Bila Rais Samia kuwadhibiti Mahakimu na Majaji pesa nyingi za umma zitaibiwa na watumishi mafisadi watashinda kesi kirahisi

Hakuna kesi nyepesi kuthibitisha kama kesi za ufisadi ....ufisadi ndiyo kesi nyepesi kuliko zote kuzithibitisha ila tatizo ni jina ufisadi ni kama ugonjwa wenye kuambukiza kesi za namna hiyoo zinapo fika mahakamani ufisadi unatumika tena kukwamisha haki .
Kwenye Sheria hakuna neno fisadi wala tafsiri yake.

Ufisadi ni dhana ya kisiasa ambayo nafasi mbele ya Mahakama.

Mahakama inashughulika na ushahidi na siyo maneno ya kisiasa yasiyo na uthibitisho.

Case rahisi (angalau) kuthibitisha ni kesi ya madai. Na hata hivyo, kesi za madai za kiserikali ni ngumu Serikali kushinda kutokana na namba madai husika yalivyoshughulikiwa ngazi ya utawala, yaani kesi unafika kwa mwanasheria na kupelekwa mahakamani ikiwa mahututi na hatimaye upande hasimu unashinda.
 
Nimekupa mfano. Mkandarasi kapewa tenda ya kupaua kwa mabati ya gauge 28 yeye akapaua kwa gauge 32. Ukaguzi ukafanyika, hata kwamacho hata na kwa watalaamu wa Tbs. Na ikathibitika mkataba ulikukwa. Hapa itakuwaje? Maana kesi nyingi kwenye miradi ni za namna hii.
 
Huyu jamaa ana kacheti ka sheria kakariri prove beyond reasonable doubt. Mfano ukaguzi uthibitishe kuwa jengo la bil 1 limejengwa kwa mil 5. Hata site kila kitu kipo chini ya kiwango. Anataka beyond reasonable doubt ipi?
Ili kupeleka kesi mahamakani ni lazima utumie na ufuate:

Kwanza, utaratibu wa kufungua kesi (kuna sheria zake)

Utaratibu wa kuendesha kesi (Kuna sheria zake)

Utaratibu wa kutafuta, kuhifadhi na kuwasilisha ushahidi (una sheria zake)

Sasa usifikiri kwamba ukienda pale Jaji anaamua tu kupitia kelele za Wananchi na vyombo vya habari au kwamba atakuhurumia.
 
Tunajidiri kesi ambazo Takukuru wameshapeleleza, wamejiridhisha kuwa ushahidi unatosheleza, wamezifungua mahakamani na wameziendesha kwa gharama za pesa za umma kwa kuleta mashahidi mahakamani. Lakini hakimu au jaji anaamua kwa utashi wake baada ya kula rushwa mpaka wananchi wanashangaa.
 
Unasema ushahidi ya kimazingira??? Circumstantial evidence???

Circumstantial evidence in criminal cases must be collaborated with other pieces of evidence.

Huwezi kumtia mshashtakiwa hatiani kwa ushahidi wa mazingira.

Kwenye kesi za jinai, Jamuhuri inalazimika kuthibitisha mashtaka pasipo na chembe ya mashaka.

Hiyo ndiyo kanuni kuu katika haki jinai.

Ni kanuni kwamba ni Bora kuwaachia wafungwa 100 kuliko kumtia hatiani mtu mmoja kwa ushahidi wa mashaka.

Tatizo lipo kwa watumishi na wanasheria wa serikali kwa sababu kwanza, unakuta kazi za mikataba zinafanywa kienyeji then mambo yakiharibika ndipo mwanasheria anapelekewa, then mwanasheria naye anashindwa kujenga kesi kuishawishi Mahakama mwishowe mtuhumiwa anaachiwa kwa kukosekana ushahidi wa kutosha.

Mahakama ni kama refa tu wa kufanya maamuzi kulingana na sheria na wale jamaa wamekula kiapo.

Kwa hiyo, kwa hili, kwanza wanasheria wa serikali wafanye kazi kwa weledi na pia serikali ifanye kazi kwa mujibu wa sheria, halafu tuone kama Mahakama itakuwa na lawama
Maelezo yako kwa upande wa sheria yapo sahihi, lakini kwenye suala la mahakama na majaji wetu kuwaita marefa hapo napingana nawe, hawana sifa za urefa wa kweli.

Majaji wanaoteuliwa na mwenyekiti wa CCM hawawezi kuwa fair, mfano mdogo ni maamuzi ya hivi karibuni ile kesi iliyohusu mkataba wa IGA kule Mbeya, ambapo jaji alionekana kabisa kuwa upande wa serikali, na mwisho wa siku akazawadiwa cheo kwa ile kazi yake mbovu aliyofanya.
 
