Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

Ujinga mzigo kwa kesi Gani sasa
 
Kama alikataa msamaha mbona alikubali kutoka?
 
Kesi imekosa ushahidi toka lini ccm wakawa na huruma na upinzani.
 
sielewielewi kwa maana hiyo mahakama zetu haziko huru punguzeni jazba waleta uzi kama huu mnatia aibu.
Zingekuwa huru zisingebambika watu kesi na kumuogopa kumkamata makonda.
 
Hakika.....

Angeozea jela.....

Mh.rais SSH ana huruma sanaaaa....

Mwenyezi Mungu amlinde ,ambariki ,ampe afya njema na umri mrefu aaamin aaaamin aaaamin aaaamin🙏

#Siempre JMT🙏
#Siempre CCM🙏
Ameogopa maswali ya kibatala
 
Na bila huyo huyohuyo rais Freeman Mbowe asingekwenda jela, Sasa sijui angeozeaje huko jela?
Au ndio ile tabia ya kutengeneza tatizo kisha kuigiza kulitatua ili uonekane mwema? kama ndivyo amefeli kwani watu tunakumbukumbu sahihi juu ya kesi ya mbowe ilianza lini na ni nani alisisitiza kuwa wengine wameshafungwa.
 
huo ni ujinga mtupu mbowe aliku na kosa gani zaidi ya kubambikiwa kesi?
 
Eti wapinzani fuateni sheria, pumbaf kabisa wewe na mleta mada hizi arrogance sijui mnatoa wapi au ni kukosa akili tuu
 
Ni kweli, maana hii ajenda ipo katika ILANI ya chama.
 
Kumbuka Kuna DIKTEKA UCHWARA yy anaozea kaburini....
Mungu fundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…