Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Kwenye Sheria hakuna neno fisadi wala tafsiri yake.Hakuna kesi nyepesi kuthibitisha kama kesi za ufisadi ....ufisadi ndiyo kesi nyepesi kuliko zote kuzithibitisha ila tatizo ni jina ufisadi ni kama ugonjwa wenye kuambukiza kesi za namna hiyoo zinapo fika mahakamani ufisadi unatumika tena kukwamisha haki .
Ufisadi ni dhana ya kisiasa ambayo nafasi mbele ya Mahakama.
Mahakama inashughulika na ushahidi na siyo maneno ya kisiasa yasiyo na uthibitisho.
Case rahisi (angalau) kuthibitisha ni kesi ya madai. Na hata hivyo, kesi za madai za kiserikali ni ngumu Serikali kushinda kutokana na namba madai husika yalivyoshughulikiwa ngazi ya utawala, yaani kesi unafika kwa mwanasheria na kupelekwa mahakamani ikiwa mahututi na hatimaye upande hasimu unashinda.