Nimekupa mfano. Mkandarasi kapewa tenda ya kupaua kwa mabati ya gauge 28 yeye akapaua kwa gauge 32. Ukaguzi ukafanyika, hata kwamacho hata na kwa watalaamu wa Tbs. Na ikathibitika mkataba ulikukwa. Hapa itakuwaje? Maana kesi nyingi kwenye miradi ni za namna hii.
Kila mkataba una kipengele cha hatua za kuchukua iwapo mkandarasi amekiuka makubaliano na serikali.

MKATABA ni makubaliano ya kisheria baina ya pande mbili au zaidi.

Siyo kila jambo linafaa kupelekwa mahakamani. Mengine yanafanyiwa kazi ngazi ya kiutawala na yanaisha
 
Tunajidiri kesi ambazo Takukuru wameshapeleleza, wamejiridhisha kuwa ushahidi unatosheleza, wamezifungua mahakamani na wameziendesha kwa gharama za pesa za umma kwa kuleta mashahidi mahakamani. Lakini hakimu au jaji anaamua kwa utashi wake baada ya kula rushwa mpaka wananchi wanashangaa.
Haloo. Siyo lengo la Jaji kuamua kesi kwa utashi wake bali kesi inapaswa kuamuliwa kwa mujibu wa sheria na haki. Na kwa mujibu wa ushahidi uliopelekwa na kupokelewa mahakamani.

Kuhusu rushwa kwa majaji Hilo siwezi kulibishia au kulithibitisha. Maana na hili nalo linahitaji uthibitisho kwamba Jaji kahongwa
 
Maelezo yako kwa upande wa sheria yapo sahihi, lakini kwenye suala la mahakama na majaji wetu kuwaita marefa hapo napingana nawe, hawana sifa za urefa wa kweli.

Majaji wanaoteuliwa na mwenyekiti wa CCM hawawezi kuwa fair, mfano mdogo ni maamuzi ya hivi karibuni ile kesi iliyohusu mkataba wa IGA kule Mbeya, ambapo jaji alionekana kabisa kuwa upande wa serikali, na mwisho wa siku akazawadiwa cheo kwa ile kazi yake mbovu aliyofanya.

Jaji kuwa biased ni suala la kidhahania na kihisia kuliko uhalisia.

Kuhusu case ya Mkataba kule Mbeya, kila upande uliweza kuishawishi Mahakama ili upate ushindi.

Sasa Serikali imepata ushindi na upinzani ukashindwa.

Siyo rahisi sana wala kawaida kuona kwamba mtu anashindwa kesi na anakubali matokeo. Na ndiyo maana kuna Mahakama ngazi tofauti ili kama mtu kaona au kuhisi kutotendewa haki, basi akate rufaa ngazi ya juu.

Mahakamani, Jaji ni refa na Mawakili wa pande zote ni player. Na hii ni dhana ya kisheria na wala Haina Siasa.

Tena kwa kuongeza tu, katika tasnia ya sheria kuna msemo kwamba "Mahakama siyo mama yako kwamba itakupa kitu ambacho hujaomba"

Mahakama siyo mama kwamba ikuonee huruma, ikuulize una Hali gani na ikupe ushindi wa mezani.

Pambana!
 
Kila mkataba una kipengele cha hatua za kuchukua iwapo mkandarasi amekiuka makubaliano na serikali.

MKATABA ni makubaliano ya kisheria baina ya pande mbili au zaidi.

Siyo kila jambo linafaa kupelekwa mahakamani. Mengine yanafanyiwa kazi ngazi ya kiutawala na yanaisha
Ulimaliza hata la saba?
 
Ulimaliza hata la saba?
Nikimaliza la saba 2002

Nikamaliza kidato cha nne 2007 (division II)

Nikamaliza kidato cha sita 2010 (division 1)

Nikamaliza chuo kikuu, shahada ya Sheria, 2014 GPA 3.1

Nina cheti cha Maendeleo ya Vijana (2022)

Nimefanya kazi ya uasaidizi wa kisheria na mahakamani, kampuni za sheria, NGOs na Halmashauri.

Una lingine?
 
Sasa mbona mweupe kichwani. Tunajdili mengine unajadili suala la kupeleka mkataba mahakamani.

Kama ulimaliza la saba 2002 ndio sababu. Maana ni kizazi cha mabumunda
 
Elekea kwenye hoja sasa. Ninadhani umeshapata wasifu wangu.

Hata hivyo kichwa changu ni cheupe maana nina mvi tayari.

Ila utaalamu na uelewa wa sheria ninao na Hilo halina ubishi
 
Huna utalaamu wowote na ni mweupe kwa maana hujui kitu.
 
