Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

In short, mbowe alitekwa na ccm kupitia serekali yao. Amekuwa mateka mpaka zilipozidi kelele, ccm wakaona aibu na kumwachia.
 
Huu ushauri wapelekee Kuku wenzio huko bandani.
 
Hakika.....

Angeozea jela.....

Mh.rais SSH ana huruma sanaaaa....

Mwenyezi Mungu amlinde ,ambariki ,ampe afya njema na umri mrefu aaamin aaaamin aaaamin aaaamin🙏

#Siempre JMT🙏
#Siempre CCM🙏
 
Punguza CHUKI BINAFSI Mbowe ana MUNGU wake Mwendazake na Roho yake Mbaya yupo wapi?
 
Pepo mchafu anayekutawala akutoke ili upate kuuona mwanga.
Magufuli ndiye aliyeozea kaburini na ngozi ya chui huku wamemshikisha mkuki mkononi. mungu wenu Jiwe kwisha habari zake. Kafa kifo cha aibu sana sema tu nyie viwete wa akili walichelewa kuwatangazia maana walijua tu mngechizika kama wangewatangazia ile siku amekufa baada ya hotuba yake ya kipumbavu
 

Tafadhali kuwa na kesi ya kujibu sio hatia, hiyo pulling lakini kuwa na hatia conviction ipo kwenye judgement Yani hukumu. So acha kupotosha kabisa.
 
Hakika.....

Angeozea jela.....

Mh.rais SSH ana huruma sanaaaa....

Mwenyezi Mungu amlinde ,ambariki ,ampe afya njema na umri mrefu aaamin aaaamin aaaamin aaaamin🙏

#Siempre JMT🙏
#Siempre CCM🙏
Angeozea jela kwa matakwa ya watawala ila sio ushahidi wa kubumba uliotolewa.
 

Uzwazwa na uharo mtupu huu…!!!
Akili yako hovyo tu!
 
Yote tisa umeyaandika, moja kubwa ni kitendawili cha kuachiwa na Serikali bila masharti wakati mahakama, kwa ushahidi uliotolewa, ana kesi ya kujibu

Sasa kwa nini wasingoje wajitetee? Serikali ilipima na kuona ushahidi na vizibiti vyao vingeipatia serikali aibu kubwa sana tangu uhuru.
 
Ila tafakari ya kutosha inahitajika kuhusu sheria zetu.

Kama mashtaka hayo makubwa, yenye kuumiza sana watu yakabaki kuamuliwa hatma yake kwa maoni ya mtu tu ni hatari zaidi.

Nashukuru serikali imefuata hukumu ya umma. Umma ulishahukumu "Mbowe siyo gaidi".
 
Chenga wewe DPP kale
Achaa ujinga Dogo DPp anasema amekosa ushahidi ndo maana kaiondoa kesi
 
Mleta mada hawajua waafrika kwenye ubongo wao.
 
Punguani wa hivi hata ukimponda kwenye kinu upunguani wake hauwezi kwisha.
 
Pumbafu tu Wewe na hizi pumba zako, kufa !
 
Yote tisa umeyaandika, moja kubwa ni kitendawili cha kuachiwa na Serikali bila masharti wakati mahakama, kwa ushahidi uliotolewa, ana kesi ya kujibu
Hata uamuzi was uwepo was kesi ulikuwa michongo kama ilivyokuwa kesi yenyewe🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…