toa neno hyperloop kwenye swali lako weka neni SGR.
Angalia tena comment yaki uliuluzaje.
Comment yangu ilikuwa swali..jibu lako lInaonesha jinsi usivyo makini
 
hakukua na desire wala nini, kulikua na upigaji. Ilitakiwa ujenzi uanze mwezi wa 6 lakini ikiashindikana. Rothschild nao walikua wanataka mgao kwenye mkopo ambao Tanzania atapewa.
 
Hii nchi serikali awamu ya tano iliikuta na mipango, bajeti, fedha, mikopo iliyokamilika, miradi inayoendelea, mipango ya miradi ambayo haijaanza, watumishi wazoefu, majeshi yaliyoilinda nchi tangu uhuru, vitendea kazi na mengine mengi.

Hakukuwa na MUNGU MUUMBA WA TANZANIA awamu ya 5. Sijui kwann kuna watu WANATENGENEZA mungu binadamu ambaye kulingana na wao Tanzania imeumbwa kupitia yeye.
 
Sio kweli.
 
😂🙆🏾‍♀️
 
🙆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…