Nimekupa mfano. Mkandarasi kapewa tenda ya kupaua kwa mabati ya gauge 28 yeye akapaua kwa gauge 32. Ukaguzi ukafanyika, hata kwamacho hata na kwa watalaamu wa Tbs. Na ikathibitika mkataba ulikukwa. Hapa itakuwaje? Maana kesi nyingi kwenye miradi ni za namna hii.
Huyo jamaa ni mpumbavu wa ccm ...niujinga kuelimisha mtu waccm
 
Ili kupeleka kesi mahamakani ni lazima utumie na ufuate:

Kwanza, utaratibu wa kufungua kesi (kuna sheria zake)

Utaratibu wa kuendesha kesi (Kuna sheria zake)

Utaratibu wa kutafuta, kuhifadhi na kuwasilisha ushahidi (una sheria zake)

Sasa usifikiri kwamba ukienda pale Jaji anaamua tu kupitia kelele za Wananchi na vyombo vya habari au kwamba atakuhurumia.
Tumia akili neno sheria siyo neno haki ...kama sheria zinashindwa kufanya kazi dhidi ya vitendo vya kihalifu basi hizo sheria zinageuka upumbavu ...na ndiyo maana kuna maneno (sheria mbovu) pia unaposema neno fisadi alipo kisheria je neno fisadi lipo kwenye kiswahili ...kwa kifupi ufisadi tunao uzungumzia hapa ni kuhusu hujuma dhidi ya mali za serikali na vitendo vyote vya hujuma vinavyo fanyika serikalini kwa lengo la watu fulani kufisidi pesa na mali za uma
 
Attachments

  • IMG-20231019-WA0005.jpg
    IMG-20231019-WA0005.jpg
    26.6 KB · Views: 2
Kwenye Sheria hakuna neno fisadi wala tafsiri yake.

Ufisadi ni dhana ya kisiasa ambayo nafasi mbele ya Mahakama.

Mahakama inashughulika na ushahidi na siyo maneno ya kisiasa yasiyo na uthibitisho.

Case rahisi (angalau) kuthibitisha ni kesi ya madai. Na hata hivyo, kesi za madai za kiserikali ni ngumu Serikali kushinda kutokana na namba madai husika yalivyoshughulikiwa ngazi ya utawala, yaani kesi unafika kwa mwanasheria na kupelekwa mahakamani ikiwa mahututi na hatimaye upande hasimu unashinda.
Kama neno fisadi halipo hiyo ndiyo maana ya sheria mbovu zenye kuchuja mbu na kumeza ngamia .. tatizo lako wewe unazani sheria ndiyo haki ....zipo sheria zilizo kinyume cha haki na sheria zilizo sawia na haki ......sheria zisizo za haki pia ni sheria na sheria zilizo za haki pia ni sheria ... hivyo wewe tatizo lako ni upumbavu wa wale wapumbavu wanao semaga wanataka utawala wa sheria ...wao wanaposema hivyo udhani wapo sahihi tena wanataka jambo la maana kumbe ni wapumbavu . Wenye akili tunataka utawala wa haki siyo sheria
 
Kama neno fisadi halipo hiyo ndiyo maana ya sheria mbovu zenye kuchuja mbu na kumeza ngamia .. tatizo lako wewe unazani sheria ndiyo haki ....zipo sheria zilizo kinyume cha haki na sheria zilizo sawia na haki ......sheria zisizo za haki pia ni sheria na sheria zilizo za haki pia ni sheria ... hivyo wewe tatizo lako ni upumbavu wa wale waoumbavu wanao semaga wanataka utawala wa sheria ...wao wanapisema hivyo udhani wapo sahihi tena wanataka jambo la maana kumbe ni wapumbavu . Wenye akili tunataka utawala wa haki siyo sheria
Ungeweza pia kuchangia vizuri bila kutukana na kuni-attack personally.

By the way nimejaribu ku-share ninachokifahamu kuhusina na mfumo wa sheria na Mahakama Tanzania.
 
Tumia akili neno sheria siyo neno haki ...kama sheria zinashindwa kufanya kazi dhidi ya vitendo vya kihalifu basi hizo sheria zinageuka upumbavu ...na ndiyo maana kuna maneno (sheria mbovu) pia unaposema neno fisadi alipo kisheria je neno fisadi lipo kwenye kiswahili ...kwa kifupi ufisadi tunao uzungumzia hapa ni kuhusu hujuma dhidi ya mali za serikali na vitendo vyote vya hujuma vinavyo fanyika serikalini kwa lengo la watu fulani kufisidi pesa na mali za uma
Omba kuelimishwa. Kutukana na kejeli hazikusaidii zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom